Walimu zaidi ya 50 kutoka Katika shule za msingi zipatazo 46 katika Tarafa mbali mbali wilayani Rombo,mkoani Kilimanjaro wamelazimika kuuza Rasilimali zao kama vile mbuzi,kuku na baadhi ya vitu vya ndani na wengine kuingia kwenye mikopo ili kuweza kupata pesa Kwa ajili ya kujihamisha wao...
Biashara ya kupiga picha inafaa sana kwa mtu yeyote anayepitia changamoto ya kukosa pesa ya kujikimu iwe mtaani au chuoni.
Kama unamiliki simu inayoanzia laki tatu na kuendelea ila hauna ajira, ni kheri kuuza simu na kununua DIGITAL CAMERA ya kisasa ambayo utapiga picha za aina zote kwa gharama...
Habarini ndugu, kuna mwamba namdai pesa about 100m.. jamaa nilimkopesha na tuliandikishana mkataba. Ni muda mrefu miaka 5 sasa. Nilimpeleka police, lakini haikuzaa matunda kwa kuwa jamaa alikuwa na wadhifa fulani ndani ya chama na kaka yake ni mteule wa raisi hivyo nikagonga mwamba.. nikaenda...
Je, wajua kwamba waweza jipatia pesa nyingi sana kupitia Youtube? Labda unajiuliza ni jinsi gani jambo hili linawezekana! Leo nakupa maujanja kuhusu mchongo huu. Video nyingi ambazo hua unazitazama YouTube ni chanzo kikubwa sana cha pesa kwa wanaopost video hizo, yawezekana hujawahi kuujua...
Elimu ya bure kabisa hii;
Ingia Mabibo sokoni ama Buguruni. Kapoint matikiti manne ya elfu nne nne. Kila tikitiki likate vipande 40 vya Tsh. 200 @1.
Kwa kila tikiti itatoa gross amount ya 8,000. Ukitoa mtaji wa 4,000 @1, unabaki na faida ya 4,000.
Kwa tikiti zote nne = 4,000 × 4 ~ 16,000...
Tambua stadi zako na maslahi yako. Hatua ya kwanza ya kupata pesa mkondoni ni kugundua uwezo wako na kile unachopendezwa nacho. Hii itakusaidia kupata fursa sahihi na kuhakikisha unafurahia kazi unayofanya.
Unda tovuti au blogu. Ikiwa unataka kupata pesa mkondoni, utahitaji kuwa na uwepo...
Nilichogundua na kuona kwa macho sio kila mtu anaweza kuimiliki pesa na ikakaa upande wake .
That way watu wana vipato vikubwa but they still broke .
Nb: Maarifa wanayo watu wachache na hao watu wachache ndo wapo huru
nadhani Kazi ya heshima au kuingiza pesa nyingi bado haiwezi kukufanya...
Hello wakuu,
Katika maisha huwa kuna mambo mengi, sisi kama binadamu huwa tunapitia, na baadhi ya haya mapito, yanaweza kukuvuruga kabisa kiakili kupelekea kufanya au kujaribu kufanya mambo ambayo hata hukuwahi kudhania.
Moja ya mambo haya ni "Being So Desperate To Earn Money"
Nimecheck...
Kwema wadau? Leo kwenye pitapita zangu mtandaoni nilikutana na picha hii chini ya huyo mwamba aliyeshinda Milioni 10 kwenye kampuni moja ya kubetti mtandaoni, Sokabet.
Nilibaki najiuliza tu huyo mwamba anajiskiaje? Furaha sana maana inawezekana hajawahi kushika pesa nyingi hivyo? Au anajiskia...
Biashara yoyote lengo ni kupata pesa na kupata pesa mwishowe kuwa tajiri kukua kiuchumi.
Naombeni ushauri wenu. Nataka kufungua biashara ya spares za pikipiki. Je mnadhani naweza anza na mtaji wa chini wa tsh ngapi?
Pia kama kuna mtu kwa hapa Dar anaweza shauri eneo zuri kwa biashara au...
Kwa wale wanaofatilia Azam TV, kuna mahojiano na mashabiki kuelekea mechi ya Yanga na Simba. Katika mahojiano hayo kuna shabiki mmoja wa Yanga anatamka bila wasiwasi na Azam TV kumuweka hewani kuwa, Simba hawawezi kufunga Yanga bila makandokando na hata walipomfunga nne walimhonga Yondani...
Habari wanaJamii, leo nimetuma pesa zilizozidi kimakosa kwenda RITA; kwa maana nimetuma 30,000 badala ya 3,000, ni utaratibu upi nawezafanya kupata kiasi nilizozidisha? msaada tafadhali.
Swali hili watu hujiuliza kwa mda sana nikiwepo na mimi kama kunauwezekano wa kutengeneza kipato kwa kupitia Internet..........
Basi wakat wa zamani kulikua na app nyingi zinazotoa mda wa maongezi baada tu ya kujiunga na unawaza pata hata elf 5 mda wa maongezi kwa siku lakini siku hizi naona...
Habari
Siku zilizopita nilipost Uzi kuhusu Mtaji wa 25,000 Unavyonipatia laki 4 kila mwezi>>
Watu wengi walitaka kujua jinsi ya kupata Watembeleaji wengi kwenye Blog.
Binafsi natumia njiaa kuu mbili kupata views kwenye blog yangu.
1. Natumia Magroup ya WhatsApp>.
Huwa Na-share Links za posts...
Hii ni special kwa vijana wanaotafuta mtaji. Kwakuwa watu wengi wameshajazwa upepo kuwa hawana nguvu za kiume kumbe wanazo tele na Dar ni jiji kubwa basi wewe cheza na fursa.
Nenda kanunue vile vichupa vidogo vinauzwa around 200 tsh. kama sitakosea, kisha unaingia kando ya mji unachukua magome...
Katika hali isiyo ya kawaida maisha ya mwanadamu hasa mtanzania yanazidi kuwa magumu sana. Huku anadaiwa kodi ya nyumba na kuiendeleza familia na ndugu zake, huku anatakiwa kushiriki michango mbalimbali ya serikali ya kijiji, huku michango ya msikitini na makanisani inamsubiri yeye, huku mambo...
Wasalaam wakuu,
Kwanza poleni na kazi kwa ambao michongo imegoma mpaka sasa, na pia hongereni na kazi kwa ambao michongo imeenda sawa.
Wakuu, mm ni mhanga wa kukosa ajira, zaidi mhanga wa maisha magumu. Siku hizi nimeshaanza kuzoea mlo mmoja😁, sijisifii ila ukweli upande wangu hali ni ngumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.