mawe

The Mawé, also known as the Sateré or Sateré-Mawé, are an indigenous people of Brazil living in the state of Amazonas. They have an estimated population of about 13,350. The Sateré-Mawé were the first to domesticate and cultivate guarana, a popular stimulant.

View More On Wikipedia.org
  1. Lolen lee5

    Mti wenye matunda nisharti upigwe mawe

    Mti wenye matunda sharti upigwe mawe ndivyo ilivyo pia kwa kiongozi bora na mzalendo kama MAKONDA Makonda ni miongoni mwa viongozi wachache barani Africa waliotayari kupoteza hata kile walicho nacho kwa ajili ya kuwapigania wananchi wake. Sote nimashaidi tumeishuhudia kazi iliyo tukuka ya P...
  2. Uhakika Bro

    Je, Tanzania ni kiwanda kipi kinajishughulisha na uchongaji mawe kupata meza, vigae etc?

    Naomba kuuliza: Hizi rasilimali zote za milima na mawe je tunapondea tu kokoto? Au kuna kiwanda kinatengeneza bidhaa kama hizi. Tungeweza kutumia fursa kutengenezea fanicha imara sana. Mambo ya meza za jikoni, vigae na vitu luxury vinavyoweza kuchongwa toka katika mawe mojakwamoja, je...
  3. Mzee makoti

    Barabara ya Bagamoyo eneo JKT Mbuyuni hatarini kukatika/ wachimba mawe

    Wakuu naona ofis ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam au Wilaya ya kinondoni imelala, pale mbele mbuyuni kama unaenda tegeta upande wakushoto karibu na kambi ya J.k.t barabara ya bgamoyo road had kufika mwakani itakuwa imekufa yote au kukatika. Wale wanaochimba mawe wanaikaribia kuikata barabara...
  4. Melki Wamatukio

    Kweli mioyo ya watanzania imekuwa migumu zaidi ya mawe. Unaanza vipi kutumia vidonge vya PrEP ?

    Kuna daktari mmoja hapa mtaani ana ka pharmacy kake kadogo ka mchongo ambako hutumia muda wa jioni kusogezea siku. Basi bhana, ikabidi nikaonane naye kutokana na masuala mazima ya ushauri nasaha kuhusu matumizi ya pombe yaliyokithiri yaliyosababishwa na homa ya mapenzi Wakati nilikuwa nikipata...
  5. M

    Mawe kwenye figo

    Salaam Wakuu, Binafsi nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu tumbo la chini kulia, maumivu makali sana baadaye yanapotea. Baada ya vipimo vya x ray, ultra soun na CT scan imebainika nina mawe matatu kwenye figo. Pia mkojo ninaokojoa ni wa njano sana na mwili unaniwasha . Majibu yametoka wiki 2...
  6. MINING GEOLOGY IT

    SoC04 Uchimbaji wa Mawe Kanda ya Ziwa Kuwa Mchango Mkubwa Katika Ujenzi wa Miundombinu

    Kanda ya Ziwa katika eneo la Afrika Mashariki, ambayo inajumuisha maziwa makubwa kama Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, na maziwa mengine madogo, ina utajiri wa rasilimali za jiolojia, ikiwa ni pamoja na aina mbalimbali za mawe. Kanda ya Ziwa ni eneo lenye umri wa kijiolojia wa...
  7. Pdidy

    Serikali ya Kenya yasitisha mauzo ya mbolea aina ya NPK

    Katibu wa Wizara ya Kilimo nchini Kenya, Dkt. Paul Rono, ameamuru kusitishwa kwa uuzaji wa mbolea aina ya NPK 10:26:10 inayotengenezwa na kampuni ya Ken Chemicals ya Thika. Katika barua yake kwa Bodi ya Kitaifa ya Nafaka na Mazao (NCPB), Dkt Rono amesema uchunguzi uliofanywa na maafisa wa...
  8. Lady Whistledown

    Fahamu mawe ya kwenye Koo yanayosababisha harufu mbaya ya Kinywa

    Uchafu utokao kooni ulio kama vimawe vidogodogo (tonsil Stones) husababishwa hasa na mabaki ya chakula, seli zulizokufa na uchafu mwingine, unaposhikiliwa katika tishu hizo ( Tonsil) Mabaki hayo hubadilika na kuwa magumu hadi kutengeneza uchafu kama vimawe vidogo (Tonsil calculi /...
  9. Chief Kumbyambya

    Wazee wa mipango nipo juu ya mawe, sielewi nishukie wapi

    Wasalaaaam waungwanaaa, nawasalimu kwa jina la upendo wa dhati. Hivi sisi wazee wa mitungi ni vipiii? Wazee kama nilivyosema hapa niko juu ya mawe sielewi. Hii ni baada ya kupiga mtungi heavy jana. Sasa leo nimejikuta nimeamka na elf kumi na tano tu, naona hamjanielewa, yaani 15,000/= tu...
  10. Hance Mtanashati

    Kati ya Ibrahim Class (King Class Mawe) na Hassan Mwakinyo Champez (Colorado King/Tornado) nani anafaa kuwa Pound for Pound namba 1 hapa nchini?

