masoko

Kilwa Masoko is a port town on the Indian Ocean in southeastern Tanzania. Kilwa Masoko is the current major town of Kilwa District and includes all the hotels in the area as well as a bustling market, beautiful beaches, small fishing communities and is the gateway to the ruins of Kilwa Kisiwani. On nearby Kilwa Kisiwani island there are ancient Swahili ruins which were declared a UNESCO World Heritage Site in 1981.
The hotels in Masoko are spread along the coastline but there is a group close to town on JImbiza beach and the newer hotels are on the beautiful Masoko Pwani.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Tunatafuta watu wa masoko Arusha

    Habari! Sisi ni chuo tupo Arusha tunatoa kozi mbalimbali zikiwemo za utalii Katika kuhakikisha tunawafikia wanafunzi wengi tumeona ni vyema tuongeze team katika idara yetu ya marketing Kama upo Arusha au mkoa wowote unaweza kuifanya kazi hii tafadhali wasiliana nasi kwa maelekezo zaidi 0658547794
  2. Top007

    Natafuta Mtu wa masoko

    Habari Naitaji sales person ( Mzoefu au mwenye uwezo wa kutafuta masoko ) Mashara : 300k ~ 400k kwa mwez kutokana na uwezo na uzoefu wako. Piga : 0678650509
  3. dr namugari

    Jinsi nilivyopoteza milioni mbili kwenye soko la hisa

    Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa katika kampuni moja ya uchimbaji na utafutaji wa mafuta inayoitwa Swala energy. Basi nikapewa list ya...
  4. G

    Hata uwe na masters ya masoko au business ni ngumu kumfikia darasa la nne mwenye ndugu wafanyabiashara wa kumpa uzoefu na connections

    Mwenye masters asie na watu wa karibu (hasa ndugu) wa kumpa uzoefu na connections chuoni kapewa assignments, test, presentation kibao lakini anamaliza chuo hana hata Tin Namba Hajui kutumia mfumo wa kusajili biashara mambo ni mapya kwake hana uzoefu ku negotiate na maafisa wa tra, jiji, n.k...
  5. MwananchiOG

    Nini kifanyike Simba waweze kutwaa Ramadhani cup na Masoko cup msimu ujao?

    Baada ya msimu unaoelekea kumalizika, timu hii kupoteza matumaini ya kutwaa ubingwa wa Ligi kuu na kushinda taji la muungano, Nini kifanyike ili kujihakikishia kwamba michuano ijayo ya Ramadhani cup, Masoko cup, Diwani cup n.k iweze kuokota vikombe vingi zaidi?
  6. D

    Anahitajika Afisa Masoko

    Habari ndugu, Anahitajika kijana Mwenye ujuzi wa Masoko na Biashara, hasa kwenye fani ya Afya, eneo KILUVYA MADUKANI Dar es salaam. Vitu muhimu; Awe anaishi Eneo ambalo Sio Mbali Sana na Kiluvya,mf Kibamba, kibaha n.k Awe na umri miaka 20-25 Kwa mawasiliano 0758918144 whatsapp only
  7. guzman_

    Natafuta masoko ya Nafaka mikoani

    Wakuu habari. Katika kujiongeza nataka nianze biashara ya kununua nafaka hasa mahindi, mpunga na maharage na kuja kuuza kwa jumla Dar. Naombeni mwongozo kwa anayejua masoko makubwa nayo weza nunua mzigo mkubwa kwa mara moja. NB naona kwenda moja kwa moja kwa wakulima itanichukua muda kwa hiyo...
  8. Kiboko ya Jiwe

    Suala la Wachina kutujazia bidhaa bandia kwenye masoko yetu, je, wanatuona hatuna akili timamu?

    Kila Mtanzania ni shahidi. Mpaka vifaa muhimu vya umeme, maji na electronics bandia mchina kwa makusudi kabisa kutujazia Kariakoo kisha kusambazwa Tanzania yote. Nguo na mavazi nako ni hatari tupu, viatu na samani za ndani pia hajatuacha salama. Ni TBS au serikali kwa ujumla imeridhia? Kwanini...
  9. Erythrocyte

    Chadema yatembelea masoko ya Mwanza ili kujionea ugumu wa maisha kwa vitendo. Hali ni mbaya mno

    Huyu ni Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Victoria Wenje, akijionea hali halisi ya Ufukara wa Watanzania masokoni jijini Mwanza.
  10. D

    Nafasi ya masoko au mauzo

    Hello wanabodi. Elimu yangu ni diploma (Mass cim&IT) Mkazi wa Dar es salaam Natafuta kazi ya marketing au sales au kuwa wakala wa bidhaa au huduma. Nina uzoefu wa zaidi ya miaka 12 kwenye mambo ya masoko na mauzo Kama una biashara pia naweza kukutafutia masoko au wateja nipate kamisheni...
  11. V

