kazi

Shughuli inayohusisha akili au nguvu ya mwili kwa lengo la kufikia kusudi ama kupata matokeo fulani.
  1. Mlaleo

    Mateka watatu wa Israel wakutwa wamekufa aibu kwa mashabiki wa Hamas na Ugaidi kwa Ujumla kazi inaendelea

    Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke. Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona aibu tu na watakuja kujutia upumbavu wao. Aljazeera wagoma kuandika Habari. hahaha Msemaji wa IDF...
  2. Z

    Wanafunzi 194 Momba wapewa mimba ndani ya mwezi mmoja: kazi iendelee

    Mwanadamu ukimpa uhuru uliyopitiliza matokeo yake ndiyo haya.imagine mtoto wako katiwa mimba Ili baadaye akijifungua akuachie kijukuu na kurudi shuleni!! Kwa sababu tumekubariana tuwape uhuru wa kubeba mimba na kurudi mashuleni ,naomba pia tuwape uhuru wa kutumia Kinga dhabiti wasibebe mimba...
  3. Ibrahim hamadi

    Natafuta kazi ya udereva, nina uzoefu na taksi mtandao na nina account zote

    Habar za muda huu Asalem aleykum. Ndugu jama na marafiki nipo hapo leo kuelezea changamoto yangu kwenu nipo hapa kuomba Kazi za udereva wa kumuendesha mtu, taasisi yoyote pia Nina uzowefu wa kufanya Kaz ya tax au mtandao bolt Niko tayari kufanya mana hiyo kazi nimesha fanya na account zote...
  4. L

    Nape Nnauye: Hatukuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini, walikwama wenyewe

    Ndugu zangu Watanzania, Mheshimiwa Nape Nnauye waziri wa Habari ,Mawasiliano na teknolojia ya habari amesema ya kuwa serikali haikuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini bali walikwama wenyewe kutimiza mashariti yaliyohitajika kukamilishwanl ili kupewa lesseni. Kauli hii imekuja kutokana na...
  5. salimu alute

    Natafuta kazi, nina diplom ya Uandishi wa habari

    Natafuta kazi, nina diploma ya uandishi wa habari na utangazaji. Pia nipo vizuri kwenye camera na video editing. Please jamani connect.
  6. Mto Songwe

    China kazi anayo dhidi ya Mmarekani, Biden aweka vikwazo maradufu

    Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani. Hapa ni Biden amepitisha furushi hili. I just imposed a series of tariffs on goods made in China: 25% on steel and aluminum, 50% on semiconductors, 100% on EVs, And 50% on solar panels. China is determined to dominate these industries. I'm...
  7. ndege JOHN

    Ndege JOHN nakupa mchongo uufanyie kazi, deal na breakfast ya vyakula vya asili

    Anzisha mgahawa weka wafanyakazi wawili tafuta eneo zuri deal na breakfast ya vyakula vya asili tu. Nunua sahani 20 za udongo na Uma 20 na vijiko 20 na sufuria 5. Mazingira yawe masafi yenye maji ya kutosha na yanayovutia bila kusahau jiko kubwa la gas na friji liwepo. Asubuhi nenda sokoni...
  8. BARD AI

    Leo ukipewa nafasi ya kuwa Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira utafanya nini kuongeza Ajira nchini?

    Mara nyingi tumekuwa tukishauri viongozi vitu vya kufaya ili kusaidia maboresho katika Wizara na Serikali kwa ujumla. Sasa leo ukipewa wewe nafasi ya kuwa Waziri wa Kazi na Ajira, utafanya nini cha tofauti ili kusaidia kuongeza Ajira katika nchi yako?
  9. Dx and Rx

    Je, ni kweli Ada ya kumuona Daktari (Consultation Fees) inavutia Daktari kwenda kufanya kazi katika Hospitali fulani katika eneo fulani?

    Katika Hospital za Rufaa za Mikoa na Hospital za Ngazi ya Taifa na Kanda, Madaktari wana maslahi tofauti kimishahara, Daktari wa Hospital ya Ngazi ya Taifa na Kanda anamzidi mshahara Daktari wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wakiwa na elimu sawa. Kuwaona hawa madaktari wakati wa kuanza matibabu...
  10. chama mpangala

    Usipompa kazi mwanao, atapewa kazi na shetani

    Tuwafundishe watoto wetu kazi kuanzia nyumbani mpaka shuleni. Tuwalee watoto wetu kama binadamu na siyo kama mifugo. Zamani shamba la mwalimu lililimwa na wanafunzi, kuni za mwalimu zililetwa na wanafunzi na maji alichotewa na wanafunzi. Mwanafunzi alijisikia fahari kutumwa na mwalimu wake...
  11. B

