Ni chimbo lilo sheheni materials NOTES nzuri kweli kweli za masomo ya sayansi Physics , Chemistry, Biology & Mathematics.
Hizi ni NOTES adimu sana , hazikupi shida mwalimu pamoja na mwanafunzi un apokuwa unazitumia
Humfanya mwanafunzi aone raha ya kujisomea mwenyewe .
Chimbo lake ni Adimu...
Sikumbuki ni utawala wa awamu ya ngapi hasa tuliona polisi wakiyalinda maandamano ya vyama vya upinzani,hata nchi jirani ya Kenya maandamano Yao yamejaa vurugu mauaji na damu kumwagika,hata awamu ya nne ilioulea upinzani tunaouona hadi Leo haikuruhusu maandamano ya amani,Bado nakumbuka mauaji ya...
Jana kulikuwa na malumbano ya hoja juu ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Washiriki wengi walitoa hoja za maana sana kwa mfano
(1) Wananchi wengi hawana uelewa na uchaguzi huu hivyo kuwe na eliimu ya kutosha.
(2) Mpaka sasa Wizara husika haijatunga kanuni za kuendesha uchaguzi huu na bado...
Kujiajiri ni uwezo wa kuwa na chanzo cha kipato na kukiinua kutoka chini na kukiendeleza.
Kujiajiri ni kuzuri sana kama mtu mwenyewe amependa.
Sasa hapa hatutazami vijana wasomi tu, tunatazama vijana wote kwa ujumla (wasomi na ambao sio wasomi)
Kuwa msomi hakumaanishi anaweza kujiajiri.
Sasa...
Mafanikio uleta chuki pale umeonesha mabadiliko ya jambo lako ulilolitaka.Wengi walio kuchukulia wa kawaida baadaye wakaona umebadilika kwenye mafanikio basi umeleta chuki.
Chuki zenyewe sio za kuuliza umefikiaje yani ni za kutaka kuona umeanguka sababu wajataka kuona ulivyo.
USIONE...
Rafiki yangu mpendwa,
Ninayo furaha kubwa kukukaribisha kusoma kitabu hiki cha TABIA ZA KITAJIRI. Ni furaha kubwa kwangu kwani kwa wewe kukisoma na kuchukua hatua, nakuwa nimetimiza na hata kuvuka wajibu wangu wa kushirikisha maarifa haya ambayo yana nguvu kubwa kwa yeyote anayeyaelewa na...
Kila MTU anahitaji mafanikio Ila ukweli mafanikio yapo sehemu yoyote ile unaweza kuyapata Ila unachohitaji ni kuhakikisha unalipa gharama.
Kulipa gharama - ni kujikita na kuamua kulifanya jambo lolote unalokiamini kwa kujitoa kwa mwendelezo . (consistency)
Hivyo utofauti wa aliyeshindwa...
Tanzania Tuitakayo: Siri ya mafanikio ni kuwekeza kwenye teknolojia
Na Alpha Isaya Nuhu
Kwa TANZANIA TUITAKAYO miaka 5 au 25 ijayo, hakuna mjadala kwamba nyanja ya sayansi na teknolojia ndiyo itakuwa mhimili utakaotawala maendeleo na maisha ya Watanzania tunaposhuhudia kasi kubwa ya...
Hapa tanzania kuna kasoro inaweza kuwa ni vinasaba yetu tuliyopewa na Mungu ukilinganisha na mataifa mengine na tabia zao.
Kwa nini watu wenye maono, wazo, maarifa, uthubutu na mafanikio yakijitokeza basi nafsi zetu zinabadilika na kuanza kumchukia gafla bila sababu.
pili tabia zetu tunaweza...
Kesho ni Mai Mosi ambapo kimsingi unategemea kusikia maazimio mazito kutoka kwa TUCTA juu ya mambo ya msingi katika kusimamia maslami mapana ya wanachama wake.
Wanachama wao wamekuwa na changamoto kadhaa zisizo patiwa majibu na serikali. Moja ya kilio kikubwa ikiwa na kikokotoo cha kifisadi...
Wakati msimu wa 2023/2024 ukiwa unaelekea ukingoni huku mbumbumbu Fc, wakijanasibu kuwa wamepania kwelikweli kufanya makubwa katika dakika za jioooooooooooooooni kabisa za ligi ya NBC, yafuatayo ni mafanikio kutoka umbumbuni mpaka wakati huu msimu ukiwa ukingoni
1. Ngao ya jamii ✅
2. Muungano...
Tumeona furaha ya wanachama wenu ikiwa kubwa kule Zanzibar baada ya kutwaa kikombe Cha muungano baada ya kucheza mechi 2 na kubeba ndoo iyo, Mmewapa wanachama wenu walichokitaka kwa msimu mzima ni mafanikio ya kupigiwa mfano kabisa!
Ukiongeza Yale mafanikio ya wasap channel pamoja na ngao ya...
Simba ndio timu pekee Tanzania mpaka sasa yenye mafanikio na vikombe kabatini.
Sasa kelele za Mangungu na Try again zinatoka wapi?
Ukisikia hatumtaki Mangungu na Try again basi ujuwe hao ni Yanga.
Wana Simba tushikamane na viongozi wetu hawa ni lulu, jana Saido Mchezaji bora, Lakredi kipa...
✨ Your Trading Journey Begins Here ✨
Are you ready to dive into the world of Forex and come out a trading champ? 🏆 BIG BOYS CLUB INVESTMENTS is offering a FREE Forex course that you can't afford to miss!
https://youtu.be/Em0384gm6d8?si=_i-49mHkNqS8e7fO
📈 Learn the A-Z of Forex trading - from...
Hivi karibuni tumeshuhudia kiasi kikubwa cha fedha kutoka taifa la kubwa la marekani kuzisaidia nchi za Ukraine, Israel na Taiwan, lakini kwa kuangalia kwa jicho lingine ni kama ili kudili vizuri na na hawa new rising power wanatengenezewa kwa makusudi migogoro ya kisiasa na nchi ambazo ni...
Nimesikia mara nyingi sana viongozi, hasa viongozi wa vyama vya upinzani wakisema kuwa lengo kuu la chama cha siasa ni kushika madaraka. Maana yake chama kikishika madaraka kinakuwa kimetimiza lengo lake kuu. Na kikiyashika kwa muda mrefu zaidi ndivyo kinavyokuwa kimetimiza lengo lake kuu kwa...
Hivi karibuni, kampuni kubwa ya teknolojia ya China, HUAWEI, ilitoa ripoti yake ya mwaka 2023, ambayo inaonyesha kuwa operesheni za kampuni hiyo kwa ujumla zilifikia malengo, na kutimiza mapato yanayotokana na mauzo kote duniani ya dola za Marekani bilioni 99.18, na faida ya jumla ya dola za...
Ndugu zangu,
Huu sio wito au propaganda ya dini.
Uwe Mkristo au Muislam, tabu zako unazijua mwenyewe na yule unae hangaika kwenda kwake akuponye wala hafananii na uchungu wako.
Tumekuwa msaada mkubwa wa kifedha kwa kununua miujiza na visomo.
Niliwahi kusoma comment ya jamaa muislam hapa JF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.