vijana

  1. B

    Serikali yaipongeza CRDB Bank Foundation kuwawezesha kiuchumi vijana na wanawake wajasiriamali nchini

    Mkurugenzi wa Jinsia wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Badru Abdunuru aliyekuwa mgeni rasmi katika hafla ya mafunzo ya ujasiriamali na elimu ya fedha akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni 150 Mkurugenzi Mtendaji wa Asasi ya Data Sustainable...
  2. miamiatz

    SoC04 Mfuko wa Maendeleo ya Vijana, Wanawake na Walemavu Tanzania - Mapendekezo ya Uboreshaji wake kwa Kutumia Mkoa wa Dar es Salaam kama Mfano

    Tanzania ina utaratibu wa kutenga kiasi cha fedha kutoka kwenye mapato ya ndani ya halmashauri zote kwa ajili ya maendeleo ya vijana, wanawake na walemavu. Fedha hizo hutokana na asilimia 10% ya mapato ya ndani ya halmashauri, ambapo asilimia 4% hutengwa kwa vijana, asilimia 4% kwa wanawake na...
  3. J

    Fursa za biashara kwa vijana 2024-20250

    Je, unadhani ni fursa zipi amabzo vijana zinawza kuwapa uhakaika wa kujiajiri hadi kufikia 2050 zitakuwa bado sustainable ukijumuisha mabadiliko mbalimabli yanayoweza kujitokeza katika uchumi, siasa, teknolojia, elimu, mazingira na kadhalika
  4. haszu

    Vijana tulio 'Mahandsome' tunapata “favor” maeneo mengi sana

    Yani ukiwa handsome, kwanza watu hawakuzanii vitu vya ajabu kama wizi, kukipotea kitu anaangaliwa mtu mwenye sura ngumu ndo anadhaniwa ni mwizi. Pia tunapata favor maeneo mengi, yani hata kazini unakubalika sana, kuna wadada hadi wanakwambia uwape mbegu. Nashauri vijana kuzingatia mama au baba...
  5. M

    SoC04 Ujuzi na vijana

    Ujuzi ni kufahamu na kuelewa hali, habari na maelezo yanayohusu mazingira tunapoishi. Kijana ni mtu kuanzia miaka 18-35 yaani baada ya balehe na mabadiliko ya maumbile toka utoto kuelekea kubwa. Hakika asilimia kubwa ya vijana wengi huwa tunanjozi na ujuzi mwingi tunapoanza hatua za maisha...
  6. E

    SoC04 Suluhisho la tatizo la upungufu wa ajira nchini

    Muda mrefu sasa mfumo wetu wa elimu umekuwa hauendani na mahitaji ya soko la ajira, lakini pia hauendi sambamba na mabadiliko ya dunia katika nyanja ya teknolojia yaliyopo kwa ujumla kwani kama taifa tumekuwa nyuma zaidi huku baadhi ya mataifa yakituacha mbali sana katika nyanja ya elimu...
  7. Kinumbo

    Mjadala kwa wanaokubali kuoa (Ndoa)

    Maana ya Ndoa Ndoa ni muunganiko kati ya mwanamume na mwanamke, walio amua kwa ridhaa yao wenyewe kuishi pamoja kama mke na mume mpaka mwisho wa maisha yao ya ndoa. Aina za ndoa kwa mujibu wa sheria Kuna aina mbili tu za ndoa zinazotambulika na sheria ya ndoa Tanzania Ndoa ya mke mmoja na mume...
  8. M

    SoC04 Jinsi Tanzania Inavyoweza Kushirikiana na Sekta Binafsi na Jamii Kukabiliana na Tatizo la Ajira kwa Vijana

    Tatizo la ajira kwetu sisi vijana apa Tanzania limekuwa changamoto kubwa ambayo inahitaji suluhisho la haraka na endelevu. Kwa kuzingatia umuhimu wa kuweka mikakati madhubuti, serikali, sekta binafsi, na jamii tunaweza kushirikiana katika kumaliza tatizo hili. Kwanza, kuwekeza katika elimu na...
  9. H

    SoC04 Vijana tujitunze afya zetu Kwa faida ya vizazi vyetu Bora

    Ndoto za kijana yeyote makini ndani ya taifa itatimia kama ana afya Bora tu na sio Hela nyingi.hela Zita tafutwa kama kijana ana nguvu na afya tele.vitu muhimu ambavyo vina tunapaswa kuvifanya Kwa kutunza vizazi vijavyo. 1.tufanye mazoezi.n vizuri miili yetu tukiipa kipaombele kwenye mazoezi...
  10. Sean Paul

    Kwanini wazee wanaogopa sana kifo kuliko vijana?

