Serikali ijenge Mabweni shule za sekondari Kata kusaidia kupunguza ongezeko la vitendo vya ubakaji kwa wanafunzi wa kike na kuwalinda dhidi ya mazingira hatarishi wanayopitia.
Kutokana na umbali uliopo Kati ya shule nyingi za kata na makazi ya watu inapelekea wanafunzi wa kike kukumbana na...
Ninaguswa sana ninaposikia stori za watoto kubakwa au kulaitiwa na ndugu au mwalimu au jirani.
Tafiti zinaonyesha watoto wengi wanaofanyiwa vitu vibaya ni wale ambao hawana sauti yaani walinyanganywa haki zao za kuongea kwa sababu inawezekana mzazi alikuwa mkali sana au anamchapa au halikuwa...
Meneja Mawasiliano wa Barrick nchini, Georgia Mutagahywa (wa pili kushoto) akikabidhi taulo za kike kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi Mwananyamala B,Modeta Mushi, zilizotolewa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuwasitiri watoto wa kike.Wengine pichani ni Afisa Mawasiliano wa Barrick, Neema Ndossi...
HUU NI UCHAGUZI WA VIONGOZI WA CHADEMA KANDA YA VICTORIA, UCHAGUZI HUO UMEFANYIKA USIKU WA TAREHE 24.05.2024, WAMEPIGANA
KWA KUTUHUMIANA KWA VITENDO VYA RUSHWA.
WAMEANZA KUPIGANA WAO KWA WAO....TUTAONA MENGI SANA...YETU MACHO.
KWA HALI HII MWISHO WA CHADEMA UMEKARIBIA.
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimekemea Vitendo vya Udhalilishaji vinavyofanywa na Mwanahabari Oscar Oscar kupitia habari picha za mzaha (Memes) anazozisambaza Mitandaoni
LHRC imenukuu Ibara ya 12 ya Katiba ya Tanzania inayolinda heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa Utu wa Mtu na...
Meneja wa Barrick nchini Tanzania, Melkiory Ngido akisalimiana na Waziri wa Madini, Antony Mavunde alipotembelea banda la Barrick akiongoza ujumbe wa viongozi mbalimbali wa Serikali.
Na Mwandishi Wetu.
Waziri wa Madini, Mh.Antony Mavunde, ameipongea kampuni ya dhahabu ya Barrick nchini kwa...
Unyanyasaji wa kingono hii ni aina ya unyanyasaji, unaohusisha matumizi ya matamshi ya ngono ya wazi ama ya siri, ikiwa ni pamoja na ahadi zisizohitajika na zisizofaa za zawadi kwa kubadilishana na faida za ngono.
Wakati mwingine unyanyasaji huu muathirika, anaweza kutendewa kutokana na hali ya...
Katibu wa Mtandao wa Polisi Wanawake Tanzania TPF net Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi SACP Pili Mande amewataka Askari wa kike Mkoa wa Arusha kujiepusha na vitendo ambavyo ni kinyume na maadili ya Jeshi hilo.
Kauli hiyo ameitoa leo wakati akitoa mafunzo yaliyoandaliwa na mtandao huo...
Zanzibar na Tanga ni kati ya mikoa yenye idadi kubwa sana ya waislamu. Hayo yasingewezezekana kama Waislamu wangekuwa wanakazana kuwaambia watoto wao waswali huku wao wakifakamia "kitimoto"
Ni mtu mzima pekee anayeweza kumwelewa Daktari mvuta sigara anayewahamashia watu wasivute sigara wakati...
Katika kufungua fursa za kuongeza umahiri katika fani zao, Taasisi ya CRDB Bank Foundation kwa kushirikiana na Sokoine University Graduate Entrepreneurs Cooperative (SUGECO) imesaini mkataba wa miaka mitatu kuwawezesha zaidi ya wahitimu 2,500 wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)...
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imehimiza katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kutenda mema na kudumisha amani, umoja na mshikamano miongoni mwa wananchi.
Zanzibar ni nchi yenye historia kongwe ya uvumilivu wa kidini ambapo Uislamu na Ukristo uliingia mapema kuwa sehemu muhimu ya utamaduni...
Tungali tunaendelea na ule mwezi mtukufu wa Mungu , ambao ni mwezi huu wa 3 , fuatilia simulizi hii ya Nyalandu
Pamoja na ukweli kwamba Nyalandu alirejea ccm baada ya Jiwe kuondoka , lakini bado Ukweli uko wazi kwamba ndiye Mwanaccm pekee aliyepinga Udikteta wa kishamba wa Jiwe hadharani ...
Taarifa......
1. Rwanda kuendelea kutumia Bandari ya Dar es Salaam
2. Rwanda kujenga Kiwanda kikubwa cha Maziwa Mwanza Tanzania
Ukiona Adui/ Mtu ambaye kwa Wivu na Upumbavu wako Unamchukia halafu Yeye anakujibu kwa kukuonyesha Upendo wa Ajira kwa Watu wako na kukuimarishia Uchumi wako jua si...
Walianza na propaganda za Yanga kushiriki kombe la looser (shirikisho), wakatoka hapo yanga ikagonga mpaka fainali uku timu zikichapwa ipasavyo wakasema wamekutana na timu dhaifu, lakini wale wale waliwai kucheza ilo ilo kombe la looser wakaishia kuchoma uwanja wa watu na kutupwa nje ya michuano...
LIPA ADA YAKO YA UWANACHAMA KUPITIA MITANDAO YA SIMU:
Fahamu namna ya kulipa Ada ya Uanachama wa CCM na jumuiya zake kupitia mitandao ya simu.
Ili kutimiza wajibu wa kikatiba wa kulipa Ada, ewe mwanachama zingatia namna zifuatazo katika vipeperushi(bango) jinsi ya kulipa Ada kupitia mitandao...
Ripoti ya Ribo ya Mwisho wa Mwaka 2023 inayoangazia Huduma za Mawasiliano Nchini, imeonesha katika kipindi cha Oktoba hadi Desemba 2023 kulikuwa na Majaribio ya Udanganyifu 21,788 katika Mikoa 29 huku Mkoa wa #Rukwa ukiongoza kwa majaribio 7,666.
Aidha, Mtandao wa #Tigo umeongoza kwa kurekodi...
SIASA: Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam limetoa kibali kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufanya Maandamano yaliyotangazwa kufanyika Januari 24, 2024 katika baadhi ya Mitaa ya Jiji la Dar
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Kipolisi Kariakoo, Jeshi la...
Kumekuwa na upotoshaji kuhusu ziara za mafunzo na vitendo (Internship programs) zinazofanywa na wanafunzi wa fani za Kilimo na ufugaji toka pale SUA na hii ni baada ya vifo vya vijana wetu wawili waliouliwa na HAMAS.
Na declare interest kuwa mimi ni mmoja wapo wa member waanzilishi wa SUGECO...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.