crdb

  1. Vincenzo Jr

    FT: Ihefu SC 0-1 Young Africans SC | CRDB Federation Cup | Sheikh Amri Abeid , Arusha | 19.05.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CRDBBankFederationCup ⚽️ Ihefu SC🆚Young Africans SC 📆 19.05.2024 🏟 Sheikh Amri Abeid 🕖 09:30 Alasiri Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5 Yanga SC wanafanya shambulizi Dakika ya 10 Yanga SC wanapata Kona bado ni 0-0 Dakika ya 15 0-0...
  2. B

    Wanahisa wa Benki ya CRDB waidhinisha Malipo ya Gawio la Shilingi Bilioni 130.6 kwa Mwaka wa Fedha wa 2023

    Arusha 18 Mei 2024 - Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha kwa kauli moja mapendekezo ya Bodi ya Wakurugenzi kuhusu malipo ya gawio la Shilingi 50 kwa kila hisa jambo linalofanya jumla ya thamani ya gawio la mwaka wa fedha 2023 kufikia Shilingi bilioni 130.6, sawa na 30.9% ya faida halisi...
  3. Mkalukungone mwamba

    Mtazamo wako ni upi atakaye cheza Fainali ya CRDB Bank Federation msimu huu 2023/2024

    Mtazamo wako ni upi atakaye cheza Fainali ya CRDB Bank Federation msimu huu 2023/2024 Leo Azam fc vs Coastal Union Kesho Yanga Vs Ihefu
  4. B

    Rais Mwinyi avutiwa na utendaji wa Benki ya CRDB katika kutengeneza faida

    Arusha 17 Mei 2024 - Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuendelea kutengeneza faida kubwa inayoiwezesha benki hiyo kutoa gawio kwa wanahisa wake kutokana na uwekezaji wao ndani ya benki hiyo. Rais Mwinyi alitoa pongezi hizo wakati...
  5. Jamii Opportunities

    Specialist; Cyber Security Architecture at CRDB Bank

    Job Reporting To: Manager; Cybersecurity Governance & Compliance Department: Cybersecurity Location: HQ Job Summary. Responsible for the creation, maintenance and management of cybersecurity architecture models and their lower-level components. Interpret, use, and apply information contained...
  6. B

    Makonda aipongeza Benki ya CRDB msaada wa Pikipiki kwa Jeshi la Polisi kuimarisha Usalama kwa Watalii Jijini Arusha

    Arusha 16 Mei 2024 - Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha ili kuimarisha doria zitakazoongeza usalama kwa watalii wanaokuja nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipopokea pikipiki hizo zenye thamani...
  7. B

    Benki ya CRDB yawakaribisha Wanahisa kwenye Mkutano Mkuu wa 29

    Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (katikati), Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (watatu kushoto), Katibu wa Kampuni Benki ya CRDB, John Rugambo (watatu...
  8. Surya

    CRDB bank ni noma, mashine pekee ya wakala wananipa kwa milioni moja

    Kwenye kujitafuta bhana nikasema niombe Uwakala wa benki ya CRDB Sasa achana na Pesa ambayo nitaweka kwenye Account kwaajili ya kazi, naambiwa mashine yao inapatikana kwa Milioni 1 hadi nilishikwa na mshangao kwanza, hiyo mashine ni single purpose nailipia M.1... khaaaaa Na tozo za nchi hii...
  9. pachawako

    Nakupenda customer care wa CRDB.

    We mdada wa CRDB tawi la Mwanza customer care desk, kwanza nakuombea kwa mungu uzidi kukupa afya njema vingine nitafanya mimi, ninafanya juuchini nikupate, iwe ni kwa upendo, dua, viringe ama pesa nitazitoa ili tu uwe wangu. Nimekutazama vizuri, una uzuri wa sauti, tabasamu, karangi kako dark...
  10. Mad Max

    CRDB Customer Service: Unapiga Simu Unawekewa wimbo wa Swaiba Langu ni Lako

    Haya mambo unaweza ukalia. Nimepata emergency natakiwa niwasiliane na watoa huduma wa CRDB. Aisee, wameniwekea wimbo wa Swaiba zaidi ya nusu saa. Mara ya kwanza nikajua wamezidiwa na wateja ila nimegundua watakua hawapuuzia tu simu hawa. Kwokwote walipo, kuanzia Meneja na team zenu, mna laana...
  11. Replica

