Kupenda for the Children is an American non-profit organization that works to improve the lives of children with disabilities in low and middle income countries.
Habari zenu Wana wa Jamii forum? Ni matumaini yangu kuwa wote mnaendelea vizuri na pirikapirika za utafutaji mkate wa kila siku.
Bila kupoteza muda Leo acha nitowe hoja ya kizushi. Wanawake wengi ila sio wote wa Kafrika au weusi kwa ujumla hawajui maana ya kupenda. Wengi wao wanaigiza...
Kujiajiri ni uwezo wa kuwa na chanzo cha kipato na kukiinua kutoka chini na kukiendeleza.
Kujiajiri ni kuzuri sana kama mtu mwenyewe amependa.
Sasa hapa hatutazami vijana wasomi tu, tunatazama vijana wote kwa ujumla (wasomi na ambao sio wasomi)
Kuwa msomi hakumaanishi anaweza kujiajiri.
Sasa...
katika mazingira tofauti tofauti, mathalani mitandaoni, vyuoni na majukwaani kuna aina tofauti tofauti za wanasiasa na siasa. wapo vijana katika siasa, wazee, wanawake kwa wanaume.
wapo wanataaluma wa siasa za kitaifa na kimataifa. Lakini pia wapo wasio na taaluma bali vipaji na utashi wao tu...
Hayati Magufuli alikuwa anapenda sana kusifiwa na alichukia kukosolewa mana aliamini yeye yuko sahihi zaidi au anajua mengi zaidi kuliko wengine wote.
Watu wakajifunza kucheza na biti na kuanza kumsifia, kila atakae simama akaanza kumpa sifa yeye kwa " maono yake yaliotukuka na kazi nzuri"...
True story,
Tangu nimezaliwa mpaka Sasa nishakuwa kwenye mahusiano serious ×3 ukiachana na zile chapa ilale ambazo nimepita mpaka sikumbuki idadi ya nliopitanao, Na kwa Sasa Niko single Wala sipigi chapa ilale tena,
Ila hivi karibuni nimepita changamoto Sana, Kuna mtoto mumoja mchaga wa huru...
Pambania unachokiamini, watunze unaowapenda,waheshimu wanaokupenda, mshike anayekushika, mpende anae kupenda, usipoteze mda kwa asiye na mda na wewe, life is too short!
Ukimpata anae kupenda mpende zaidi
Ukinibishia hili kuhusu Kipa wa Yanga SC na Goli alilofungwa ( japo Kayaokoa mengi ) jua Wewe una lako Jambo na hujui Mpira na hata pengine haujawahi Kuucheza na huwezi Kuuchambua Kiufundi vile vile.
Abadilike kwa haya Mapungufu Oky?
Habari kwa wanajukwaa wote. Tukiwa tunaugulia matokeo yaliyopatikana katika mchezo wa mpira wa miguu kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Zambia tuliangazie hili jambo kwa ufupi kidogo.
Japo wengi watabisha ila ukweli ni kwamba moyo unapenda mara moja tu (tena humpenda mtu fulani tu), baada ya...
Huu ni utamaduni ni mzuri kuigwa
Utamaduni wa kukumbuka nyumbani walau maramoja kwa kila mwaka, kipengele hiki kwangu hunivutia sana, kwanza ni kama kihochea cha maendeleo ya kaya na kaya
Kile kitendo cha mtu wa familia fulani kurudi na kitu nyumbani na mtu wa familia fulani kutokuwa nacho...
Mtoto anakuwa boarding maisha yake yote, huko hafanyi kazi yoyote, hafui wala kukimbia mchakamchaka, tumeiga mifumo ya wapi huko?
Na hapa ndipo chanzo cha kuharibu vijana wa nchi hii,
Mtoto ambaye hawezi kufanya kazi zaidi ya kukaa tu, atapata wapi uchungu wa nchi na maliasili zake?
Ataweza...
Hivi hili jambo linawezekana kutongoza kwa kutumia ishara na ukafanikiwa? Hapa sikusudii zile ishara sugu za papo kwa papo aka part time.
Kuanzisha uhusiano wa kudumu na kufanikisha. Na hizo ishara tuwekeeni tupate elimu, ile ya kujikuna sehemu nyeti naamini haimo.
Iko hivi Mungu ni upendo,
A material which create God is Love.
Kama huna upendo wewe ni bure kabisa.
Mungu anawapenda watu wote wanao mjua na wasio mjua, wenye akili na wasio na akili wote Mungu anawapenda..
Upendo una sura pana, Mzazi akimchapa mtoto unaweza fikiri anachuki nae, lakini ni...
Mwanaharakati maarufu wa Marekani, Dr. Martin Luther King Jr. alishawahi kusema, "An idle mind is the workshop of the devil!". Mtu mmoja anisaidie kutafsiri kwa Kiswahili, tafadhali!🙏
Namna pekee ya kuiepusha akili kuwa "idle" ni kwa kuifanyisha kazi nzuri, na ili akili iweze kufanya kazi nzuri...
Rejean kichwa cha habari hapo juu.
Ipo wazi sasa hivi mwanaume kama huna hela mapenzi yatakusumbua sana, yaani kuna aina ya wanawake hutowapata regardless ya muonekana wako, family background, n.k.
Hii imepelekea wanaume wengi kuchacharika kuitafuta pesa, hata zile jamii/makabila yenye...
Mtu haumwi homa yoyote ya kuonekana.
Hana tatizo la afya ya akili (Ukichaa).
Anafanya kazi zake vema tu.
Sio mgomvi/mkorofi
Anajihisi huru mwenye raha na furaha anapokuwa yuko mwenyewe "alone"
Je mtu kama huyo yuko sawa au ana shida ya namna yoyote ile inayohitaji matibabu?
Wala simlaumu Kipa Ali Salim kwa Kufungwa Goli zile Mbili ( hasa lile la Pili ) kama ambavyo Wengi wenu mnamlaumu ila GENTAMYCINE nalia na Beki wetu Henock Inonga ambaye zaidi ya mara Mbili hapa hapa JamiiForums nimeshamuanzishia Threads kuelezea Madhaifu yake na kwamba yasiporekebishwa ipo Siku...
Kupenda ni maamuzi ya kihisia/ moyo, huku kunaweza sababishwa na kitu chochote hasa physique ya mtu au tabia
Kuamua kupenda ni conscious decision, maamuzi ya akili, haya ni matokeo ya situational analysis.
Tunapokua wadogo hua tunapenda, ila tunapokua wakubwa tunaamua kupenda.
Mara nyingi...
Kwahiyo kuanzia sasa Wewe jikite tu na Kuhangaika na Shughuli za Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo ukiwa kama Katibu Mkuu wake.
Haya ya sijui kuita Media au Kuisemea Serikali, Kumsemea Rais Samia na hata lile Zoezi la Kugawa Mamilioni ya Motisha kwa Vilabu vya Simba, Yanga, Taifa Stars na...
Asalam Aleykum, tumsifu Yesu kristo, Bwana Yesu asifiwe. Wanawake wanawake wanawake hakuna limbwata ya kumkalisha mwanaume chini.
Mwanaume kama hakupendi ni hakupendi tu usijihangaishe. Ukimpa mwanaume limbwata kama hakupendi hufui dafu bali utamfanya apende anavyovipenda siku zote.
Kama ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.