HIvi mtu anatokaje asubuhi hajapiga mswaki, kuoga, kuvaa nguo safi?
Yaani unakuta mtu anaingia kwenye gari ananuka kikwapa mdomo makalio mpaka mtu unaogopa kukaa nae.
Hii kitu huwa inanikwaza sana tena sana halafu chakushangaza ni mtu mzima kabisa na anataka aanze na kuwaongelesha watu na...
Vingunguti, kwenye mpaka kati ya mtaa wa Majengo/Kombo mfereji Kichangachui kero Kwa wakaazi unatirirsha maji machafu yanayosadikika kutoka machinjio ya kisasa na ya kemikali na kuwaathiri wakazi.
UTANGULIZI
Miaka ya karibuni kumekua na kampeni na kiu kubwa ya wananchi, Serikali na Sekta binafsi kutumia TEHAMA kama njia kuu ya kuwezesha huduma kirahisi na kwa haraka, ila changamoto kubwa ni kwamba bado miundombinu wezeshi ya TEHAMA nchini Tanzania hususan maeneo mengi ya vijijini sio...
Mbona Makalla na Makonda wanakinzana? Kile kikao cha maadili alichoenda April hakikufanya kazi?
Anataka kutuambia kuwa anakubali watu huwa wanaonewa kutokana na umasikini wao na hivyo kukosa haki? Kwamba bila ya kuwa na hela huwezi kutoboa Mahakamani?
=====
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul...
Kumewekuwepo na upotevu mkubwa wa maji hasa katika sehemu tajwa hapo juu. Hii ni kutokana na miundombinu mibovu hasa ya maji.
Ukitembea hatua chache uanakuta barabara zimejaa maji na maji hayo yanatokana na ubovu wa miundombinu ya maji.
Kila baada ya hatua kumi unakuta maji yanabubujika na hii...
Ukipanda daladala unaweza kugundua jambo lilelile kila siku: kila daladala inapofika kituo chenye watu wengi mlango umeshazibwa na watu ambao hawawezi kusubiri kupambana kwa vile viti vichache. Mara nyingi watu wanapandaga hata kabla ya watu wote kushuka.
Aidha makondakta wanachangia kuongeza...
Nimekuwa nikifuatilia wananchi wa Mkoa wa Arusha wakitoa kero zao mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Ndugu Makonda. Kwa asilimia kubwa lazima sheria zifuatwe na Mkuu wa Mkoa hayuko juu ya sheria. Inawezekana kero nyingi zilizotolewa tayari aidha ziko Mahakamani au uamuzi wa kisheria...
Makampuni ya mabasi yanafanya ruti za kusini kupitia kilwa road muwaonee huruma abiria wenu sio mnawachukuwa Dar es salaam mkiwaahidi kwamba Somanga panapitika alafu mnakuja kuwapaki Somanga masaa mengi na kusababisha usumbufu na kero kwa abiria zenu huu sio uungwana jaman.
Nawasilisha..
NMB Mbagala, Poor service mtu unasimama kwenye foleni zaidi ya Lisaaa limoja teller mmoja, Vyumba vingine hakuna huduma, Sasa manager sijui hii resources ya staff anaitumiaje, nyingine Closed, Uchumi utakuwa kweli kwa namna hii? Just pissed……
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri wa Muungano...!
Wanaohusika na ukarabati wa barabara ya Kimanga, hasa kipande cha kuanzia Bima hadi Mawenzi wawajibike tafadhali, au mnasubiri mpaka madereva wagome kuketa magari huku?? Au ndio chambo ya uchaguzi wa mwakani??
Habari wakuu,
Inasikitisha sana kuona kiongozi wetu badala awe mstari wa mbele kuwajali na kushirikiana na watumishi, yeye amekuwa ndio mtu wa kuwavunja ari, moyo, kukatisha tamaa na zaidi amekuwa ni mtu anayeongoza kutegeneza migogoro hali inayopelekea kuharibu upelekaji na utoaji wa huduma...
Chonde chonde CCM
Msishupaze shingo.
Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka.
Kero hizi mbili.
1. Ardhi. Kwanini wa Zanzibar wakijua huku wananunua ardhi na wanapewa hati?. Kwanini watanganyika...
Sidhani kama ni mimi tu ambaye nakerwa na haya makelele yaliyopo kila kona ya mji, sawa ni kutangaza biashara lakini ni vyema kubuni njia sahihi ya kufikisha ujumbe.
Imefika pahala kila kona ukipita unasikia matangazo ya viwanja tena kwa sauti kubwa mpaka ukiondoka maeneo hayo bado unasikia...
Kuna ukweli tunatotakiwa kuufafanua na kama ni kero irekebishwe kama kweli tunafikiri muungano huu ni wa muhimu.
1. Wazanzibar wengi sana wanamiliki ardhi na majengo bara, kama raia. ila Wabara wanachukiwa wakienda kule, wanaitwa chogo, na katiba yao inazuia watu wa bara kumiliki ardhi. Juzi...
Uchawa umezidi sana kwenye siasa hadi kero hawa wanaojita machawa wa mama mh kazi ipo
Miongoni mwa kipindi cha Urais chenye machawa na vikundi vya uchawa ni kama hivi sasa ni balaa sana je hili ni jambo sahihi katika siasa zetu
Nimempeleka mke wangu Kwa ajili ya kujifungua katika kutuo cha AFYA cha serikali Ulyankulu. Na ikahitajika kufanyiwa upasuaji ila cha ajabu gharama nilizopewa nilishangaa sana. Huduma ilisuasua hadi pale nilipotoa pesa waliyohitaji.
Nilijaribu kukutana na Daktari na kumuuliza kwanini fedha na...
Shida ya umeme ilipofikia sasa mkoa wa mtwara si pazuri, leo ni siku ya nne umeme hauwaki mchana unawaka usiku tu, tena hiyo usiku unaweza kusema labda kaachiwa mtoto achezee kidogo umewaka kidogo umekata ili mradi kero tu, Tulitangaziwa kuwa umeletwa mtambo wa megawati 20 kumaliza tatizo mpka...
Shida ya umeme ilipofikia sasa mkoa wa mtwara si pazuri, leo ni siku ya nne umeme hauwaki mchana unawaka usiku tu, tena hiyo usiku unaweza kusema labda kaachiwa mtoto achezee kidogo umewaka kidogo umekata ili mradi kero tu.
Tulitangaziwa kuwa umeletwa mtambo wa megawati 20 kumaliza tatizo mpaka...
Naomba niweke mambo sawa ili tusiendelee kuumizana.
Kutokana na kwamba baadhi ya watu wana uelewa finyu kuhusu misamiati ya mpinzani, mkosoaji, mwanaharakati na sisi waibua kero; kuna watu wameumizwa kwa kuonekana kana kwamba ni wapinzani.
Mfano: Bwana mmoja aliona mabweni ya wanafunzi yana...
Kuna kero kwa wakazi tunaotumia barabara iliyopo mbele ya Chuo cha Jeshi la wananchi wa Tanzania CTC Mapinga, kitongoji cha Kiembeni, Kiharaka Bagamoyo. Ni barabara kubwa kutokea Mingoi kwenda Mbweni (kuvuka daraja la Mpiji). Wanawafyekesha wananchi majani nje la lango lao kuu na pembeni ya uzio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.