rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Kuelekea 2025 Sumaye: Hakuna anayeweza kuongoza hii nchi zaidi ya Rais Samia

    Waziri mkuu Mstaafu na mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Kanda ya Mashariki amesema hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi hii ya Tanzania zaidi ya Dr Samia Sumaye alikuwa anamueleza Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi --- WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amesema hakuna anayeweza kuongoza...
  2. K

    Rais Samia Suluhu awasili nchini Korea Kusini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Korea, Yoon Suk Yeol

    Rais Samia Suluhu awasili nchini Korea Kusini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Korea, Mheshimiwa Yoon Suk Yeol. Ikumbukwe kuwa Korea ni moja ya washirika wakubwa wa maendeleo tangu tarehe 30 Aprili 1992. Uhusiano wa Tanzania na Korea umegusa maisha ya wananchi moja kwa moja na lazima na no...
  3. chiembe

    Rais Samia CCM watoe amri mfumo wa PEPMIS usimame kwanza mpaka pale mtandao wao utakapokuwa na nguvu

    CCM ni chama chama wakulima na wafanyakazi, lazima kiwasemee watu hawa. Ni wapiga kura wake. Katika pitapita zangu mitaani, ni hofu imetanda miongoni mwa watumishi wa umma. Watumishi wa umma wamewekewa mfumo wa kutathmini kazi zao, na wanatakiwa wajaze taarifa zao humo. Kwa mujibu wa...
  4. BARD AI

    Ziara ya Rais Samia Korea Kusini atasaini Mkopo wa Tsh. Trilioni 6.51

    Serikali ya Tanzania inatarajia kusaini Makubaliano ya Mkopo wa Riba Nafuu wa takriban Tsh. Trilioni 6.51 kutoka Serikali ya Korea Kusini kupitia ziara itakayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Mei 31, 2024 nchini Korea Kwa mujibu wa taarifa ya Ikulu Tanzania, mkopo huo utakuwa wa miaka 5...
  5. L

    Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Korea Kusini kuanzia Mei 31 - Juni 6

    Ndugu zangu Watanzania, Taarifa inayoendelea kusambaa Duniani kwote na kugonga vichwa vya habari ,ni kuwa Rais wetu na Jemadari Wetu Daktari Samia Suluhu Hasssan anatarajia kufanya ziara nzito sana ya kikazi Nchini Korea ya Kusini. Ambapo huko anatarajiwa kufanya mazungumzo mazito sana na Rais...
  6. L

    Uteuzi: Rais Samia amteua Dkt. Ally Milanzi kuwa Naibu Katibu Mkuu Tume ya Mipango masuala ya Mipango ya Kitaifa

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali katika...
  7. Uzalendo wa Kitanzania

    UTEUZI Rais Samia Amteua na kumuapisha Mwigulu Nchemba kuwa mjumbe tume ya mipango

    Wadau hamjamboni nyote? Mwigulu Nchemba ateuliwa na Rais Samia kuwa mjumbe tume ya mipango Taarifa kamili hapo chini Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) kuwa Mjumbe wa Tume ya Mipango katika hafla fupi...
  8. Suley2019

    RC Chalamila: Kama una miaka 40 na hauna pesa usimlaumu Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewashangaa wenye umri zaidi ya miaka 40 wanaolalamika kukosa pesa na kutoa lawama kwa Rais Samia. Chalamila amesema: “Kama una umri kama wa kwangu na bado hujawa na hela huna haja ya kutenda dhambi ya kumlaumu Rais aliyeingia miaka mitatu...
  9. M

    Makonda utaacha lini kutumia jina la Rais ili kukidhi matakwa yako binafsi ya kisiasa?

