Ex wangu anataka nimpe mbinu ili mpenzi wake mpya awe na uwezo wa mkubwa wa kushiriki tendo la ndoa

Minjingu Jingu

Senior Member
Nov 2, 2023
138
505
Alianza kunitafuta toka last week na kujisemesha semesha kuwa ananimiss na namiss jinsi ambavyo tulikuwa tunakutana kimwili kisawa, mimi nikawa namjibu tu kifupi.

Huyu demu aliamua kuachana nami baada ya kupata jamaa mmoja brazamen ana pesa, mimi akaniona pangu pakavu tia mchuzi, akasahau tumetoka wapi. Basi tu akafanya visa tumeachana siku mbili tatu namwona ana date mtu, nikajua ilikuwa njia ya kuondokea kwangu.

Namjua ni demu ambaye tulizoea sana kupiga show, ilikuwa show show. Tulizoezana hivyo. Tukigombana show, tukikasirika show, tukifurahi show, ilikuwa tu ni kuchuja nafaka mchana na usiku na vile sikuwa na pesa that time basi nikawa napunguzia machungu kwake.

Basi kaenda kwa jamaa kumbe ana miss mikunjo yangu na mikandamizo so baadaye ndo ananiambia jamaa hajiwezi kitandani.

Sasa ananiuliza mi huwa nakula na kunywa nini ili awe anamwandalia jamaa maana wameanza kuwa kama wanaishi wote, zaidi zaidi anasema anataka aje gheto tuongee. Nimemwambia nina msichana mwingine, ananiambia basi atalipia Hotel twende nikamvuruge vuruge mpaka ashindwe kutembea.

Nimemkatalia, basi ndo anabembeleza kama sitaki basi nimwambie nafanyaje, nakulaje nakunywaje. Nimemwambia amnunulie mkongo. Anasema hawezi maana jamaa atajishtukia. Maana kila mara akimaliza haraka anasema ni sababu anasafiri safiri sana anakuwa busy.

So kuna wakati anashindwa kabisa kupiga show anasema amechoka anaishia kumlamba tu na sasa ananitaka tupige show, nami sitaki kumrudia alinitosa huyu mbwa akatafute wa kumkamua huko nje mbali na mimi.

Leo kanitunua Tsh. 355,000. Anasema ni za voucher maana sometime akinitafuta simjibu namwambia sina bundle so demu anataka turudiane kwa siri. Nami sitaki coz aliniumiza sana that time, nikaja mpata mdada mmoja mzuri mwelewa naye tumefundishana kukamuana na anapenda sana sex kwa sasa. Basi tunafarijiana.
 
Kama hujaoa bado nenda kamle tu tena zidisha vionjo mara mbili umvuruge kabisa. Maisha mafupi sana kama mtu kamiss mizagamuo mpatie achana na yaliyopita

Huyu demu aliamua kuachana nami baada ya kupata jamaa mmoja brazamen ana pesa, mimi akaniona pangu pakavu tia mchuzi, akasahau tumetoka wapi.

Namjua ni demu ambaye tulizoea sana kupiga show, ilikuwa show show.

Basi kaenda kwa jamaa kumbe ana miss mikunjo yangu na mikandamizo so baadaye ndo ananiambia jamaa hajiwezi kitandani

nikaja mpata mdada mmoja mzuri mwelewa naye tumefundishana kukamuana na anapenda sana sex kwa sasa. Basi tunafarijiana.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌
 
Alianza kunitafuta toka last week na kujisemesha semesha kuwa ananimiss na namiss jinsi ambavyo tulikuwa tunakutana kimwili kisawa, mimi nikawa namjibu tu kifupi.

Huyu demu aliamua kuachana nami baada ya kupata jamaa mmoja brazamen ana pesa, mimi akaniona pangu pakavu tia mchuzi, akasahau tumetoka wapi. Basi tu akafanya visa tumeachana siku mbili tatu namwona ana date mtu, nikajua ilikuwa njia ya kuondokea kwangu.

Namjua ni demu ambaye tulizoea sana kupiga show, ilikuwa show show. Tulizoezana hivyo. Tukigombana show, tukikasirika show, tukifurahi show, ilikuwa tu ni kuchuja nafaka mchana na usiku na vile sikuwa na pesa that time basi nikawa napunguzia machungu kwake.

Basi kaenda kwa jamaa kumbe ana miss mikunjo yangu na mikandamizo so baadaye ndo ananiambia jamaa hajiwezi kitandani.

Sasa ananiuliza mi huwa nakula na kunywa nini ili awe anamwandalia jamaa maana wameanza kuwa kama wanaishi wote, zaidi zaidi anasema anataka aje gheto tuongee. Nimemwambia nina msichana mwingine, ananiambia basi atalipia Hotel twende nikamvuruge vuruge mpaka ashindwe kutembea.

Nimemkatalia, basi ndo anabembeleza kama sitaki basi nimwambie nafanyaje, nakulaje nakunywaje. Nimemwambia amnunulie mkongo. Anasema hawezi maana jamaa atajishtukia. Maana kila mara akimaliza haraka anasema ni sababu anasafiri safiri sana anakuwa busy.

So kuna wakati anashindwa kabisa kupiga show anasema amechoka anaishia kumlamba tu na sasa ananitaka tupige show, nami sitaki kumrudia alinitosa huyu mbwa akatafute wa kumkamua huko nje mbali na mimi.

Leo kanitunua Tsh. 355,000. Anasema ni za voucher maana sometime akinitafuta simjibu namwambia sina bundle so demu anataka turudiane kwa siri. Nami sitaki coz aliniumiza sana that time, nikaja mpata mdada mmoja mzuri mwelewa naye tumefundishana kukamuana na anapenda sana sex kwa sasa. Basi tunafarijiana.
Hebu nipe namba yake huyo EX niongee nae kiushauri zaidi
 
?
 
Attachments

  • 1000130449.jpg
    1000130449.jpg
    166.3 KB · Views: 1
Back
Top Bottom