Jinsi Rais Samia alivyomsaidia Lissu kutoka mafichoni

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Sep 9, 2020
6,957
12,410
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam zangu kwenu, ningependa kuendelea na mada yangu nzuri hapo chini.

Wakuu kwa wale wajuzi wenzangu wa mambo mbali mbali yanayoendelea duniani, nafikiri mshawahi kuusikia ule msemo unaosema kuwa "Paka akitoka, akiondoka au kuondolewa sehemu, basi Panya hutawala".

Msemo huu umedhihirishwa na kile kinachoendelea sasa nchini Tanzania. Nakumbuka mwanzo kabisa mwa mwaka jana, rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe Samia Suluhu Hassani aliruhusu ufanyaji wa mikutano ya hadhara kwa vyama vyote. Kwa masharti kwamba mikutano hiyo ijikite zaidi katika hoja za msingi, na sio matusi, ugomvi, wala vurugu.

Baada ya tamko hilo, vyama vyote vya siasa vilifurahi, na kujipanga kwa ajili ya kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano mbali mbali.

1. CUF kilifanya mkutano wake mmoja tu pale Magomeni kikiongozwa na mwenyekiti wao Prof Ibrahim Lipumba kikaangukia pua na kuacha kabisa kuendelea na mikutano.

2. ACT Wazalendo wao nguvu yao wakaielekeza huko Zanzibar baada ya kugundua kwamba bara hawana uungaji mkono kutoka kwa watanzania bara, maana hoja zao zinajikita zaidi kuipigania Zanzibar badala ya Tanzania yetu yote.

3. Hawa walikuja na mikwara mizito, mwenyekiti na makamu wake wakagawana mikoa ya kuzunguka. List ikatengenezwa. Ikawa mwenyekiti huku, makamu kule. Ikafika kipindi mpaka mwenyekiti akaja amelewa kule Mwanza na katika hotuba yake akajiita na yeye mwana CCM. So likafunikwa funikwa na chawa wake siku zikapita. Sipati picha kama kauli ile ingetolewa na mtu kama Mbatia.. moja kwa moja angeonekana ni mwana CCM alievaa ngozi ya upinzani butu ili kuwahadaa wapinzani wenzake. Lakini kwa vile kauli ile ilitamkwa na mwenyekiti wao basi hilo halikupewa sana voice likafunikwa lipite. Kuna msemo unaosema "kunya anye kuku tu, lakini akinya bata kaharisha".

Pilika za Chadema zikawa nyingi hadi tukaletewa na list ya mikoa watakayozunguka kufanya mikutano yao. Mwaka huo huo wakati Chadema na vyama vingine vikiendelea kuzunguka huku na huko kufanya mikutano yao wakiongozwa na viongozi wao kina Lissu na Mbowe. Ghafla raisi Samia akachafua hali ya hewa katika mikutano hiyo kwa kumteuwa ndugu Paul Makonda kuwa katibu mwenezi na itikadi wa CCM.

Uteuzi huo ulionekana kukinyong'onyesha Chadema na viongozi wake wote. Kwani ghafla mikutano ikasitishwa kuogopa aibu ya kulinganishwa muitikio wa watu katika mikutano ya kina Lisu na Makonda.

Mbowe akaanza kudai amenyimwa vibali vya kurusha ndege hewani, baada ya kuona Makonda amesema atamsaidia kupata vibali anavyotaka ili waendelee kupambana kwa hoja kupitia mikutano mbali mbali, mwenyekiti na makamu wake wakaamua kukaa kimya.

Huku wakimuacha Makonda anazunguka tu peke yake mkoa kwa mkoa. Tupo tuliokuwa tukihoji walipo viongozi wa vyama vya siasa waliokuwa wakipiga kelele mikutano ya siasa iruhusiwe, sasa imeruhusiwa baada ya kumuona Makonda wamekimbia. Wengine wakahisi huenda Makamu amesafiri au kuna mambo ambayo hakubaliani na viongozi wa nchi ndomaana muda wote alikuwa kimya hazunguki tena mikutanoni wala kuonekana hadharani.

Mwezi uliopita rais Samia kafanya mabadiliko ambayo yamemuondoa Makonda katika nafasi ya chama aliyokuwa nayo, na kumpeleka kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, hivyo hatokuwa anazunguka tena kama alivyokuwa anazunguka miezi kadhaa iliyopita. Ndo tunaanza kuwaona tena kina Lisu wanatoka mafichoni na kuanza kuzunguka huku na huko wakijua kwamba yule aliekuwa anawafanya wajifiche hawezi tena kuwasumbua maana ashapewa nafasi nyingine ambayo haiingiliani kabisa na yale wanayoyafanya sasa hivi.

