Kuna dalili zimeanza kujitokeza kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa 2024,wabunge,madiwani na Rais 2025 kutokuwa huru na haki.Hii ni kutokana na ushahidi wa chaguzi ndogo zilizofanyika hivi karibuni kulalamikiwa na ACT wazalendo na hata kususia uchaguzi uliofanyika mwezi huu Zanzibar. Hivyo...
Naweza kusema huo ndio utakua uchaguzi mkuu wenyewe. Mwingine baada ya huo, itakua ni wa kukamilisha ratiba tu kwa mujibu wa taratibu, kanuni, sheria na katiba ya nchi.
Mathalani, kwenye nafasi ya mgombea wa CCM, atakae teuliwa kupeperusha bendera ya CCM, kwenye nafasi ya urais, ni dhahiri na...
Wale wote tulioomba ajira za muda katika Tume Huru ya Uchaguzi kwajili ya uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura huu ni uzi wetu.
Tupeane updates ya majina yatatoka lini?
Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano
(1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na eliimu ya kutosha.
(2) Mpaka sasa Wizara husika haijatunga kanuni za kuendesha uchaguzi huu na bado...
Nimejiuuliza zilipo kanuni za kusimamia uchaguzi wa serikali za mtaa. Nimezisaka mitandaoni na kwenye gazeti la serikali zijaziona.
Lakini Mzee Lipumba na Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi wanasema kanuni zipo tayari. Mwana CCM mwenzangu umeziona kanuni hizi mpya za uchaguzi? Nani amezitunga? Je...
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) atakua live ndani ya TBC katika kipindi cha Jambo Tanzania hapo kesho tarehe 17 Mei,2024. Tukamsikilize
Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyingine zozote zilizopita...
Kinaungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika na kuungwa mkono na taasisi za kidini, taasisi za kiraia, mashirika ya kitaifa na kimataifa. Na kwahivyo...
Siku za hivi karibuni chama cha upinzani chadema kimeanza kufanya chaguzi zake za ndani,yapo makandokando mengi sana yameibuka kwenye zoezi hilo.
Miongoni mwa kashfa zilizoibuliwa ni nzito hasa kuhusu rushwa inayotumika kutoka vyama hasimu nao,makamu mwenyekiti wao ameongoza vita ya kukataa...
Nawaombeni sana mnieleweshe kuhusu TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI na TUME HURU YA UCHAGUZI. Katiba ya Jamhuri ya Tanzania inatamka kuwa kutakuwa na TUME YA TAIFA UCHAGUZI na Sheria ya 2024 inatamka kuwa kutakuwa na TUME HURU YA UCHAGUZI. Je NI kipi kiheshimiwe kwanza. Ni Katiba au Sheria?.
Wakuu habari za wakati.
Tunakumbuka yaliyotokea mwaka 2029 kwenye mchakato mzima wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji.
Watendaji ngazi ya mitaa na vijiji walielekezwa kuweka vikwazo kwa wagombea wasiotokana na CC kwa nafasi zote.
Wakurugenzi wa Halmashauri walishirikiana na...
Mimi nashauri uchaguzi wa serikali za mitaa usogezwe mpaka mwaka kesho na sheria ziwekwe vizuri. Wataalamu wengi wanasingizia muda wakati huo huo wanasema sheria zinahitaji kubadilishwa. Hivyo hakuna sababu ya kwenda kwenye uchaguzi ambao kwa ulivyo sasa utashusha na kupunguza uaminifu wa hata...
UCHAGUZI WOWOTE watu wa Bara hawatawapigia kura waliotokea Zanzibar
Watu wa Zanzibar wamekuwa sehemu ya kuharibu rasilimali za Bara (Tanganyika) ubaguzi
Kuingilia mambo yasiyo ya Muungano kujipa nafasi mbalimbali , kuuza bandari kufukuza Wamasai, kutumia viongozi wa Zanzibar katika nafasi zao...
Ungekuwa kwenye situation ya wabunge 19 waliofukuzwa CDM lakini bado wapo bungeni kwa hisani ya "mahakama." Ungefanyaje kuelekea uchaguzi wa 2025? Ungerudi CDM, ungeenda CCM au chama kingine? Kila mtu angekufa kivyake au mnafanya kama kundi? Ipi ni best option kwa "Covid-19's"
Kiongozi wa kijeshi nchini Chad Mahamat Idriss Deby Itno ndiye mshindi wa uchaguzi uliofanyika wiki hii, kulingana na matokeo ya awali yaliyotangazwa usiku wa kuamkia Ijumaa.
Matokeo hayo yamepingwa na mpinzani wake mkuu Succes Masra. Matokeo hayo yaliyokuwa yanatarajiwa Mei 21, yametolewa wiki...
MHE. KWAGILWA NHAMANILO: UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2025 MKOA WA TANGA KURA ZOTE TUTAMCHAGUA SAMIA SULUHU HASSAN
"Nitoe shukurani za pekee sana kwa Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan. Handeni Mjini tumekuwa na mradi mkubwa mara ya mwisho mwaka 1974, miaka 50 imepita Handeni Mjini hatujuwahi kuwa na...
Leo ni Siku ya pili ambapo TCD inawakutanisha wadau katika Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 na uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025.
Mkutano huu ulianza jana Mei 8 na unamalizika leo...
Tanzania ni Miongoni mwa nchi ambazo zinavyuo na taasisi zilizo na wataalamu wazuri wa utayarishaji mifumo mbalimbali kwa njia ya tehama mfano tume ya sayansi na teknolojia COSTECH, vyuo km DIT, na mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA, vyote hivi kwa pamoja na wadau wa sayansi na teknolojia...
Ukiona moshi, usidhani uko Mkoa wa Kilimanjaro, wakati mwingine ni moto unawaka chini kwa chini.
Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema Mkoa wa Mbeya amekiri kwamba uchaguzi ndani ya chama umejaa rushwa ya kiwango cha kutisha, kiasi kwamba aliamua ajiondoe kuogombea uenyekiti wa chama mkoa wa...
TCD kuwakutanisha wadau kutafakari Sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu.
Mkutano huu wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 na uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.