Kwa system ya Kenya huwa naona mara nyingi governor akichallenge na rais, is the hovernor more powerful?
Mfano kinachoendelea sasa Governor wa Mombasa kapiga marufuku miraa lakini Rais Ruto karuhusu
Pamoja na kukalia kiti cha uraisi kwa kipindi kifupi, marehemu Ebrahim Raisi wa Iran aliyekufa kwa ajali ya helkopta atakumbukwa kama mmoja wa viongozi mashujaa wa nchi hiyo.
Katika kipindi chake vitu vingi visivyotarajiwa kufanywa na nchi ambayo haijatajwa kama nchi iliyoendelea kama zile za...
Nimeshangaa sana jaziba za wairan wakiona kama kifo kimepangwa na wabaya wao au kosa lilofanyika ni kama mungu kakosea.
Sasa imani ina maana gani kama kifo mtaki kuamini kipo.
Tofauti na ndege za abiria kubwa,helkopta inaruka kwenda juu sawa na ndege ndogo za abiria.Si zaidi ya futi 10000.
Ziko chche ambazo zimewekewa injini za turbine ambazo ni za kisasa ambazo zinaweza kufika mpaka futi 25000,lakini haifikii hata siku moja futi 40000 zinakopita ndege za abiri za...
Kwa waturuki wao wanasema ni hatua kubwa waliyofikia kwa mara ya kwanza katika historia ya dunia.
AKINCI UAV ya Uturuki ilichukua jukumu muhimu katika kutambua mabaki ya helikopta ya Rais wa Iran Raisi.
Ni operesheni ya utafutaji na uokoaji ilitangazwa moja kwa moja 'LIVE COVERAGE' kupitia...
#HABARI Rais wa Iran Ebrahim Raisi pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Hossein Amir-Abdollahian na wengine kadhaa wamethibitishwa kufariki dunia katika ajali ya helikopta iliyotokea jana Jumapili Kaskazini-Magharibi mwa Iran hii ni kwa mujibu wa runinga ya Taifa hilo.
Taarifa za awali...
Taarifa za hivi punde:
Vikosi vya uokoaji vimefika eneo ilipotokea ajali na kukuta hakuna aliyepona katika ajali hiyo ya helikopta ambayo ilikuwa imembeba raisi wa Iran na waziri wake wa mambo ya nje Hossein Amirabdollahian.
Miili ya watu wote 9 waliokuwepo kwenye ajali hiyo imeungua moto...
Huyu Mheshimiwa ukisikiliza hotuba zake zote hawezi kuzungumza dakika 5 bila kulitaja Jina Mheshimiwa Raisi Samia. Hii trend amei maintain toka enzi za JPM.
Huyu ni kati ya mawaziri wachache sana wasio na unafiki kwa mabosi wao!
Siku hizi kumezuka Tabia za ma lorry Makubwa Kwa magari kuegeshwa Pembe zoni mwa barabara au kwenye njia za waendao Kwa miguu , hivyo kujaribu mazingira, kwani sehemu hizo sio hazikujengwa kuhimili uzito huo na Kwa madhumuni hayo. Na pia zina kiuka Haki za watumiaji wengine WA sehemu hizo, iwe...
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam zangu kwenu, ningependa kuendelea na mada yangu nzuri hapo chini.
Wakuu kwa wale wajuzi wenzangu wa mambo mbali mbali yanayoendelea duniani, nafikiri mshawahi kuusikia ule msemo unaosema kuwa "Paka akitoka, akiondoka au kuondolewa sehemu, basi...
Kwanza niombe moderators muiache hii thread ijitegemee, inaenda mbali zaidi ya kauli ya Lissu.
Kama una akili timamu na za kutosha, utakuwa umegundua kwamba suala la kusema kero za muungano zinatatuliwa limekuwa ni suala la kuzidi kuipa Zanzibar mamlaka yake kama nchi kamili na kuiondoa kwenye...
Hili walilofanya gazeti la mwananchi lilikuwa ni kusudio kuu la kujaribu kuzidi kumtukana Raisi Samia kupitia mtangulizi wake marehemu Magufuli.
Kama walivyosema familia kila anayemdhihaki marehemu Magufuli wao hawatamjibu watamuachia Mungu ajibu dhihaka zao,
Nina hakika kuna kigogo alitumia...
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter (x), Rais wa mmarekani JOE BIDEN amesema serikali yake inakusudia kupitisha dola bil. 7 kwa ajili ya kugharamia Sola 900,000 kwa ajili ya kaya maskini.
Amesema kwenye program hiyo mpya itawawezesha wamarekani wa kipato cha chini kumiliki Sola kwenye mapaa...
Uturuki itakuja kununua nguo Tanzania. Made in Tanzania.
Watazigombania nguo za Made in Tanzania
Ukiwa Uturuki tu utasikia "dont want if not Made in TanzaniA"
Mmesikiaa wanangu?
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema ikifika Aprili 15, 2024 atawataja kwa majina Watu wakiwemo Mawaziri wanaotoa fedha za kuwalipa Watu ili wamtukane Rais Samia mitandaoni kama hawataacha.
Akizungumza wakati wa Kumbukumbu ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Edward Sokoine...
Sikiliza hapa:
Katika Mkutano huo wa Hadhara jijini Arusha Gobless Lema amedokeza kuwa wapo baadhi ya Viongozi wa Serikali wanamtulana Rais Samia. Akifafanua jambo hilo Lema anasema:
"Natoa maelekezo kwa Viongozi wa Kanda na Makatibu Rais Samia yupo Arusha apewe Kadi ya CHADEMA. Anatukanwa...
Katika hafla ya kumbukizi ya siku ya kifo cha Sokoine leo, Makonda amesema tarehe 15 April atawataja hadharani anaowatuhumu kufadhili wanaomtukana rais mtandaoni. Kwamba anawajua na baadhi yao ni mawaziri.
Hili inaweza kumletea matatizo makubwa ya kisheria. Linaweza hata kupelekea kuwekwa tena...
Vitu vya salon ya kiume vinauzwa viko Goba kwa moga
1.Kiti cha kunyolea 220,000
2.sink la kuoshea 200,000
3.vioo viwili kila kimoja 40,000
4.mashine za charge moja 45,000 na mashine ya waya 20,000 pamoja ya kuchongea 10,000
5.kochi 60,000
Mabechi mawili ya wateja kusubiria 100,000
6.kiti cha...
Ndio Mama ni kama ameshindwa sasa kutatua changamoto za umeme na Siasa chafu.
Huu ukatikaji wa umeme tena masika ni wa kiwango cha juu mnoooo toka nizaliwe. Sio mgao ni ukatikaji umeme.
Sipo kwenye bwawa ila nahisi vitu vitatu.
1. Tumenunua mitambo chakavu bwawa la mwalimu nyerere
2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.