Lissu badala ya kumshambulia rais Samia anatakiwa amshukuru kwa kumtoa Makonda kule alipokuwepo, na kumtupa kwenye ukuu wa mkoa, maana bila hivyo wangeendelea kukaa mafichoni kukwepa kuaibishwa na muitikio wa mikutano ya Makonda hadi 2025, ndo pengine wangejitokeza kupigania nafasi zao za ubunge, uraisi nk.

Sometimes tuseme tu ukweli hata kama ni mchungu.

IMG-20230520-WA0008.jpg
images (2).jpeg
images (4).jpeg
 
"Lisu badala ya kumshambulia raisi Samia anatakiwa amshukuru kwa kumtoa Makonda kule alipokuwepo, na kumtupa kwenye ukuu wa mkoa"

NDO NINI HIKI 🤒😎
 
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam zangu kwenu, ningependa kuendelea na mada yangu nzuri hapo chini.

Wakuu kwa wale wajuzi wenzangu wa mambo mbali mbali yanayoendelea duniani, nafikiri mshawahi kuusikia ule msemo unaosema kuwa "Paka akitoka, akiondoka au kuondolewa sehemu, basi Panya hutawala".

Msemo huu umedhihirishwa na kile kinachoendelea sasa nchini Tanzania. Nakumbuka mwanzo kabisa mwa mwaka jana, raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe Samia Suluhu Hassani aliruhusu ufanyaji wa mikutano ya hadhara kwa vyama vyote. Kwa masharti kwamba mikutano hiyo ijikite zaidi katika hoja za msingi, na sio matusi, ugomvi, wala vurugu.

Pilika za Chadema zikawa nyingi hadi tukaletewa na list ya mikoa watakayozunguka kufanya mikutano yao. Mwaka huo huo wakati Chadema na vyama vingine vikiendelea kuzunguka huku na huko kufanya mikutano yao wakiongozwa na viongozi wao kina Lisu na Mbowe. Ghafla raisi Samia akachafua hali ya hewa katika mikutano hiyo kwa kumteuwa ndugu Paul Makonda kuwa katibu mwenezi na itikadi wa CCM.

Uteuzi huo ulionekana kukinyong'onyesha Chadema na viongozi wake wote. Kwani ghafla mikutano ikasitishwa kuogopa aibu ya kulinganishwa muitikio wa watu katika mikutano ya kina Lisu na Makonda.

Mbowe akaanza kudai amenyimwa vibali vya kurusha ndege hewani, baada ya kuona Makonda amesema atamsaidia kupata vibali anavyotaka ili waendelee kupambana kwa hoja kupitia mikutano mbali mbali, mwenyekiti na makamu wake wakaamua kukaa kimya. Huku wakimuacha Makonda anazunguka tu peke yake mkoa kwa mkoa. Tupo tuliokuwa tukihoji walipo viongozi wa vyama vya siasa waliokuwa wakipiga kelele mikutano ya siasa iruhusiwe, sasa imeruhusiwa baada ya kumuona Makonda wamekimbia. Wengine wakahisi huenda Makamu amesafiri au kuna mambo ambayo hakubaliani na viongozi wa nchi ndomaana muda wote alikuwa kimya hazunguki tena mikutanoni wala kuonekana hadharani.

Mwezi uliopita raisi Samia kafanya mabadiliko ambayo yamemuondoa Makonda katika nafasi ya chama aliyokuwa nayo, na kumpeleka kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, hivyo hatokuwa anazunguka tena kama alivyokuwa anazunguka miezi kadhaa iliyopita. Ndo tunaanza kuwaona tena kina Lisu wanatoka mafichoni na kuanza kuzunguka huku na huko wakijua kwamba yule aliekuwa anawafanya wajifiche hawezi tena kuwasumbua maana ashapewa nafasi nyingine ambayo haiingiliani kabisa na yale wanayoyafanya sasa hivi.

Lisu badala ya kumshambulia raisi Samia anatakiwa amshukuru kwa kumtoa Makonda kule alipokuwepo, na kumtupa kwenye ukuu wa mkoa, maana bila hivyo wangeendelea kukaa mafichoni kukwepa kuaibishwa na muitikio wa mikutano ya Makonda hadi 2025, ndo pengine wangejitokeza kupigania nafasi zao za ubunge, uraisi nk.

