moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwanaumke wa mithali

    Naombeni wazo la Biashara kwa mtaji wa kati ya Milioni 2-3 kwa Dar es Salaam

    1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM M-pesa Tigopesa Airtel money Halopesa 2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh 3: Banda la chipsi + vinywaji ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU (300,000)
  2. Vichekesho

    Aliye tengeneza neti / chandarua moja kwamoja MOTONI / Jehanamu / Hell

    Neti inakera sana hususa ni kwetu wanaume weusi warefu, unakuta inakugusa gusa miguuni na kichwani, inakera sana, raha ya usingizi inatoweka. Halafu kuna mbu wanafanya mashambulizi kutokea nje. Wafupi hamta elewa hii adha ila mkikuwa mtajionea. #UziTayari
  3. ward41

    Naogopa ligi kutawaliwa na timu moja miaka sita/saba ijayo

    Kwa mwenendo huu naona club ya Yanga ikitawala league ya ndani kwa miaka mingi ijayo. Sioni mipango mikubwa kutoka club ya Simba, Azam. Naona Mambo yale Yale yakiendelea. Hofu yangu ni kwamba itakuwa kama ligi za south Africa, misri, Algeria, ambazo zinatawaliwa na club moja. Ligi zinakuwa...
  4. all about

    Chagua jambo moja tu la kuliondoa katika hii dunia

    Mimi nitaondoa "UJINGA" Kwasababu... Nilikuwa nikifikiria jibu la hili swali, ghafra akili yangu ilikumbana na haya mambo manne. Umasikini, vita, njaa, na kifo. Na nilikuwa nikifikiria kuondoa mojawapo ya hayo. Nilitambua kuwa dunia haitawahi kweli kuwa huru kutokana na matatizo hayo manne...
  5. Mhaya

    Papa abananishwa kuhusu wapenzi wa jinsia moja katika interview

    Katika video hii papa anapigwa maswali konki kuhusu kubaliki wapenzi wa jinsia moja, ambapo anasikika akikanusha na kusema ni kinyume cha sheria za kanisa, huku akisisitiza kuwa kubalika mtu mmoja mmoja ni sawa, ila sio kubaliki muunganiko wao
  6. J

    Tafuta TV station ya Tanzania ninuwe mda wa saa moja

    Mimi nataka kuanzisha kipindi cha tv show kwenye TV za Tanzania. Ila sijui mikataba ya vipindi Tanzania Ina kuwa je. Show hiyo itakuwa ni ya kusafiri kila nchi. Ila kwa kuanzia naanza kusafiri kila mkowa wa tanzania na kuongea wenyeji. Lengo kubwa itakuwa ni kuonyesha fursa za biashara, kazi...
  7. Ncha Kali

    Moja ya sababu kwa ndoa za kisasa kuyumba na kuvunjika hovyo hovyo ni kufifia kwa matumizi ya limbwata.

    Nasemajeeee? Huu ni ukweli ambao wengi wetu kwa kujua ama kutojua hatuusemi. Ukiacha mila za jando na unyago, hizi kitchen parts zimethibitika kukosa msaada wa kutosha kuimarisha ndoa. Tumeiga mifumo iliyofeli kutokea huko ilikotoka, tukaikumbatia na kuacha mifumo yetu. Sasa basi, unaambiwa...
  8. Uwesutanzania

    Kuna aina moja ya nyimbo za zamani nazitafuta

    Ilikuwa nikizisikiliza zamani mwenye redio free Afrika (RFA) Au redio Tanzania daresalaam (RTD) Ni nyimbo flani hivi msanii anaimba ila ni kama anaongea story flani hivi za masikitiko. Mara anataja SHAMBA mara sijui TOKA EE Ni aina fulani hivi za nyimbo nikama msanii analalamika hivi. Yaani...
  9. A

    TV4Sale TV mbili za Hisense na Ps3 moja zinauzwa kwa bei ya kitonga

    Habari zenu ndugu zangu? Ninauza TV mbili za inch 32 Brand Hisense na PS3 moja. TV moja ni 200,000 nakupa na Wall Bracket pamoja na HDMI Cable. Ps3 nakuuzia kwa 250,000 ina magemu yote mazuri, nakupa na Pad zake za kuchezea pamoja na HDMI Cable. SABABU YA KUUZA HIZI MASHINE, Nilikuwa...
  10. Logikos

    Tanzania (Cradle of Humanity na Moja ya Chimbuko la Mapinduzi Afrika) - The Untapped Cash Cow kupitia Utalii

    Tanzania - Chanzo cha Binadamu Kwanza kabisa ya Kaisari tumuachie Kaisari....; Tukifuata Historia Tanzania ni kwamba Chimbuko la Binadamu wa Kwanza ni nchini Tanzania Olduvai Gorge.., Ni kwamba hapa ndio Chanzo cha Binadamu na wote tumetokea hapa....; - Sasa hapo utaona kama vile watu...
  11. A

    TV4Sale TV mbili za Hisense na Ps3 moja zinauzwa kwa bei ndogo

    Habari zenu ndugu zangu? Ninauza TV mbili za inch 32 Brand Hisense na PS3 moja. TV moja ni 200,000 nakupa na Wall Bracket pamoja na HDMI Cable. Ps3 nakuuzia kwa 250,000 ina magemu yote mazuri, nakupa na Pad zake za kuchezea pamoja na HDMI Cable. SABABU YA KUUZA HIZI MASHINE, Nilikuwa...
  12. Meneja Wa Makampuni

    Kukosekana kwa intaneti: Kebo moja ya intaneti ilikatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban, je ni hujuma?

