kutokana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    KERO Maji Malamba Mawili ni mgao mkali, baadhi ya Wakazi walio kwenye miinuko wana miezi hawapati maji kutokana na kasi ndogo ya maji yanayotoka

    Malamba Mawili maji ni ya mgao yanaweza maliza wiki 2 bila kutoka na yakitoka yanatoka usiku wa manane yakitoka kidogo kidodo, yanachirizika hayana kasi hata kidogo kiasi ambacho baadhi ya watu ambao nyumba zao zimepo kwenye miinuko kidogo maji hayafiki kabisa. Kuna baadhi ya watu wana miezi...
  2. Vodacom Tanzania

    Vodacom: Tutawafidia wateja wetu waliopata changamoto ya Mtandao wakiwa wamenunua huduma

    Dar es Salaam, 15 Mei 2024: Vodacom Tanzania inafuraha kutangaza kuwa huduma ya intaneti imerejea kikamilifu baada ya upungufu wa ubora wa huduma za intaneti nchi nzima. Tulipata changamoto ya kukatika kwa nyaya chini ya bahari hivi majuzi. Tunaelewa kuwa tukio hili limeleta usumbufu na...
  3. A

    Ndege zachelewesha safari kutokana na ukosefu wa Internet

    Mashirika kadhaa ya ndege yameathirika pakubwa kwa ukosefu wa internet. Kwenye Uwanja wa JNIA, KIA na Zanzibar ndege kama Emirates, Fly Dubai, KLM, Swiss na Air France zililazimika kuchelewa masaa zaidi ya 4 kutokana na kukosekana na internet. (Ndege kama Kenya Airways na Ethiopian wao walitumia...
  4. BARD AI

    Ubalozi wa Marekani - Tanzania wasitisha Miadi ya Wageni kutokana na tatizo la Intaneti

    Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania umesema kutokana na changamoto ya intaneti inayoendelea Nchini Tanzania, umesitisha miadi yote ya Watu wanaotaka kutembelea Ubalozi kesho. Taarifa fupi ya Ubalozi huo imesema Ubalozi utapanga ratiba ya kupokea Watu watakaofika Ubalozini hapo kwenye tarehe za...
  5. Webabu

    Sababu ya Israel kutokushinda vita ni kujipiga yenyewe kwa asilimia 40 kutokana na woga

    Huku vita kati ya Hamas na Israel vikikaribia kuvuka miezi 7 siri zaidi za udhaifu wa jeshi la Israel zinaendelea kufichuka. Pamoja na kusifiwa kwa ubora wa vifaa na ukubwa wa jeshi la Israel imeelezwa kuwa jeshi hilo limekuwa likijitia hasara kubwa kwa kuua askari wake na kuangusha droni zake...
  6. JanguKamaJangu

    Katavi: Barabara iliyofungwa kutokana na athari za mafuriko kuanza kutumika

    Meneja wa Wakala wa Barabara (TANROADS) mkoani Katavi, Mhandisi Martin Mwakabende ameifungua barabara hiyo baada ya kufanyiwa ukaguzi na ukarabati wa Daraja la Stalike kuelekea Mkoani Rukwa. Barabara hiyo ilifungwa na Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwanamvua Mrindoko baada ya kujaa maji...
  7. Pdidy

    Kutokana na matatizo ya kifamilia nimehamia yanga

    Hizi familia zina nini. Alieondoka kadai familia, Benchika nae familia problem. Na mimi nimeamua kuhamia rasmi Yanga kutokana na matatizo ya kifamilia.
  8. Uzalendo wa Kitanzania

    Je, Ndugu zetu wanaokula fungo wanazingatia mila zao au ni kutokana na uhaba wa nyama?

    Je Ndugu zetu wanaokula fungo wanazingatia mila zao au ni kutokana na uhaba wa nyama? Wadau hamjamboni nyote? Nimeleta hoja hii muhimu nilitarajia majibu yasiyo na kero wala karaha Nauliza kuwa wale ndugu zetu wanaokula yule mnyama mwenye harufu kali ya kuchefua aendaye kwa jina la fungo Je...
  9. N

    Chapakazi Dodoma: Je, unashida gani ndani ya jiji la Dodoma? kutokana na ubize wako huwezi kufanya ? haya kijana wako nipo hapa nitume nikutumikie

    Habari za kazi wakuu, poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku, Mimi ni kijana wa kiume mwaminifu na chapakazi sitaki nizungumze sana ila ufanyaji wangu wa kazi utajieleza. lengo la kuandika uzi huu maalumu ni kwamba kwa unyenyekevu mkubwa kabisa napenda kukutaarifu boss wangu natuma...
  10. BARD AI

    Hali ya Mazingira na Miundombinu ikoje katika eneo lako kutokana na Mvua zinazoendelea?