Sometimes tuseme tu ukweli hata kama ni mchungu.
Dudumizi, suala moja la msingi umeliibua lakini hukutaka kuliendeleza. Umeeleza kwa usahihi kitendo cha kishujaa cha Rais Samia kuruhusu siasa za barabarani na majukwaani kwa vyama vya kisiasa.

Kufuatia uamuzi huo Watanzania tunajiuliza, yawezekana hata Rais Samia na Msajili wa vyama wanajiuliza, imekuwaje mwitikio sio mkubwa kama ilivyotegemewa? Kwenye daftari la vyama vya kisiasa vyenye usajili wa kudumu idadi ni zaidi ya 10.

Sasa imekuwaje vyama vilivyojitokeza barabarani ni vinne tu - CUF, ACT WAZALENDO, CHADEMA na CCM. Je hii ni sawa au lipo tatizo mahali. Nani atusaidie kujibu swali hilo ili nasi tuelewe kinachoendelea.
 
We ni mmalawi, ndomaana hauelewi kilichoandikwa.
 
Swali zuri.. ila nafikiri vyama vingine vimeshindwa kufanya mikutano kutokana na ukata wa fedha.

Kuandaa mikutano na kuzunguka nchi nzima sio jambo dogo mkuu.
 
Unajuaje kuwa SSH haafiki yanayozungumzwa na Lissu. Wazanzibari wanataka serikali 3, Lissu anaweza kuwa kichocheo cha kuwafanya na watanganyika watake 3, kisha utakapofika muda wa mchakato wa katiba mpya basi mama anawapa wananchi kile wanachokitaka.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam zangu kwenu, ningependa kuendelea na mada yangu nzuri hapo chini.

Wakuu kwa wale wajuzi wenzangu wa mambo mbali mbali yanayoendelea duniani, nafikiri mshawahi kuusikia ule msemo unaosema kuwa "Paka akitoka, akiondoka au kuondolewa sehemu, basi Panya hutawala".

Msemo huu umedhihirishwa na kile kinachoendelea sasa nchini Tanzania. Nakumbuka mwanzo kabisa mwa mwaka jana, raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe Samia Suluhu Hassani aliruhusu ufanyaji wa mikutano ya hadhara kwa vyama vyote. Kwa masharti kwamba mikutano hiyo ijikite zaidi katika hoja za msingi, na sio matusi, ugomvi, wala vurugu.

Baada ya tamko hilo, vyama vyote vya siasa vilifurahi, na kujipanga kwa ajili ya kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano mbali mbali.

1. CUF kilifanya mkutano wake mmoja tu pale Magomeni kikiongozwa na mwenyekiti wao Prof Ibrahim Lipumba kikaangukia pua na kuacha kabisa kuendelea na mikutano.

2. ACT Wazalendo wao nguvu yao wakaielekeza huko Zanzibar baada ya kugundua kwamba bara hawana uungaji mkono kutoka kwa watanzania bara, maana hoja zao zinajikita zaidi kuipigania Zanzibar badala ya Tanzania yetu yote.

3. Hawa walikuja na mikwara mizito, mwenyekiti na makamu wake wakagawana mikoa ya kuzunguka. List ikatengenezwa. Ikawa mwenyekiti huku, makamu kule. Ikafika kipindi mpaka mwenyekiti akaja amelewa kule Mwanza na katika hotuba yake akajiita na yeye mwana CCM. So likafunikwa funikwa na chawa wake siku zikapita. Sipati picha kama kauli ile ingetolewa na mtu kama Mbatia.. moja kwa moja angeonekana ni mwana CCM alievaa ngozi ya upinzani butu ili kuwahadaa wapinzani wenzake. Lakini kwa vile kauli ile ilitamkwa na mwenyekiti wao basi hilo halikupewa sana voice likafunikwa lipite. Kuna msemo unaosema "kunya anye kuku tu, lakini akinya bata kaharisha".

Pilika za Chadema zikawa nyingi hadi tukaletewa na list ya mikoa watakayozunguka kufanya mikutano yao. Mwaka huo huo wakati Chadema na vyama vingine vikiendelea kuzunguka huku na huko kufanya mikutano yao wakiongozwa na viongozi wao kina Lisu na Mbowe. Ghafla raisi Samia akachafua hali ya hewa katika mikutano hiyo kwa kumteuwa ndugu Paul Makonda kuwa katibu mwenezi na itikadi wa CCM.

Uteuzi huo ulionekana kukinyong'onyesha Chadema na viongozi wake wote. Kwani ghafla mikutano ikasitishwa kuogopa aibu ya kulinganishwa muitikio wa watu katika mikutano ya kina Lisu na Makonda.

