Rais Samia Analipeleka na kuliongoza Taifa katika Njia Sahihi na yenye kuleta Matumaini kwa Mamilioni ya Watanzania

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
16,968
11,251
Ndugu zangu Watanzania,

Ni hatari sana kuwaongoza watu na kuwapeleka katika njia ambayo haiwapi matumaini ya maisha na wala haionyeshi kuleta unafuu wa maisha kwa watu wala uhakika wa kutimiza ndoto zao au kuinuka kiuchumi. Njia ambayo muda wote watu wanaona giza mbele yao,hawaoni wanakokwenda wala tumaini la huko waendako na muda wote kuona bora walikotoka kuliko wanakokwenda.

Leo Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Analipeleka na kuliongoza Taifa katika njia inayowapa matumaini watanzania.ambapo watu Leo hii wanamatumaini ya kupata tiba bora na stahiki waendapo hospitalini ,kutokana na uwekezaji mkubwa katika Secta ya Afya.

Leo Mtoto akifaulu darasa la saba au kidato cha nne anakuwa na uhakika wa kuendelea na masomo hata kama anatokea familia maskini ,kwa sababu tu ya uwepo wa Elimu bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha sita . Leo mkulima akilima anao uhakika wa kuaga umasikini kwasababu ana uhakika wa kupata soko la uhakika kwa mazao yake lakini pia pembejeo za kilimo hususan mbolea zinapatikana kwa wakati.

Vijana wanaomaliza vyuo vikuu wanayo matumaini ya kupata ajira kwakuwa serikali ya Rais Samia kwa sasa inatoa ajira walau kila mwaka kwa kila Secta. Wafanyabiashara wanao uhakika wa kupata wateja kwa kuwa mzunguko wa pesa ni mzuri mitaani.

Kikubwa ni kuwa pamoja na hali ngumu ya kiuchumi iliyoikumba Dunia nzima kwa sasa,lakini juhudi za Rais wetu na serikali yetu tunaziona zikifanyika na ahueni ikipatikana ukilinganisha na majirani zetu. Hata katika suala la mfumuko wa Bei hususani chakula ukilinganisha Tanzania na majirani zetu unaona wazi kuwa Tanzania tuna unafuuu mkubwa sana hususani kipindi hiki cha mavuno.

Hata upande wa nishati ya mafuta ambayo ndio njini ya uchumi nako hali ni nzuri ukilinganisha na majirani zetu.ikumbukwe na kufahamika ya kuwa siyo serikali wala Rais ambaye anapandisha bei ya bidhaa kama nishati ya mafuta.bali Bei hupanda kutokana na kupanda katika soko la Dunia ambayo hutuathiri hadi sisi ambao hatuzalishi mafuta wala hatuna visima vya mafuta.

Kabla ya kulaumu au kuishutumu serikali yetu tuwe tunajaribu kufuatilia hali ya Dunia inavyokwenda,na kuangalia sababu ya kitu fulani au bidhaa fulani kupanda bei. kwa kufanya hivi tutaona na kugundua ya kuwa serikali yetu inafanya kazi kubwa sana kubeba mzigo wa gharama mbalimbali ili kumuokoa Mwananchi ,kwa kutoa au kupunguza kodi au kuweka Ruzuku katika bidhaa fulani kama ambavyo imekuwa ikifanya katika mbolea.

Natambua ni kweli hali ni ngumu lakini juhudi za serikali ni kubwa sana. Natambua serikali inatoa ajira kwa vijana lakini siyo vijana wote wanaopata ajira hizo, kwa kuwa vijana waliopo mitaani ni wengi sana ukilinganisha na nafasi zinazotolewa.ndio maana inaendelea kuipa nguvu Secta binafsi ili nayo izalishe fursa za ajira na kuweka mazingira wezeshi.

Natambua zipo changamoto za hapa na pale ambazo hata serikali yetu hukili hadharani, lakini tunaona na kujionea wenyewe watanzania namna serikali yetu inavyofanya kazi kwa nguvu zote kutatua changamoto hizo. Kwa hiyo tuache kutoa maneno machafu na lugha mbaya kwa serikali yetu. Tutoke nje ya mipaka ya nchi yetu tuangalie hali ilivyo,tusijifunge ndani ya mipaka. Tuwe watu wa shukurani kwa serikali yetu na kuitia nguvu kwa juhudi inazofanya badala ya kuikatisha tamaa na kushambulia kwa matusi ,lugha chafu na kejeli mitandaoni.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Duh..
Kazi ya u CHAWA ni sawa na kubeba junia la misumari kichwani. Unajikuta unalazimika kutetea ujinga.

Na vipi kuhusu Kikokotoo?
 
Natambua zipo changamoto za hapa na pale ambazo hata serikali yetu hukili hadharani, lakini tunaona na kujionea wenyewe watanzania namna serikali yetu inavyofanya kazi kwa nguvu zote kutatua changamoto hizo. Kwa hiyo tuache kutoa maneno machafu na lugha mbaya kwa serikali yetu. Tutoke nje ya mipaka ya nchi yetu tuangalie hali ilivyo,tusijifunge ndani ya mipaka. Tuwe watu wa shukurani kwa serikali yetu na kuitia nguvu kwa juhudi inazofanya.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Samia ni Mpango wa Mungu
 
Duh..
Kazi ya u CHAWA ni sawa na kubeba junia la misumari kichwani. Unajikuta unalazimika kutetea ujinga.

