Salamuu wakuu,
Naomba kujuzwa ni namna gani naweza viweka vitu vyangu kwenyee email yangu kwa mfano contracts pamoja na pichaa zangu
Naomba kuwasilisha kwa anaejuaaa wakuu msaada wenu...
Hii sheria ni ya kipuuzi kabisa ndiyo inayo fanya hawa wakuu wa mikoa wajione wanaweza kufanya lolote kwa mtu yeyote wakati wowote, naamini endapo bunge letu lingekuwa ni bunge kweli la wananchi huo ujinga ungefutuliwa mbali
Hii inamfanya mkuu wa mkoa ajione yeye ni mungu maana anaweza fanya...
TANROADS KUWEKA KAMBI BARABARA YA KIRANJERANJE-RUANGWA KUREJESHA MAWASILIANO
Huenda Adha ya usafiri na usafirishaji bidhaa inayowakabili wananchi wanaotumia barabara ya Kiranjeranje kwenda Ruangwa ikafikia tamati baada ya Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) mkoa wa Lindi kutangaza kutia...
Kila mtu anayezaliwa katika dunia yetu amekuja na akili ambayo ndani yake hakuna mawazo ya aina yoyote kuhusiana na maisha. Uelewa wetu tulionao kuhusiana na maisha ni matokeo ya mawazo ambayo tumeyapata kutoka kwenye mazingira yetu kupitia milango ya akili.
Mawazo tunayapata kwenye mazingira...
tunaishia tu kusikia mkitetea fixed matches zipo, kama zipo kwanini hamfaidiki nazo ?
Hakuna mwenye uhakika na betting, na ingekuwa hivyo basi betting ingesha collapse siku nyingi. Hizi za wachezaji kujifungisha huwaga ni siri zao na watu wao wachache sana, hata wachezaji wengine ndani ya timu...
Ukweli inatakiwa usemwe wazi kwamba leo hii jamii imesahau kabisa kuhusu mtoto wakiume ikiamini anaweza kujipambania bila hata ya kupata msaada kutoka kwa jamii inayo mzunguka.
Ni wazi kwamba Taifa lijiandae kupambana na kumuinua kijana wa kiume ifikapo 2030+
Kwasababu leo hii jamiii yetu...
Tanzania tuitakayo imebakia katika taswira ya vichwa vyetu. Hii ndio Tanzania tuliyonayo. Demokrasia katika nchi yangu sasa imekuwa ya kusadikika imebakia kuwa picha tu katika fikra zetu. Mifumo imekuwa na nguvu kuliko Maamuzi yetu.
Uongozi katika dhana ya demokrasia ni lazima uwe mfumo...
Kuna muda ukipata hela wenzako unaofanyanao kazi kama wanajua umepata hela ni bora kuweka Airplane mode kuepuka Mizinga 😃, simu zitaingia Kama zote, utasikia Mkuu mbona kimya unaniachaje!
Nina jamaa zangu wa makabila haya kwakweli kusoma chats zao huwa ni mateso sana.
Wenzangu mmewahi kumbana na hili?
Unaweza weka screenshot bila kuonesha namba au jina la mhusika.
Dunia inaelekea kwenye magari ya umeme. Cha kushangaza sisi bungeni tunahangaika na kuweka mifumo ya gesi kwenye magari. Miaka ishirini mbele maga karibu yote yatakuwa ya umeme. Habari ya magari sasa ni mabetri, lithium, graphite nk nk, mambo yanayosaidia kuendesha magari ya umeme.
Badala ya...
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma ameishauri serikali ianze kufunga mifumo ya gesi katika Gari zote za mawaziri ili kuokoa gharama kutokana na gari hizo kutumia mafuta ambayo gharama yake ni kubwa ukilinganisha na gesi.
Musukuma amesema hayo leo Aprili 25, 2025 Bungeni jijini...
Ni sahihi kwa serikali kuanzisha shule zake za English medium?Kigezo gani kitatumika kupata wanafunzi wanaotakiwa kwenda kwenye hizo shule?
Kuanzisha shule hizi kunaendana na wazazi kugharimia au wanakwenda bure kama shule nyingine? Ni nchi gani ina mfumo wa shule za serikali kuwa na mfumo...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde wamekutana na kujadili namna bora ya kusimamia utekelezaji wa miradi ya maendeleo ikiwa ni pamoja na upatikanaji wa Malighafi za ujenzi wa miundombinu itakayosaidia Makandarasi kukamilisha miradi kwa wakati na ubora...
Duniani kuna mambo Sana, watu wengi wakiangalia mambo yanavyokwenda sasa hivi huwa wanaamini kuwa dunia sasa imekwisha.
Sasa Mimi ngoja niwaeleze dunia ndio Kwanza inaanza, utakwisha wewe tu.
Je unazijuwa sarafu za dollar ya Marekani prulibus unum ambayo ndio Motto wa Marekani kwenye National...
Tuna Mzee wetu hapa tunamuuguza kwa muda mrefu miaka mitatu sasa tunampambania nae alipata tatizo kuparalalaizi mpaka sana yupo ICU hali yake sio nzuri miguu yake imeanza kuoza
Imenibidi kuandika thread hii humu sababu siku mbili hizi tumepigiwa simu huko kijijini kwamba Mzee wetu twende huko...
Nafanya delivery ya kuweka Playlist ya nyimbo za dini kwenye Flash. Ukiplay playlist nzima utasikiliza kwa siku tano hujamaliza.
Sifa ya Playlist
Ni nyimbo zote nzuri sana pengine hujawahi kusikiliza.
Kwakweli utaburudika utaabudu kufurahi na kupata amani ya moyo wako.
Piga hii namba...
Sidhani kama kuna Mtanzania ambae hajui mazuri ya Magufuli akiwa raisi wa Tanzania, atapinga kwamba Magufuli hakuwa na roho ya uzalendo kwa Tanzania, alichukia ufisadi, alichukia watu ambao anawaona walikwamisha bidii zake za kuindeleza Tanzania. Hakuna Mtazania atakaepinga kwamba Magufuli...
Mafuta
Vyakula
Madini
Usafirishaji
Fedha
Media
Elimu
Afya
Dini/kanisa
Michezo
Utalii
Mifugo
Vifaa vya ujenzi
Mimi nimejikita kwenye vyakula? Changamoto zipo ila napambana
Binti Asakwa na Polisi kwa kudaiwa kuweka dawa za nguvu za kiume kwenye tanki la maji
=======
Polisi mjini Bulawayo nchini Zimbabwe, wameanzisha msako mkali wa kumtafuta kijana aliyeweka dawa ya kuongeza nguvu za kiume maarufu kwa jina la (Viagra) kwenye tanki la maji la kanisa wakati wa ibada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.