niende moja kwa mbili kwenye mada kuu. kuna hawa watoa nikopo wa sasa kwa njia ya Mtandao Dah wanafanya kitu cha AJABU sana
hizi ni kampuni za HOVYO sana mana wanakopesha wanawake ambao hawana kazi yoyote MTAANI .Bali wanakula tu Hizo hela alafu wanashindwa kulipa na kudhalilishwa na watoa...
Nilitembelea website flani wanaposti mikeka imetiki yani sure odds fixed matches, nikalipa dola 30 takribani shilingi elf 80 kuungwa kwenye group, humo ndani ni upuuzi mtupu game wanazoweka ni chache zenye odds za 1.01 yani ukiweka laki ushinde buku lakini ukija kwenye website zao wanadanganya...
Biashara ya kupiga picha inafaa sana kwa mtu yeyote anayepitia changamoto ya kukosa pesa ya kujikimu iwe mtaani au chuoni.
Kama unamiliki simu inayoanzia laki tatu na kuendelea ila hauna ajira, ni kheri kuuza simu na kununua DIGITAL CAMERA ya kisasa ambayo utapiga picha za aina zote kwa gharama...
Ndio ndio kweli umefika pale,lakini wananchi walitarajia makubwa zaidi siyo jinsi ilivyojiri hapo jana!
Wahuni walijitahidi kukuchelewesha usifike mapema kusikia kero za hao wananchi,ambazo ni nyingi kuliko ulivyoambiwa eti mambo ni safi Samiah hadaiwi!
Samiah ataachaje kudaiwa wakati zahanati...
Jamani wanawake wa saizi imekua pasua kichwa ! yaan suala la kufunga vilago ni dakika sifuri
Uvumilivu -0
Utulivu-0
Tamaa -100%
Nipeni mbinu madhubuti ya kudumu na mwanamke?
Kwenye mpira wa miguu hakuna kitu kizuri kama kupambania timu na hilo ndilo ambalo limeifanya Yanga wafikie hapa walipo ukiachana na mbinu na ufundi wa kocha Gamondi. Viongozi wa Yanga wanaonesha wanataka kitu, wachezaji wanaonesha wapo tayari kupambana kufikia lengo na kila mechi wanacheza kama...
Simba inakabiliwa na tatizo la umoja, tukiwa wamoja hakuna wa kuisumbua Simba, kuna watu wako Simba ndio wanaoamua kama Simba ishinde au ifungwe au itoke sare, mnaweza msiamini lakini hebu tuangalie kitalaamu, unawezaje kuibadilisha timu ndani ya siku moja ukiwa na akina Balua, Chasambi halafu...
Alianza kunitafuta toka last week na kujisemesha semesha kuwa ananimiss na namiss jinsi ambavyo tulikuwa tunakutana kimwili kisawa, mimi nikawa namjibu tu kifupi.
Huyu demu aliamua kuachana nami baada ya kupata jamaa mmoja brazamen ana pesa, mimi akaniona pangu pakavu tia mchuzi, akasahau...
Ni namna gani ya kuishi na kiongozi mwenye lugha ya ukali na matusi katika eneo la kazi
Asiyeshirikisha wengine katika jambo lolote zaid ya kuendekeza ubabe na paniki zisizo na msingi
Kubwatwa muda wote hata kama jambo ni dogo
Asiyependa ushauri kusikiliza watu na kukaa meza moja kupata...
Katika historia, watawala walitumia mbinu kali za adhabu kwa lengo la kuadhibu maadui zao pamoja na wale walio tekeleza matukio ya kihalifu. Pia walitumia mbinu hizo kama njia ya kuwafanya wahalifu hao kusema na kutaja wenzao ambao walihusika katika uhalifu huo.
Ancient rome, Greek, China, ni...
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea salama na shughuli za ujenzi wa Taifa.
Kwanza kabisa nianza kwa kuanza kuwapongeza wote ambao mnapambania Biasha zenu.Mungu awasimamie na kuwapa Ushindi.
Leo naleta mjadala unahusu eneo nyeti sana katika biashara.Eneo hili linahusu...
Hizi mbinu ninazo wapa haimaanishi kwamba mimi binafsi nimezitumia au nilishawahi kuzitumia ila hii inatokana na uzoefu wangu mdogo humu jamvini
Kwakuwa wanawake wanapenda mambo mazuri basi hupenda kuwa na wanaume ambao walau wako njema hata kama hawana pesa mingi kivile ili mradi wapate...
Wakuu, unaanzaje anzaje kutongoza mishangazi maana mishangazi unapoifata inakuwa seriouz sana, halafu ukienda kichwa kichwa unaweza ukakemewa na mshangazi hadi uone siku yako imeenda vibaya.
Hapa mi namaanisha mishangazi ya kuanzia miaka 45 na kuendelea.
Serikali ya Tanzania imetoa Jumla ya shilling billion 66 Ili kurekebisha Miundombinu iliyoharibiwa na mvua
Fedha hizo zimegawanywa Kwenye mikoa Yote iliyoathirika
---
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa Bilioni 66 kwa ajili ya kuanza urejeshaji wa miundombinu ya barabara...
Mkutano wa Kimataifa wa Kwanza wa Umoja wa Mataifa kuhusu Miundombinu ya Umma ya Kidijitali ulifanyika chini ya uongozi wa India wa kutumia teknolojia kukuza Malengo Endelevu ya Maendeleo (SDGs) na kukuza ushirikishwaji, amesema Ruchira Kamboj, Mwakilishi wa Kudumu wa India kwa Umoja wa Mataifa...
Tumekaribia siku ya wafanyakazi Duniani. Kitaifa siku hii kwa Tanzania na nchi baadhi za Afrika utumika kuwalaghai watumishi wa umma kwa kuwapa Maneno matamu na ya faraja
Tupo kwenye tatizo lililoanzishwa na CCM kupitia bunge linaloitwa kikoakotoo...naamini hapa patakuwa na siasa siku ya mei...
Umeshindwa kulipa deni, benki wanakuja kuchukua nyumba
Magonjwa yasiyo na tiba unasubiri kifo
Kufilisika na huna ujuzi wala mtaji
Kugundua watoto sio wako
kuingia 18 za vyombo vya dola,
N.k.
Wengi kimbilio la kupunguza stress huwa ni pombe, ngono, bangi, madawa, n.k. na mwishowe huwa waraibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.