jinsia moja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mhaya

    Papa abananishwa kuhusu wapenzi wa jinsia moja katika interview

    Katika video hii papa anapigwa maswali konki kuhusu kubaliki wapenzi wa jinsia moja, ambapo anasikika akikanusha na kusema ni kinyume cha sheria za kanisa, huku akisisitiza kuwa kubalika mtu mmoja mmoja ni sawa, ila sio kubaliki muunganiko wao
  2. Sildenafil Citrate

    Adhabu ya kujihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja Tanzania ni kifungo cha Miaka 30 Jela

    Akijibu swali Bungeni, leo Mei 6, 2024, Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu Mwanaidi Khamis amsema Sheria ya Tanzania ipo wazi kwa wanaokutwa na hatia ya Kushiriki mapenzi ya Jinsia moja. "Kitendo cha kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja ni kosa la jinai...
  3. P

    Ugiriki yahalalisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja

    Ugiriki imekuwa nchi ya kwanza yenye Wakristo wengi wa Orthodox kuhalalisha ndoa za watu wa jinsia moja. Wapenzi wa jinsia moja sasa pia wataruhusiwa kisheria kuasili watoto baada ya kura ya Alhamisi. Waziri Mkuu wa Ugiriki Kyriakos Mitsotakis alisema sheria hiyo mpya "itakomesha kwa nguvu...
  4. P

    Papa: Wanaokosoa baraka za wapenzi wa jinsia moja ni wanafiki

    "Hakuna mtu atanipa kashfa ikiwa nitatoa baraka zangu kwa mfanyabiashara anayewanyonya watu, na hii ni dhambi kubwa sana. Lakini nitapewa kashfa ikiwa nitatoa kwa wapenzi wa jinsia moja, Huu ni unafiki" Papa Francis amesema anaona kuna "unafiki" katika kukosolewa kwa uamuzi wake wa kuruhusu...
  5. P

    Askofu Malasusa: Suala la ndoa za jinsia moja tuachieni sisi, vitabu vinasema ndoa ni ya mume na mke full stop!

    Katika sherehe za kukabidhiwa kazi leo, Askofu Malasusa amesema; "Kumekuwa na majadiliano mengi kuhusu suala la ndoa za jinsia moja na kwamba jambo la ndoa za jinsia moja tuachieni viongozi wa dini kwasababu ni letu, sisi tunajua vitabu vimesema ndoa ni mume na mke full stop. Tunahitaji...
  6. M

    Kupiga Punyeto ni kufanya mapenzi ya jinsia moja na pia ni kufanya mapenzi kinyume cha maumbile

    Wadau, Kwamimi ninavyoona, kufanya punyeto ni sawa tu kusema unafanya mapenzi ya jinsia moja lakini pia ni sawa tu kusema unafanya mapenzi kinyume cha maumbile. Nyie mnaonaje?
  7. K

    Rais wa Burundi asema wapenzi wa jinsia moja wanapaswa kupigwa mawe na hilo halitakuwa uhalifu

    Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsi moja nchini Burundi "wanapaswa kupigwa mawe" na kwamba hiyo haitakuwa uhalifu. Rais alisema hayo katika mkutano wa moja kwa moja na waandishi wa habari siku ya Ijumaa, akijibu swali la mwandishi wa habari. Alisema kuwa nchi zenye...
  8. Mto Songwe

    Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko Marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka

    Washiriki wa mapenzi ya jinsia moja huko marekani wameweka historia kuwa waumini wa mwanzo wa R.C kupewa baraka kama maagizo ya papa yalivyo agiza kwa viongozi wa kiroho kutekeleza agizo hilo. We need your help to continue and expand the Outreach ministry. Donate today As a married gay...
  9. Mr Why

    Sababu za Papa Fransis Kubariki Ndoa za Jinsia Moja

    Kanisa la Roma halina agenda yeyote ya ushoga ni maslahi ndiyo yanawatesa Wanajiuliza je kama hawa mashoga wana hela kwanini tusifanye namna tukazipata Nisawa na kusema mzinga ule wa nyuki una asali nyingi sana lakini una nyuki Afadhali tuumwe nyuki lakini tupate ile asali Kuumwa na nyuki...
  10. John Gregory

    Pope Francis: Ndoa za jinsia moja ni dhambi lakini wahusika wakaribishwe kanisani wasitengwe na ikibidi kupewa baraka

    Kiongozi wa kanisa katoliki duniani ametoa waraka unaoelezea kuhusu mambo mbalimbali ikiwemo suala la mahusiano baina ya waumini. Katika waraka huo Kiongozi huyo ameruhusu makasisi wa kanisa hilo kuwapokea na ikibidi kuwabariki wale wanaojihusisha na mahusiano ya jinsia moja. Akisisitiza kwamba...
  11. Jaji Mfawidhi

    Baba Mtakatifu hajabariki ndoa za jinsia moja!