Mbowe akaanza kudai amenyimwa vibali vya kurusha ndege hewani, baada ya kuona Makonda amesema atamsaidia kupata vibali anavyotaka ili waendelee kupambana kwa hoja kupitia mikutano mbali mbali, mwenyekiti na makamu wake wakaamua kukaa kimya. Huku wakimuacha Makonda anazunguka tu peke yake mkoa kwa mkoa. Tupo tuliokuwa tukihoji walipo viongozi wa vyama vya siasa waliokuwa wakipiga kelele mikutano ya siasa iruhusiwe, sasa imeruhusiwa baada ya kumuona Makonda wamekimbia. Wengine wakahisi huenda Makamu amesafiri au kuna mambo ambayo hakubaliani na viongozi wa nchi ndomaana muda wote alikuwa kimya hazunguki tena mikutanoni wala kuonekana hadharani.

Mwezi uliopita raisi Samia kafanya mabadiliko ambayo yamemuondoa Makonda katika nafasi ya chama aliyokuwa nayo, na kumpeleka kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, hivyo hatokuwa anazunguka tena kama alivyokuwa anazunguka miezi kadhaa iliyopita. Ndo tunaanza kuwaona tena kina Lisu wanatoka mafichoni na kuanza kuzunguka huku na huko wakijua kwamba yule aliekuwa anawafanya wajifiche hawezi tena kuwasumbua maana ashapewa nafasi nyingine ambayo haiingiliani kabisa na yale wanayoyafanya sasa hivi.

Lisu badala ya kumshambulia raisi Samia anatakiwa amshukuru kwa kumtoa Makonda kule alipokuwepo, na kumtupa kwenye ukuu wa mkoa, maana bila hivyo wangeendelea kukaa mafichoni kukwepa kuaibishwa na muitikio wa mikutano ya Makonda hadi 2025, ndo pengine wangejitokeza kupigania nafasi zao za ubunge, uraisi nk.

Sometimes tuseme tu ukweli hata kama ni mchungu.
Umeandika kulingana na hisia zako zaidi ya uhalisia.
 
Andika ya kwako utaunganishwa na chawa wenzako kutumiwa bando lako.
Tanzania ikiwa na watu wengi wa aina yako, ni vigumu sana kujitambua kama taifa. Je, huyo Samia kumtoa huyo Tundu Lissu mafichoni ilikuwa hisani?

Nakushangaa sana kama utofatishi dhuruma, uonevu na haki. Nchi hii ni ya kila Mtanzania na kila mtu ana haki zake kisheria, kisiasa na kiuchumi. Utawala wa JPM ambao Samia alikuwa sehemu yake ndiyo uliwanyima haki hasa ya kisiasa Tundu Lissu na wenzake. Utawala huohuo ukijisahihisha na kurejesha haki utaitaje hisani. Kwa niaba ya serikali, Samia anapaswa kuwaomba radhi Lissu na wenzake kwa yale mabaya yote waliyowafanyia.
 
Habari zenu wanaJF wenzangu, ama baada ya salam zangu kwenu, ningependa kuendelea na mada yangu nzuri hapo chini.

Wakuu kwa wale wajuzi wenzangu wa mambo mbali mbali yanayoendelea duniani, nafikiri mshawahi kuusikia ule msemo unaosema kuwa "Paka akitoka, akiondoka au kuondolewa sehemu, basi Panya hutawala".

Msemo huu umedhihirishwa na kile kinachoendelea sasa nchini Tanzania. Nakumbuka mwanzo kabisa mwa mwaka jana, rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mhe Samia Suluhu Hassani aliruhusu ufanyaji wa mikutano ya hadhara kwa vyama vyote. Kwa masharti kwamba mikutano hiyo ijikite zaidi katika hoja za msingi, na sio matusi, ugomvi, wala vurugu.

Baada ya tamko hilo, vyama vyote vya siasa vilifurahi, na kujipanga kwa ajili ya kuzunguka nchi nzima kufanya mikutano mbali mbali.

1. CUF kilifanya mkutano wake mmoja tu pale Magomeni kikiongozwa na mwenyekiti wao Prof Ibrahim Lipumba kikaangukia pua na kuacha kabisa kuendelea na mikutano.

2. ACT Wazalendo wao nguvu yao wakaielekeza huko Zanzibar baada ya kugundua kwamba bara hawana uungaji mkono kutoka kwa watanzania bara, maana hoja zao zinajikita zaidi kuipigania Zanzibar badala ya Tanzania yetu yote.