    Ripoti mbalimbali zinaonesha maeneo mengi ya Nchi yanakabiliwa na Mvua zinazoendelea kunyesha na kuathiri shughuli mbalimbali za kila siku ikiwemo Miundombinu Hali ikoje katika eneo lako na je, kuna usalama?
  11. Hakuna anayejali

    Kutokana na hila zenu viongozi basi na sisi hatufanyi kazi vema

    Habari wanajukwaa.Juzi nimeenda hospitali ya serikali kupata tiba ya mteguko wa miguu baada ya mazungumzo ya awali Kati ya dokta na mgonjwa (diognosis)dokta akaniambia hawana vifaa pale ila nichukuwe namba yake atakuja kunitibu nyumbani na hakika alikuja. Na kunasiku tena nikamchek dokta fulani...
  12. M

    Tanform-Arusha tunaomba mtutengenezee barabara mliyo ijaza udongo kutokana na ujenzi wa ukuta wenu Moshono Losirwai

    Tafadhali Tanfom Arusha ondoeni udongo eneo la barabarani uliotokana na ujenzi wa ukuta katika eneo lenu la moshono Losirwat. Kwa kweli mnatutesa hasa Watembea kwa miguu kwani mvua hizi zinasababisha matope na toyo zinashindwa kupita hivyo kututesa tunaporudi usiku kwani tunaachwa mbali na...
  13. A

    KERO Barabara eneo la Kongowe Mwisho - Vikindu haipitiki kwa siku 3 baada ya lori kuziba njia kutokana na ubovu wa barabara

    Mimi ni mkazi wa Mlamleni kata Tambani Wilaya Mkuranga. Tuna shida ya barabara hadi sasa ni siku ya tatu barabara haipitiki kutokana na ubovu wa barabara, gari kubwa la mzigo semitrela limeziba njia, hakuna gari wala bajaj inayoweza kupita, hata pikipiki zinapita kwa tabu sana kutokana na eneo...
  14. Bushmamy

    Kilimanjaro: Madereva wa mabasi na Costa watishia kugoma kutokana na ubovu wa Stendi ya Bomang'ombe

    Madereva wa mabasi ya mikoani pamoja na Costa hasa zile zinazofanya safari zake Moshi - Arusha wametishia kugoma kwa kile kinachodaiwa ni miundombinu mibovu iliyopo Stendi ya Bomang'ombe hasa barabara. Barabara ya eneo hili lililopo Hai Wilayani Kilimanjaro limetawaliwa na mashimo mengi na...
  15. Ritz

    Muda mfupi uliopita, IOF iliamua kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga kutokana taarifa za Iran kushambulia

    Wanaukumbi. 🚨 Muda mfupi uliopita, IOF iliamua rasmi kuwaita askari wa akiba kwa ajili ya mifumo ya ulinzi wa anga "kutokana na hali ya usalama." Kwa saa kadhaa, jeshi la anga na ulinzi wa IOF vimekuwa katika hali ya tahadhari na tayari kabisa, wakihofia jibu la Iran kwa shambulio la IOF la...
  16. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Nitaandaa muswada wa kisheria kila kiongozi mwanasiasa alipwe kutokana na Hali ya maisha ya mwananchi wa wa kawaida yalivyo!

    Ndivyo nitakavyofanya kama chama changu ccm kikiniteua na nikashinda uchaguzi huko tuendako. 1. Siasa itakua sio ajira Tena Bali kipimo Cha uzalendo kama jeshi letu lilivyo sio ajira na siasa itakua hivyo hivyo!yaani mtu hatoingia siasani kutajirika kama ilivyo Sasa Hilo msahau,ukitaka utajiri...
  17. chiembe

    Kutokana na mabadiliko ya kiutawala Arusha, serikali ikae makini ili jamaa asisababishe wazungu wakatoa travel advisory kwa raia wao

    Mkoa wa Arusha ni mkoa wa kitalii, unapokea maelfu ya watalii kutoka Ulaya na Marekani. Ni vyema basi, kutokana na mabadiliko ya kiutawala, na watalii huwa hawapendi rabsha, wamekuja kupumzika na kula raha, Dodoma(makao makuu) jicho lao liwe Arusha. Hata vyombo vya dola Arusha vikipewa amri na...
  18. Konseli Mkuu Andrew

    Kutokana na ukosefu sugu wa vitendea kazi Jeshi la Zimamoto napendekeza liunganishwe na kiwe kitengo ndani ya jeshi la polisi

    Siku za nyuma kidogo nilipiga simu jeshi la zimamoto na katika maongezi yetu na askari aliyekuwa mapokezi nikamuuliza ni kwanini huwa wanachelewa kufika eneo la tukio panapotokea ajali ya moto na hata wakifika huwa hakuna msaada wanaotoa. Alichonieleza ni kuwa sio kama wanapenda kufanya hivyo...
Back
Top Bottom