    Habari wana JF, Katika uzoefu wangu na utafiti usio rasmi nimegundua watu wazima hasa wazee waliozeeka haswaaa, ni waoga wa kifo kuliko vijana. Sisi vijana tunatake risk nyingi sana za kuogopesha na kuweka rehani maisha yetu, wala hatuna woga uliopitiliza wa kifo. Lakini wazee wetu wengi ni...
  11. H

    SoC04 Tufanye haya kuboresha ajira kwa vijana wa taifa

    Ajira ni tatizo sugu duniani kote hasa Kwa vijana walio wengi.ila tunaweza kujitafuta wenyewe kama taifa Kwa miaka mitano mpka kumi kujikwamua na janga la ukosefu wa ajira Kwa vijana waliopo mavyuoni na mitaani. Tuboreshe mambo muhimu yenye kubeba ajira nyingi Kwa miaka mingi huko mbele...
  12. Roving Journalist

    Vijana wa Kitanzania waibuka kidedea Mashindano ya TEHAMA Nchini China

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, amewapongeza vijana watatu wa Tanzania - Dickson Mram, Matimu Mahimbo na James Amos - kwa kuibuka washindi katika mashindano ya TEHAMA duniani ya Huawei yaliyofanyika Mei 23-26,2024 Shenzhen, China. Vijana hao wenye ujuzi...
  13. J

    SoC04 10% mikopo inayotolewa na almashauri kwa vijana ni bora ikajenge vyuo vya ufundi ilikuwa na wabunifu wengi kuendana na kasi ya teknolojia duniani

    Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo wanageuka...
  14. J

    SoC04 10% ya fedha inayotolewa na Halmashauri kwaajili yakuwainua vijana kiuchumi zitumike kujenga vyuo vya ufundi kuendana na kasi ya teknolojia ya dunia

    Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu. Hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo...
  15. Brother Wako

    SoC04 Kuinua Vipaji vya Vijana Tanzania Kupitia Ushirikiano: Njia ya Maendeleo Endelevu

    Tanzania ni nchi iliyobarikiwa na vipaji vingi, kuanzia sanaa hadi sayansi. Vijana wake wanajulikana kwa ubunifu na uwezo wa kipekee katika maeneo mbalimbali. Hata hivyo, changamoto za kimaisha na ukosefu wa rasilimali mara nyingi huwafanya vijana hawa kushindwa kufikia ndoto zao. Ushirikiano...
  16. MamaSamia2025

    Hawa ni watanzania 10 chini ya umri wa miaka 50 walioleta mabadiliko chanya kwenye jamii kupitia vipaji na vipawa vyao walivyojaliwa

    Hii ni orodha tukufu ya watanzania wenye umri chini ya miaka 50 walioweza kufanya mapinduzi makubwa kupitia jinsi walivyojaliwa na muumba. 1. ZITTO KABWE Haina ubishi Zitto ndo aliamsha wengi kuona inawezekana kuwa mwanasiasa mkubwa mwenye umri mdogo tena kupitia upinzani. Zitto aliingia...
  17. H

    SoC04 Kilimo na ufugaji vinawezekana serikali ikiboresha mazingira

    Kumekuwa na dhana potofu hasa katika maswala ya kilimo na ufugaji kwamba vijana hawapendi kilimo na ufugaji vijana ni wavivu.mm niseme hata hao wanao sema vijana hawapendi kilimo na ufugaji nao ni wavivu Sana ajabu wao wenyewe wameajiliwa na mtu hyo wanae msimanga mvivu na hapendi kilimo na...
  18. HONEST HATIBU

    SoC04 Ajira zipo hatarini - tuandae vijana kukabiliana na mabadiliko ya Teknolojia (AI)

    Utangulizi Katika dunia inayoendelea kwa kasi kubwa ya mabadiliko ya kiteknolojia, nchi yetu ya Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi. Mabadiliko haya, hasa kutokana na kuibuka kwa teknolojia ya kisasa kama vile akili bandia (AI), yanaweza kubadili kabisa mazingira ya ajira...
  19. BabaMorgan

    Kuomba michango ya matibabu ni kero ni vyema kama vijana tukajitunza

    Prof. Janabi kila wakati anasisitiza juu ya mtindo bora wa maisha ili kuepukana na magonjwa yasiyoambukizwa ila watu tunachukulia poa. Nina experience ya kuomba michango ya matibabu kwa ndugu, jamaa na marafiki ni miongoni mwa experience mbaya kuwahi kukutana nayo so far ni kero kwa muomba...
  20. Dong Jin

    Ajira portal: Jipu jipya kwa ndoto za vijana

    Habari zenu wakuu Kwanza nipende kushukuru aliyebuni uanzishwaji wa hii ajira portal maana imetoa fairness sana kwa walio wengi bila kujali status yako ya kiuchumi Pamoja na hayo yote lakini kwanini mfumo unabagua sana watu? Mtu anakidhi vigezo kabisa lakini akituma maombi system inamwambia...
Back
Top Bottom