3. Hawa walikuja na mikwara mizito, mwenyekiti na makamu wake wakagawana mikoa ya kuzunguka. List ikatengenezwa. Ikawa mwenyekiti huku, makamu kule. Ikafika kipindi mpaka mwenyekiti akaja amelewa kule Mwanza na katika hotuba yake akajiita na yeye mwana CCM. So likafunikwa funikwa na chawa wake siku zikapita. Sipati picha kama kauli ile ingetolewa na mtu kama Mbatia.. moja kwa moja angeonekana ni mwana CCM alievaa ngozi ya upinzani butu ili kuwahadaa wapinzani wenzake. Lakini kwa vile kauli ile ilitamkwa na mwenyekiti wao basi hilo halikupewa sana voice likafunikwa lipite. Kuna msemo unaosema "kunya anye kuku tu, lakini akinya bata kaharisha".

Pilika za Chadema zikawa nyingi hadi tukaletewa na list ya mikoa watakayozunguka kufanya mikutano yao. Mwaka huo huo wakati Chadema na vyama vingine vikiendelea kuzunguka huku na huko kufanya mikutano yao wakiongozwa na viongozi wao kina Lissu na Mbowe. Ghafla raisi Samia akachafua hali ya hewa katika mikutano hiyo kwa kumteuwa ndugu Paul Makonda kuwa katibu mwenezi na itikadi wa CCM.

Uteuzi huo ulionekana kukinyong'onyesha Chadema na viongozi wake wote. Kwani ghafla mikutano ikasitishwa kuogopa aibu ya kulinganishwa muitikio wa watu katika mikutano ya kina Lisu na Makonda.

Mbowe akaanza kudai amenyimwa vibali vya kurusha ndege hewani, baada ya kuona Makonda amesema atamsaidia kupata vibali anavyotaka ili waendelee kupambana kwa hoja kupitia mikutano mbali mbali, mwenyekiti na makamu wake wakaamua kukaa kimya.

Huku wakimuacha Makonda anazunguka tu peke yake mkoa kwa mkoa. Tupo tuliokuwa tukihoji walipo viongozi wa vyama vya siasa waliokuwa wakipiga kelele mikutano ya siasa iruhusiwe, sasa imeruhusiwa baada ya kumuona Makonda wamekimbia. Wengine wakahisi huenda Makamu amesafiri au kuna mambo ambayo hakubaliani na viongozi wa nchi ndomaana muda wote alikuwa kimya hazunguki tena mikutanoni wala kuonekana hadharani.

Mwezi uliopita rais Samia kafanya mabadiliko ambayo yamemuondoa Makonda katika nafasi ya chama aliyokuwa nayo, na kumpeleka kuwa mkuu wa mkoa wa Arusha, hivyo hatokuwa anazunguka tena kama alivyokuwa anazunguka miezi kadhaa iliyopita. Ndo tunaanza kuwaona tena kina Lisu wanatoka mafichoni na kuanza kuzunguka huku na huko wakijua kwamba yule aliekuwa anawafanya wajifiche hawezi tena kuwasumbua maana ashapewa nafasi nyingine ambayo haiingiliani kabisa na yale wanayoyafanya sasa hivi.

Lissu badala ya kumshambulia rais Samia anatakiwa amshukuru kwa kumtoa Makonda kule alipokuwepo, na kumtupa kwenye ukuu wa mkoa, maana bila hivyo wangeendelea kukaa mafichoni kukwepa kuaibishwa na muitikio wa mikutano ya Makonda hadi 2025, ndo pengine wangejitokeza kupigania nafasi zao za ubunge, uraisi nk.

Sometimes tuseme tu ukweli hata kama ni mchungu.

View attachment 2979111View attachment 2979112View attachment 2979113
Umeandika maneno mengi lakini PUMBA tupu. Sasa Makonda alikuwa anafanya siasa au comedy? Yaani ujinga wa kuingia na mkokoteni unaona ni kitu cha maana?

Hivi nyingi watu humo vichwani mwenu mna akili au kamasi tu zimejaa?
 
Mdudu aina ya Dudumizi" asisahau kuwa, maandamano ya CHADEMA kufana Arusha, ndo sababu ya kuondolewa kijana huyo uenezi Ili aje kuokoa jahazi lililozama Arusha.
 
ACHA UCHAWA, NCHI INAANGAMIA INALIWA NA NYINYI MACCM HUKU WADANGANYIKA WAKITESEKA WAKIWEMO DUGU ZAKO
 
Back
Top Bottom