    Msaada wa kazi, Mimi ni IT expert with five years experience at work

    Mimi ni IT expert Nina experience ya hii field miaka mitano sasa Nina uzoefu wa nyanja mbali mbali Kama Networking, IT SUPPORT ,Security system, System developer kama kuna ajira yoyote kuhusu IT naweza do iyo kazi private company, or any other institution
  12. P

    Wanaochukia utendaji kazi wa Makonda watapasuka

    Utendaji kazi wa Makonda unamfanya afuatiliwe sana na wananchi wote. Alipoteuliwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, kuna watu walisema hataliweza hili jiji. Kampana hadi sasa hivi wote wanaokuja wanaonekana wanapwaya sana. Kawekwa nje ya game kwa muda na kwa utulivu kabisa kakaa kimyaa hadi pale...
  13. athumani mfaume jr

    Msaada wa kazi, nina degree ya IT

    habari za muda huu ndugu zangu, mimi kijana wenu mkazi wa Ubungo, Dar es salaam na muhitimu wa shahada ya habari mawasiliano na biashara (IT with Business) mwaka 2020. Nimejikita zaidi kwenye web application na graphics design. Nilikuwa naomba msaada wenu wa kuniwezesha kupata kazi iwe kazi...
  14. S

    SoC04 Uuzwaji holela wa vileo unaangamiza nguvu kazi ya taifa kwa kasi, na hii sio Tanzania tuitakayo

    Ili taifa letu la Tanzania lipate maendeleo kwenye nyanja zote lazima likuwe kiuchumi hadi ngazi ya uchumi wa juu.Bidhaa za vileo ni moja ya bidhaa zinazoongoza kwa kukuza pato la taifa kupitia kodi na leseni za biashara na taifa letu linajivunia kwasababu inachangia uchumi wa taifa, lakini kwa...
  15. P

    Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize

    Kwa binadamu yeyote anayetamani kuona Tanzania inapiga hatua ya maendeleo katika kila nyanja, basi bila shaka atakuwa anafurahishwa na jitihada za Makonda katika kutatua kero za wananchi. Makonda ni mbunifu sana. Popote alipo lazima watu wamsikilize. Na hii ni kutokana na yeye mwenyewe kupenda...
  16. The bump

    Anahitajika Binti mwenye uzoefu na kazi ya UWAKALA wa pesa mitandao yasimu na benki

    Eneo : Dar/kimara Muda Wa kazi : 1 asbuh - 4 usku Mahitaji Wadhamin wawili (2) waliojenga wanao ishi kwao. Mshahara : 200,000 Mawasiliano : PM
  17. Azniv Protingas

    Wizi unaofanywa na makampuni ya kusafirisha watu kwa ajili ya kazi nje ya Tanzania

    Habari wana JF, kama kichwa cha habari kinavyojieleza, sasa hivi kutokana na uhaba wa ajira ndani ya nchi yetu ya Tanzania, kuna makampuni ambayo yanatangaza yanatoa ajira nje ya nchi, hasa nchi za uarabuni. Makampuni hayo yameanzisha mchezo wa kutangaza kuwa kuna kazi fulani, lakini...
  18. H

    Nisaidieni kazi yoyote halali

    Habiri wanaJF, Mimi ni kijana wa kiume umri22, nilihitimu form 6 mwaka jana lakini sikufanikiwa kwenda chuo kwa sababu za kiuchumi. LENGO: Tafadhali naombeni mnisaidie kazi yoyote halali kama ni kulima, kuuza duka n.K, niweze kujikwamua. Natanguliza shukrani
  19. Hance Mtanashati

    Mwanadada bondia Claressa Maria Shields atangaza pambano lake dhidi ya bondia wa kiume Ryan Garcia amuoneshe kazi.

    Mashabiki wengi wa ngumi pamoja na mabondia mbalimbali wa ngumi duniani wameshtushwa baada ya kuona maandalizi ya pambano kati ya mwanadada Claressa Shields pamoja na bondia wa kiume Ryan Garcia . Ryan Garcia tangu amtandike kiroho mbaya bondia Devin Haney amekuwa na mapepe sana mpaka imekuwa...
  20. M

    Sikujua kama presha ikipanda kuishusha Ni kazi tofauti Na kupandisha presha iliyoshuka

    Habari za Leo wakuu Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine nilivotumia hoi Dawa nlizidi kujiskia Vibaya nikaamua kuiacha nkawa natumia vitunguu swaum lakini...
Back
Top Bottom