Uchaguzi wowote watu wa Bara hawatawapigia kura waliotokea Zanzibar

nuporo

JF-Expert Member
Oct 18, 2018
1,310
2,711
UCHAGUZI WOWOTE watu wa Bara hawatawapigia kura waliotokea Zanzibar

Watu wa Zanzibar wamekuwa sehemu ya kuharibu rasilimali za Bara (Tanganyika) ubaguzi
Kuingilia mambo yasiyo ya Muungano kujipa nafasi mbalimbali , kuuza bandari kufukuza Wamasai, kutumia viongozi wa Zanzibar katika nafasi zao za ukuu wa wilaya kunyanganya ardhi na kujimilikisha mfano Shaka hamdu Shaka huko aliko

Ni Dhahiri vijiji kote na maeneo mengi, suala la Tundu lissu kusema ukweli kuhusu Uzanzibari kila mtu ameipata somo

Ni wakati sasa kila serikali jitegemee Suala la muungano lisiwe sehemu ya Ardhi na fursa za maamuzi kwa watu wa Zanzibar ndani ya Tanganyika (Bara)

Katika chaguzi zozote zile yeyote ambaye ni Mzanzibari ndani ya Tanganyika (Bara) asipigiwe kura.. enough is enough
 
ka

Kajifunze tena siasa.
Za kuambiwa changanya na zako.
Tatizo hapa si wazanzibari.
tatizo ni CCM ,hawana DIRA wanongoza nchi kwa matamanio na utashi tuu.
Hata sisi Wazanzibari tunahitaji Mabadiliko, lakini suala la kutunyima Uhuru wa kuja kuwekeza Bara si katika masuala mazuri.

Wazanzibari wakiekeza Tanganyika ni kwa maslahi mapana ya Tanganyika yenyewe.
Tunazalisha Ajira, Tunachangia KODI tuna ongeza uzalishaji chakula na Kutanua wigo wa biashara huko Tanganyika.

Sisi Wazazibari tunawashukuru sana Wanyamwezi huku kwetu wanasaidia sana kilimo cha Mboga mboga hasa Mchicha, na Uuzaji wa Karanga Mitaani ambazo ni Mujarab kwa vijana wa kiume kuwaimarisha nguvu zao.
Aidha Kuna wajasiliamali wengi kutoka bara ambao wameichangamsha Zanzibar na wameongeza Msongamano wa watu hapa mjni na kuongeza pato kwa mama Ntilie na wenye Daladala , na Boda boda na bajaji.

Huu ndio aina ya Uchumi wetu wa Kipoyoyo tuliojaaliwa na
HAYA ndio MAONO YA CCM.
 
UCHAGUZI WOWOTE watu wa Bara hawatawapigia kura waliotokea Zanzibar

Watu wa Zanzibar wamekuwa sehemu ya kuharibu rasilimali za Bara (Tanganyika) ubaguzi
Kuingilia mambo yasiyo ya Muungano kujipa nafasi mbalimbali , kuuza bandari kufukuza Wamasai, kutumia viongozi wa Zanzibar katika nafasi zao za ukuu wa wilaya kunyanganya ardhi na kujimilikisha mfano Shaka hamdu Shaka huko aliko

Ni Dhahiri vijiji kote na maeneo mengi, suala la Tundu lissu kusema ukweli kuhusu Uzanzibari kila mtu ameipata somo

Ni wakati sasa kila serikali jitegemee Suala la muungano lisiwe sehemu ya Ardhi na fursa za maamuzi kwa watu wa Zanzibar ndani ya Tanganyika (Bara)

Katika chaguzi zozote zile yeyote ambaye ni Mzanzibari ndani ya Tanganyika (Bara) asipigiwe kura.. enough is enough
Acha uchochezi
 
Hakuna busara kumpigia kura mtu wa zanzibar awe kiongozi Bara.
 
Sawa
 
Back
Top Bottom