    Watumiaji wa intaneti nchini Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa intaneti huku watoa huduma kote Afrika Mashariki wakikiri kumekuwa na tatizo. Wamesema wanajitahidi kurekebisha tatizo hilo. Huduma hiyo ilikumbwa na hitilafu katika nyaya za chini ya bahari...
  13. R

    Jaji Warioba na Tundu Lissu wanazungumza lugha moja kuhusu Muungano na Katiba. Kwanini tumshambulie Lissu na kumwacha Warioba?

    Nimepitia kumbukumbu za mjadala wa katiba na Muungano kwa miaka zaidi ya 11 sasa. Kumbukumbu kwenye YouTube na mahojiano yaliyowahi kufanywa na vyombo mbalimbali ikiwemo midahalo inaonyesha msimamo wa Tundu Lisu ni msimamo wa Jaji Warioba. Matamshi anayotoa Warioba ndiyo anayotoa Tundu Lisu...
  14. A

    Nimeshusha Bei Wakuu, Tv's 2 za Hisense na Ps3 moja vyote kwa 800,000

    Habari zenu ndugu zangu? Ninauza TV mbili za inch 32 Brand Hisense na PS3 moja kwa 800,000 tu! Nilikuwa nachezesha PS mtaani (DSM) lakini nimepata ajira na ninahama Mkoa. Unaweza kuja ofisini kwangu kujihakikishia kama utapenda Mkuu. Mali hizi ni nzima na mimi ndio mmiliki halali. Hizi ni...
  15. Mag3

    Kumekucha, ni suala la muda tu. Taratibu sote tutaelewana na kuongea lugha moja!

    Nimemsikiliza kwa makini sana Mbunge Joseph Kasheku (Musukuma) akizungumza bungeni alipopewa nafasi. Japo mimi si mpenzi wa mbunge huyu lakini hata saa mbovu ukutani, kuna wakati unaweza kuitizama na kukiri inasema kweli. Najua hata mimi si mpenzi wa wana JF wengi lakini nawaombeni mumsikilize...
  16. ndege JOHN

    Kuna mtu anaomba ushauri amepata content

    Kuna Jamaa ana kipaji ila anauliza ata create account Kwa njia gani ili zikalink zote akawa anapata hela Kwa views anachotaka kujua account ili ulipwe hela Kwa views lazima atengenezewe na watalaam wa IT au hata yeye anaweza kukamilisha mchakato wote. Iwe fb iwe Instagram iwe Twitter iwe...
  17. M

    Nguvu Moja ndio imeiua Azam leo wala si mbinu za Mgunda

    Simba inakabiliwa na tatizo la umoja, tukiwa wamoja hakuna wa kuisumbua Simba, kuna watu wako Simba ndio wanaoamua kama Simba ishinde au ifungwe au itoke sare, mnaweza msiamini lakini hebu tuangalie kitalaamu, unawezaje kuibadilisha timu ndani ya siku moja ukiwa na akina Balua, Chasambi halafu...
  18. Mgosi Mbena

    Flat ya kawaida tubadililishane na Smart tv plus laki moja juu? Mwanza

    Jamani Mgosi nawaletea dili hili, kama una shida ya pesa ya fasta bila kupoteza. TV INCH32, Kampuni PineTech Flat screen ya kawaida pesa -100k cash
  19. ACT Wazalendo

    Bobali: Elimu isimamiwe na Wizara Moja

    ACT WAZALENDO ELIMU ISIMAMIWE NA WIZARA MOJA. Waziri Kivuli wa Elimu, Sayansi na Teknolojia amesema Hamidu Bobali ameitaka Serikali kuhakikisha sekta ya Elimu inasimamiwa na Wizara moja ili kuondoa mgongano katika usimamizi, utekelezaji na uwajibikaji. Kwa sasa Sekta ya Elimu inasimamiwa na...
  20. Balqior

    Wanaume wenzangu mnaweza ku-deal vipi na mdada uliemtongoza halafu akakukataa, mbaya zaidi unafanya nae kazi ofisi moja

    Habarini, Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha ndoano, mbaya zaidi kimoyomoyo unamchukulia serious, kipindi chote ulichokaa nae hapo ofisini, kwa tabia...
Back
Top Bottom