    Ibrahim Class anacheza uzito wa super feather wakati Hassan Mwakinyo anacheza uzito wa light middle weight. Je kama wangekuwa kwenye uzito sawa unahisi nani angeshinda pambano? Kwa upande wangu mimi binafsi naona Ibrahim angeshinda pambano ,na kwangu ndio Pound for Pound namba 1 hapa bongo na...
  11. M

    Inasemekana kutembeatembea kwenye Mawe au kokoto ni Tiba nzuri Ya viungo vya mwili

    Habari za mida wakuu, Penye wengi pana mengi katika pitapita zangu mtandaoni nikaona post MTU akielezea kuwa ...kusimama kwenye Mawe madogo madogo kama kokoto ni tiba nzuri ya maumivu ya miguu Na mgongo Na joints. Hilo zoezi unafanya kila siku asubuh Na jioni Kwa muda wa dk 15 mpaka 30...
  12. Light saber

    Video: Mvua zinazoendelea kunyesha Nchini, mvua ya mawe iliyonyesha Tarafa ya Machame, Katika wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro

    Video zikionyesha baadhi ya athari zilizotokana na Mvua kubwa ya mawe iliyonyesha Mkoani Kilimanjaro, Wilaya ya Hai Tarafa ya Machame Mashariki. Jogoo mbegu Hannah TODAYS
  13. D

    Kwanini Mwamposa anapondwa na wengi? Au mti wenye matunda ndo hupigwa mawe?

    Jana nimemsikia ruwaichi mahubili yake yote ni mwamposa eti anawaibia watu pesa wakati katoliki ndo balaa kwa michango. Ruwaichi alisema eti waumini wanaenda kuombewa wakati yeye anachukua hela tu bila kufanya kazi. Sasa Mimi nilijiuliza mapadre wanakula Bure hata askofu mwenye anakunywa...
  14. Webabu

    Mzigo wa vita waielemea Israel na huku wakisindikizwa na mawe wakati wakirejea nyuma.

    Hali ya vita inazidi kuwa mbaya kwa Israel kiasi kwamba wamelazimika kuondoa vikosi vyake kadhaa kutoka uwanja wa vita. Sababu kuu inayotajwa ni kuporomoka kwa uchumi wa nchi hiyo kiasi kwamba hakuna tena mafungu ya kuwahudumia askari walio mstari wa mbele.Sababu nyengine isiyowekwa wazi na nchi...
  15. K

    Rais wa Burundi asema wapenzi wa jinsia moja wanapaswa kupigwa mawe na hilo halitakuwa uhalifu

    Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsi moja nchini Burundi "wanapaswa kupigwa mawe" na kwamba hiyo haitakuwa uhalifu. Rais alisema hayo katika mkutano wa moja kwa moja na waandishi wa habari siku ya Ijumaa, akijibu swali la mwandishi wa habari. Alisema kuwa nchi zenye...
  16. ChoiceVariable

    Burundi: Rais Evariste Ndamishiye asema mashoga wapigwe mawe hadharani

    Rais wa Burundi Jenerali Evariste Ndamishiye amesema anadhani inafaa mashoga wakusanywe kwenye viwanja harafu wapigwe Mawe Hadi Kufa hadharani. -- Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsia moja nchini Burundi wanapaswa kupelekwa kwenye viwanja vya michezo na kupigwa mawe...
  17. MK254

    Video: Wapalestina watumia mawe kujaribu kupigana na HAMAS waliokua wanaiba chakula cha misaada

    Hali imekua mbaya, Wapelestina na magaidi ya HAMAS waanza kugombea chakula cha misaada, kwenye hii video jameni maskini Wapalestina wanatumia mawe kupambana na magaidi yaliyojihami kwa bunduki. Wafuasi wa HAMAS humu JF tafuteni namna ya kuwafikishia chakula waache kutesa watu...
  18. BICHWA KOMWE -

    Kwanini mbwa wanatupiwa mawe?

    Sijui ni desturi ya huko Tanganyika ama ni nini? Mtu akimuona mbwa lazima amtupie jiwe! Nafikiri hii pia ni mojawapo ya zile "tamaduni za kitanganyika" ambazo zinapigiwa makelele mpaka wameamua kuunda programu maalumu ya kwenye redio ili KUHUBIRI na KUTANGAZA UTAMADUNI WA KITANGANYIKA. Na...
  19. W

    Jiongezeni Wakuu wa Shule; ni kwamba achaneni na habari za mahafali mtapigwa mawe!

    Nasikia wenzenu wamesimamishwa kwa sababu ya 'kuruhusu' wanafunzi kucheza wimbo usio na 'maadili' wa Honey. Saaawa. Kusimamishwa kwao ni ujumbe kwenu mlio madarakani. achaneni na habari za muziki huko mashuleni kwenu. Kuachana na muziki tafsiri yake futeni mahafali, hakuna mahafali ambayo...
Back
Top Bottom