    CRDB yaamuriwa kumlipa Zawadi Bahenge milioni 300 kwa kutumia picha yake kwenye matangazo bila ridhaa

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeiamuru Benki ya CRDB kumlipa fidia ya Sh300 milioni Zawadi Bahenge kwa kutumia picha yenye sura yake kwenye matangazo ya kibiashara bila ridhaa yake. Pia mahakama imeiamuru benki hiyo kuondoa picha zote za balozi huyo wa Tacaids kwenye mabango yake ya...
  12. C

    CRDB mpo sawa kweli?

    Mwaka jana mwishoni nilikuwa na uhitaji wa Akaunti kwa ajili ya kuingiza vipesa fulani vinavyopita mara kwa mara. Hivyo niliona vipesa hivi nivifungulie akaunti ya bank tofauti na ile nayotumia kila siku. Nikaenda tawi la CRDB mkoani kwangu kwa ajili ya kufungua akaunti, kweli nilifungua...
  13. Jamii Opportunities

    Specialist; Security Operations Center (SOC)- 2 Positions at CRDB

    Line Manager- Manager; SOC Department- Cybersecurity Location- HQ Job Summary Support in ensuring that the Bank’s information is protected in accordance with the needs of the business and according to Information Security principles of availability, integrity and confidentiality. To bring the...
  14. B

    TBL, CRDB Bank Foundation collaborate on pre-financing barley farming for the 2024 agricultural season

    Tanzania Breweries Limited (TBL), one of Tanzania’s top manufacturers and employers and a key partner in the socio-economic development of the country, has today signed a Memorandum of Understanding (MoU) with the CRDB Bank Foundation to collaboratively implement the Barley Farming Pre-financing...
  15. B

    CRDB Bank Foundation, SUGECO kuwezesha mafunzo kwa vitendo kwa wahitimu 2,500 nje ya nchi

    Katika kufungua fursa za kuongeza umahiri katika fani zao, Taasisi ya CRDB Bank Foundation kwa kushirikiana na Sokoine University Graduate Entrepreneurs Cooperative (SUGECO) imesaini mkataba wa miaka mitatu kuwawezesha zaidi ya wahitimu 2,500 wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)...
  16. Erythrocyte

    Utaratibu uliotumika kubadili Azam Federation Cup hadi kuwa CRDB Federation cup ni upi?

    Naomba anayeufahamu auweke hapa ili na mimi nielewe Natanguliza Shukranii .
  17. Ed Kawiche

    CRDB, ATM ya Ihumwa, Magorofa Mapya haina fedha

    CRDB BANK mnalala sana! Wananchi tunaoishi Ihumwa na Mtumba huku Dodoma tunasota kwa kukosa fedha kwenye ATM yenu hapa Ihumwa Magorofa Mapya. Changamkeni, hamchoki kulalamikiwa?
  18. Manyanza

    NI CRDB Bank Federation Cup

    Bank ya CRDB na TFF imeingia mkataba wa udhamini wa miaka mitatu na nusu na CRDB itatoa shilingi Bilioni 3.76 kwa kipindi chote cha miaka mitatu na nusu, ila msimu huu watatoa dollars laki moja sawa na shilingi milioni 255, sasa Kombe la FA litaitwa CRDB BANK FEDERATION. Najiuliza 1. AZAM...
  19. JITU BANDIA

    "Kitu kimesimama!" CRDB hapa mnamaanisha nini?

    Sio Mimi!, ni CRDB bank na kauli mbiu yao mpya ya CRDB wakala "kitu kimesimama" Hivi hawa watu wa ' PR' wanaohusika na branding ya commodity Fulani... Huwa wanatunga hizi kauli-mbiu wakiwa wamelewa!? Ama wakiwa kitandani!? Kauli-mbiu za kihuni kabisa! Zisizo na staha! "Kitu kimesimama!" Maana...
  20. Uzalendo wa Kitanzania

    Benki kubwa zaidi Tanzania, CRDB yaongoza

    News Alerts: Benki kubwa zaidi Tanzania CRDB yaongoza Wadau hamjamboni nyote Takwimu mpya kabisa nimeziweka hapo chini.
Back
Top Bottom