    Naomba kujua ratiba za masoko ya mnada

    Habari mimi ni mfanyabiashara mdogo wa nguo za mtumba hapa Dar es Salaam nilikuwa nataka kuongeza wigo wa wateja kwenda minadani kuuza biashara. Nilikuwa naomba kujua ratiba mbalimbali za minada kwa hapa Dar na utaratibu wa kuuza biashara mnadani Msaada wenu tafadhali napatikana Mtongani
  12. MK254

    Mabomu yarindima kwenye masoko ya walalahoi Somalia, 10 wafa

    Vigumu sana kuwaelewa hawa, yaani hata kuwa na ujirani nao ni hatari sana. Wote dini moja, kabila moja, lugha moja lakini wanauana kiholela, sasa mabomu unalipua kwenye masoko ya walalhoi ukilenga nini haswa. =========== Several blasts at a popular open-air market in Somalia's capital...
  13. Makamura

    Masoko Kuungua ni Uzembe wa Mamlaka

    Miundombinu ya masoko, na maduka mengi, au maeneo mengi ya biashara haijakaa vizuri, hawajawahi kabisa kufikiria hili, alafu mwisho wa siku wanalaumu Jeshi la Zima moto, na gari zenyewe za kutafuta kwa Tochi. Nchi za wenzetu kuna System wanaitumia hata katika mitaa ya makazi ya watu, wanaita...
  14. Erythrocyte

    Masoko yaanza kuchomwa tena? Angalia Soko la Mbuyuni Moshi likiteketea

    Taarifa ya Azam inaeleza kwamba soko la Mbuyuni huko Moshi linateketea usiku huu. Moto umeanza usiku wa saa 7 tarehe 06/02/2024 Hivi kwanini masoko hayaungui mchana? ============ Kufuatia ajali ya Moto iliyoteketeza Soko la Mbuyuni, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Nurdin Babu amesema moja ya...
  15. K

    Nahitaji kuanza biashara ya maharage. Mwenye uzoefu wa masoko na changamoto zake anijuze

    Natumai mko vema nilikuwa nahitaji kuanza biashara ya maharage mwenye uzoefu wa masoko na changamoto zake. Mwenye uzoefu karibu.
  16. Anonymous

    DOKEZO Serikali iko wapi masoko yanakuwa machafu kiasi hiki? Kipindupindu kitatuacha?

    Hali ya masoko kwa kweli ni mbaya sana, yaani unaweza kununua bidhaa ukaharibu viatu na ukapata magonjwa mazingira ya masoko yetu. Kila mfanya biashara analipa ushuru wa kuwepo sokoni, hata hivyo inashindwa kubainika hela zinatumikaje? Mbona masoko machafu hadi yanatia kinyaa, na mengine hutoa...
  17. mirindimo

    Magufuli Terminal yabadilishwa jina

    Pia soma: https://www.jamiiforums.com/threads/stendi-ya-mabasi-ya-magufuli-mbezi-luis-imabadilishwa-jina.2167906/
  18. ChoiceVariable

    Kamishna wa Kudhibiti dawa za Kulevya: Bangi ya Tanzania haifai kwenye Masoko ya Kimataifa

    Swali. Hivi wenzangu mnamuelewa huyu Jamaa? Yaani bangi ingekuwa haifai watu wangekuwa wanalima na kuisha Kwa Wingi kwenye black market? Waache ujinga walete sheria ya Kilimo rasmi Cha Bangi na Mirungi Ili Mashamba yawe monitored badala ya kuongea pumba hapa 😆😆. --- Kamishna wa Kinga na Tiba...
  19. Tella Mande

    Uchafu na harufu mbaya machinjio ya kuku

    Nimekuwa kila nikipita maeneo ya masoko mengi yenye machinio ya kuku hapa Dar haswa Shekilango na Manzese ninarudishwa na harufu kali inayotoka kwenye machinjio hayo. Cha kushangaza uongozi wa masoko hayo, serikali za mtaa na uongozi wa halmashauri zimekuwa kimya kabisa. Kukiwa na mvua au...
  20. Aliko Musa

    Uchaguzi Wa Masoko Mahalia (Local Real Estate Markets)

    Utangulizi Soko mahalia ni jumla ya shughuli za kununua na kuuza viwanja, mashamba na majengo ndani ya eneo husika. Soko mahalia la wilaya ya Mbeya mjini hutofautiana na wilaya yoyote iliyo nyanda za juu kusini. Soko mahalia kwenye wilaya moja ni tofauti kabisa na soko mahalia kutoka wilaya...
Back
Top Bottom