Na vipi kuhusu Kikokotoo?
Suala li kikokotoo limeshapokelewa na serikali yetu, ambapo imeahidi kulifayia kazi kama ambavyo Mheshimiwa makamu wa Rais alieleza siku ya Mei Mosi akiwa mkoani Arusha alikokuwa akimuwakilisha Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mama Samia Suluhu Hasssan.
 
Silipwi hata mia mbovu kwa ajili ya kuandika ukweli hapa jukwaani. Mimi napenda kuusema ukweli Daima. Tuwe na shukurani Watanzania wenzangu kwa serikali yetu kwa kazi kubwa inayoifanya katika kuinua uchumi wa Taifa letu na kumsaidia mtanzania kujikwamua kiuchumi.
Nikafhani unalipwa ili nami nijiunge kuwa Chawa. Nataka 🤦
 
Uzuri au ubaya nchi hii marais wote wamentoka ccm. Hebu panga top five yako hapa tujue nani ni bora na nani wa hovyo kuliko wote. Nakusubiri pale kwa mangi
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ni hatari sana kuwaongoza watu na kuwapeleka katika njia ambayo haiwapi matumaini ya maisha na wala haionyeshi kuleta unafuu wa maisha kwa watu wala uhakika wa kutimiza ndoto zao au kuinuka kiuchumi. Njia ambayo muda wote watu wanaona giza mbele yao,hawaoni wanakokwenda wala tumaini la huko waendako na muda wote kuona bora walikotoka kuliko wanakokwenda.

Leo Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Analipeleka na kuliongoza Taifa katika njia inayowapa matumaini watanzania.ambapo watu Leo hii wanamatumaini ya kupata tiba bora na stahiki waendapo hospitalini ,kutokana na uwekezaji mkubwa katika Secta ya Afya.

Leo Mtoto akifaulu darasa la saba au kidato cha nne anakuwa na uhakika wa kuendelea na masomo hata kama anatokea familia maskini ,kwa sababu tu ya uwepo wa Elimu bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha sita . Leo mkulima akilima anao uhakika wa kuaga umasikini kwasababu ana uhakika wa kupata soko la uhakika kwa mazao yake lakini pia pembejeo za kilimo hususan mbolea zinapatikana kwa wakati.

Vijana wanaomaliza vyuo vikuu wanayo matumaini ya kupata ajira kwakuwa serikali ya Rais Samia kwa sasa inatoa ajira walau kila mwaka kwa kila Secta. Wafanyabiashara wanao uhakika wa kupata wateja kwa kuwa mzunguko wa pesa ni mzuri mitaani.

Kikubwa ni kuwa pamoja na hali ngumu ya kiuchumi iliyoikumba Dunia nzima kwa sasa,lakini juhudi za Rais wetu na serikali yetu tunaziona zikifanyika na ahueni ikipatikana ukilinganisha na majirani zetu. Hata katika suala la mfumuko wa Bei hususani chakula ukilinganisha Tanzania na majirani zetu unaona wazi kuwa Tanzania tuna unafuuu mkubwa sana hususani kipindi hiki cha mavuno.

Hata upande wa nishati ya mafuta ambayo ndio njini ya uchumi nako hali ni nzuri ukilinganisha na majirani zetu.ikumbukwe na kufahamika ya kuwa siyo serikali wala Rais ambaye anapandisha bei ya bidhaa kama nishati ya mafuta.bali Bei hupanda kutokana na kupanda katika soko la Dunia ambayo hutuathiri hadi sisi ambao hatuzalishi mafuta wala hatuna visima vya mafuta.

Kabla ya kulaumu au kuishutumu serikali yetu tuwe tunajaribu kufuatilia hali ya Dunia inavyokwenda,na kuangalia sababu ya kitu fulani au bidhaa fulani kupanda bei. kwa kufanya hivi tutaona na kugundua ya kuwa serikali yetu inafanya kazi kubwa sana kubeba mzigo wa gharama mbalimbali ili kumuokoa Mwananchi ,kwa kutoa au kupunguza kodi au kuweka Ruzuku katika bidhaa fulani kama ambavyo imekuwa ikifanya katika mbolea.

Natambua ni kweli hali ni ngumu lakini juhudi za serikali ni kubwa sana. Natambua serikali inatoa ajira kwa vijana lakini siyo vijana wote wanaopata ajira hizo, kwa kuwa vijana waliopo mitaani ni wengi sana ukilinganisha na nafasi zinazotolewa.ndio maana inaendelea kuipa nguvu Secta binafsi ili nayo izalishe fursa za ajira na kuweka mazingira wezeshi.

Natambua zipo changamoto za hapa na pale ambazo hata serikali yetu hukili hadharani, lakini tunaona na kujionea wenyewe watanzania namna serikali yetu inavyofanya kazi kwa nguvu zote kutatua changamoto hizo. Kwa hiyo tuache kutoa maneno machafu na lugha mbaya kwa serikali yetu. Tutoke nje ya mipaka ya nchi yetu tuangalie hali ilivyo,tusijifunge ndani ya mipaka. Tuwe watu wa shukurani kwa serikali yetu na kuitia nguvu kwa juhudi inazofanya badala ya kuikatisha tamaa na kushambulia kwa matusi ,lugha chafu na kejeli mitandaoni.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa. Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

Shindwa chawa.
 
Back
Top Bottom