    Naandika nikiwa na mshangao mkubwa. Makonda ulianzisha sintofahamu nchini kwa kusimama mbele ya hadhara ya nchi na kulitangazia Taifa kuwa Rais anatukanwa mitandaoni, na wanaomtukana rais ni wateule wake yeye mwenyewe wakiwemo mawaziri wake. Kitendo hicho peke yake kikamdhalilisha sana rais...
  10. L

    Rais Samia afanyiwa Ibada Maalumu nzito Vatican

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania amefanyiwa ibada Maalumu nzito sana VATICAN. Ibada ambayo imefanywa na kuongozwa na jumuiya ya watanzania wakatoliki walioko huko VATICAN. Ambapo ni ibada maalumu ya kufunga mwaka wa masomo VATICAN. Jumuiya hiyo...
  11. mdukuzi

    Kuna siku Makonda atamvua nguo Rais Samia

    Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na staha
  12. BARD AI

    Rais Samia kuanza kusafiri na Wasanii kwenye ziara zake nje ya nchi

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa kazi zao. Rais...
  13. F

    SoC04 Mchango wa Rais Samia katika Kuendeleza Utalii kupitia Filamu kwa Maendeleo ya Uchumi wa Tanzania katika miaka 25 ijayo

    Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akiongoza Tanzania katika wakati wa mabadiliko makubwa, akilenga kuleta maendeleo na ustawi kwa nchi yake. Mojawapo ya mikakati ambayo Rais Samia ameifanya ni kutumia tasnia ya filamu kuendeleza utalii na kusaidia ukuaji wa uchumi wa Tanzania. Katika miaka 25...
  14. L

    Rais Samia Mgeni Rasmi Mkutano wa Uvuvi Barani Afrika

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa mujibu wa waziri wa mifugo na uvuvi Mheshimiwa Abdallal Ulega Amesema ya kuwa Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan atakuwa mgeni Rasmi wa mkutano wa uvuvi Barani Afrika. Ameyasema hayo na kutoa taarifa hiyo...
  15. M

    Walimu wanadhalilika kwa mikopo na kumuaibisha Rais Samia ambaye ni mwajiri wao

    Mikopo inawadhililisha kila kona ya nchi. Kampuni za Microfinance zinawakopesha wanashindwa kulipa. Wanashitakiwa kila kona na hii ni aibu kubwa kwa mwajiri wao maana inaonekana hawallipi vizuri.
  16. peno hasegawa

    Madaktari Bingwa wa Rais Samia, wameajiriwa Upya au ni madaktari kutoka Nje ya nchi? Au ni wanasiasa wanajiita hivyo?

    Kuna madaktari nimewasikia wako mtaani ,wanajulikana kama Madaktari Bingwa wa Rais Samia. Mwenye uelewa WA jambo hili tafadhali. Kuna kundi jingine wanajiita wezi WA mama Samia wako songea,. Haya makundi ni ya kitaalamu au ni makundi ya kisiasa?
  17. L

    Madaktari Bingwa wa Rais Samia Waleta Tabasamu Na kuwabubujisha machozi ya Furaha Wagonjwa Mbalimbali Mikoani

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan alikuja na mpango kabambe na uliokonga na kugusa mioyo ya mamilioni ya watanzania wa kuwapatia tabasamu, furaha, kicheko na matumaini wagonjwa mbalimbali walioko mikoani .kwa...
  18. Poppy Hatonn

    Rais Samia yuko wapi?

    Sijamsikia siku mbili hizi. Hakuongoza kikao cha Kamati Kuu Unguja. Siku hizi wapo watu wengi wanautamani urais,kwa hiyo rais akitoweka lazima tuulize
  19. Idugunde

    Rais Samia anatoa pesa za miradi na maendeleo lakini zinaliwa kama njugu

    Madiwani na wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi wanakiri kuwa rais Samia yupo na nia thabiti kusaidia wananchi. Anatoa pesa nyingi sana ili kuwezesha na kukamilisha miradi ya kusaidia maendeleo ya wananchi. Pesa zinaliwa na kutafunwa kama njugu. Ameshindwa kusimamia rasilimali za umma...
  20. L

    Rais Samia Analipeleka na kuliongoza Taifa katika Njia Sahihi na yenye kuleta Matumaini kwa Mamilioni ya Watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Ni hatari sana kuwaongoza watu na kuwapeleka katika njia ambayo haiwapi matumaini ya maisha na wala haionyeshi kuleta unafuu wa maisha kwa watu wala uhakika wa kutimiza ndoto zao au kuinuka kiuchumi. Njia ambayo muda wote watu wanaona giza mbele yao,hawaoni wanakokwenda...
Back
Top Bottom