    Catholic church cannot and will never bless same sex mariage! This Declaration considers several questions that have come to this Dicastery in recent years. In preparing the document, the Dicastery, as is its practice, consulted experts, undertook a careful drafting process, and discussed the...
  12. K

    Msipotoshe kuhusu Papa na ndoa za jinsia moja

    Papa Francis amewaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, yakiwa ni maendeleo makubwa kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja na mahusiano mengine ya kijinsia wanaofahamika kama LGBT katika Kanisa Katoliki la Roma. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki la Roma amesema makasisi wanapaswa...
  13. Execute

    Ingawa kwangu roman catholic sio kanisa la Yesu Kristo lakini media zinapotosha tamko la baraka kwa ndoa za jinsia moja

    Kwangu mimi roman catholic ni taasisi fulani ya kijasusi inayotawala sehemu kubwa ya dunia kupitia yule wanamuita bikira maria na wala haina uhusiano na kanisa la Yesu Kristo. Asilimia kubwa ya mafundisho yao ni matamko ya viongozi na mapokeo ya miaka mingi. Sasa kilichopitishwa na papa...
  14. kimsboy

    Watu waliobadili jinsia wanaweza kuwa wazazi wa ubatizo katika Kanisa Katoliki, mashahidi katika harusi za kidini na kubatizwa

    Watu waliobadili jinsia wanaweza kuwa wazazi wa ubatizo katika Kanisa Katoliki, mashahidi katika harusi za kidini na kubatizwa , ofisi ya mafundisho ya Vatikani ilisema Jumatano, ikijibu maswali kutoka kwa askofu. Idara hiyo, inayojulikana kama Dicastery of the Doctrine of the Faith, haikuwa...
  15. Mhaya

    Je, ushoga na mapenzi ya Jinsia moja haiturudishi Sodoma na Gomorrah tukakumbwa na hasira na Mungu (Wrath of GOD)?

    Wengi wetu tunakumbuka historia ya kwenye vitabu vya Dini kuhusu Sodoma na Gomorrah, uovu mkuu uliotawala katika miji hiyo ulikuwa ni Uzinzi na Ushoga ambayo leo tunatafsiri kama mapenzi ya jinsia moja. KATIKA BIBLIA Historia ya Sodoma na Gomora inapatikana katika Kitabu cha Mwanzo (Genesis)...
  16. sky soldier

    Kanisa la Anglikana linaruhusu ndoa za jinsia moja, Inakuwaje kuna watanzania wenzetu bado wanaendelea kwenda ?

    Ni tangu mwezi February mwaka huu kanisa la Anglikana lilipiga kura kufungisha na kuzibariki ndoa za jinsia moja. Nilitegemea kufikia mwezi huu makanisa ya Anglikana hapa Tanzania yawe matupu kwa sababu sisi watanzania tunayapinga mahusiano ya mwanaume kumruhusu mwanaume mwenzake kumuingiza...
  17. LIKUD

    Papa Francis: Hisani ya Kichungaji itumike wapenzi wa jinsia moja wanapowaomba mapadri baraka

    Nafikiri huu ndio wakati wa wakatoliki kusilimu au kurejea kwenye dini za mababu. Sisemi kuwa miongoni mwa waislamu hakuwa watu wanao fanya mambo hayo? La haha! Mambo hayo yanafanywa na watu wa dini zote wakristu kwa waislamu. Tatizo ni pale taasisi kama taasisi ya kidini inapo yatambua...
  18. BARD AI

    Benki ya Dunia yasitisha Mikopo Mipya ya Uganda kutokana na Sheria ya Kuzuia Mapenzi ya Jinsia Moja

    Taarifa ya WB, imesema uamuzi huo unatokana na Serikali ya Rais Yoweri Museveni kupitisha Sheria inayopingana na wanaojihusisha na Mapenzi ya Jinsia moja. "Maono yetu ya kutokomeza umaskini yanaweza kufanikiwa ikiwa yatajumuisha kila mtu bila kujali Rangi au Jinsia, Sheria hii inadhoofisha...
  19. Mr Why

    Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwasababu ni starehe ya mtu binafsi na maisha yake mwenyewe. Mtu amezaliwa mwenyewe na atakufa mwenyewe kwa wakati wake hivyo basi starehe zake binafsi aachiwe mwenyewe kwasababu hajalazimisha watu washiriki nae...
Back
Top Bottom