wanajeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Vilio vya Wastaafu wa majeshi vitatuliwe haraka, kinachoendelea ipo siku kitatengeneza ‘matunda yasiyofaa’

    Hivi karibuni kumekuwa na vilio kadhaa vya Wastaafu wa Majeshi yetu mbalimbali kuhusu viwango vya fedha ambavyo wanavipata. Awali ilikuwa ni nadra kuona Mstaafu wa Jeshi lolote lile akilalamika hadharani, lakini kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo ambavyo vilio vimeendelea kusikika mdogomdogo...
  2. M

    Mkuu wa wilaya Kigamboni asema wanajeshi wanapiga na kuua wananchi

    Ameyasema hayo mbele ya Mkuu wa Mkoa Mh Chalamila alipofanya ziara wilayani hapo. Mheshimiwa Chalamila ameahidi kukutana na Mkuu wa Majeshi. Hii imekaaje wadau maana naona kiongozi wa Serikali anaituhumu Serikali yake mbele ya wananchi . Nadhani angefanya vile Mbunge au Diwani ndio ingekuwa...
  3. LINGWAMBA

    Wanajeshi wa Russia waingia kambi ya wanajeshi wa Marekani nchini Niger

    Wanajeshi wa Russia wameingia katika kambi ya Jeshi la Anga la Niger ambayo pia ina wanajeshi wa Marekani baada ya serikali ya Niger kuamuru vikosi vya jeshi la Marekani kuondoka nchini humo. Waziri wa Ulinzi wa Marekani Lloyd Austin amethibitisha tukio hilo leo Ijumaa huku akisema kuwa hakuna...
  4. Ritz

    Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania ikiwa operesheni ya Rafah itaanzishwa na Israel

    Wanakumbi ⚡️⭕️🔻#YEMEN : Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kupanua eneo la operesheni hadi Bahari ya Mediterania mara moja na kuidhinisha usafirishaji wa kampuni zote ambazo zina uhusiano na #Israel ikiwa operesheni ya Rafah itaanzishwa : Taarifa iliyotolewa na Jeshi la Yemen: Vikosi vya Wanajeshi...
  5. mamsindo

    KERO Usumbufu kwa wananchi kutoka kwa Wanajeshi Chuo cha Jeshi CTC Mapinga ni kero kubwa, TPDF shughulikieni hili

    Kuna kero kwa wakazi tunaotumia barabara iliyopo mbele ya Chuo cha Jeshi la wananchi wa Tanzania CTC Mapinga, kitongoji cha Kiembeni, Kiharaka Bagamoyo. Ni barabara kubwa kutokea Mingoi kwenda Mbweni (kuvuka daraja la Mpiji). Wanawafyekesha wananchi majani nje la lango lao kuu na pembeni ya uzio...
  6. Lady Whistledown

    Nigeria: Wanajeshi kushtakiwa kwa Kuua raia 85 Kimakosa

    Wanajeshi Wawili wanatarajiwa kushtakiwa kufuatia shambulizi la anga lililosababisha vifo vya raia 85, Desemba 3, 2023 katika jimbo la Kaduna, Kaskazini-Magharibi mwa nchi hiyo Shambulizi hilo linatajwa lilitokea wakati wa maadhimisho ya Kidini ambapo ndege ya Kijeshi isiyo na rubani iliyokuwa...
  7. TODAYS

    Tukio la Kikatili Lililowakuta Wanajeshi wa Kirusi Waliokuwa Wakisafisha Uwanja wa Vita

    Walidhani ni madini kwa jinsi yalivyoonekana kwa nje kumbe ulikuwa no mtego. Never trust anything on walking around.
  8. kimsboy

    Tokea october 7 wanajeshi zaidi ya 2000 wa Israel wameuliwa na Hezbollah

    Tokea October 07 Mashambulizi ya Hezbollah kaskazini mwa Israel yamewaangamiza wanajeshi zaidi ya 2000 wa Israel na kuwaacha maelfu wakiwa vilema Hezbollah wamefanya zaidi ya operesheni 1650 dhidi ya Israel https://twitter.com/PressTV/status/1783463849414295849?s=19 Hezbollah wenyewe...
  9. L

    Marekani yakubali kuwaondoa wanajeshi wake nchini Niger

    Vyombo vya habari vya Marekani vimeripoti kuwa Marekani imekubali kuwaondoa wanajeshi wake zaidi ya elfu moja nchini Niger kufuatia agizo la serikali ya mpito ya nchi hiyo. Mjumbe maalum wa zamani wa Marekani katika eneo la Sahel J. Peter Pham alisema, "Marekani na washirika wake wamepoteza mali...
  10. kimsboy

    Wanajeshi 18 wa Israel wauliwa na Hezbollah leo

    Naona maji yanazidi kuzidi unga huko Middle East Shambulizi la Hezbollah limeondoka na roho za wanajeshi 18 wa Israel papo hapo na huku makumi wakiwa majeruhi Hii inaitwa kujitumbukiza kwenye kinamasi cha vita. 🚨🇱🇧🇮🇱 HEZBOLLAH statement on ISRAEL BOMBINGS: “After careful monitoring and...
  11. Ojuolegbha

    Waziri wa ulinzi atoa pole vifo na majeruhi ya wanajeshi wa tanzania, drc

    Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Mhe. Dkt Stergomena Tax (Mb), atoa salamu za pole Kufuatia Vifo na Majeruhi ya Wanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Walioko DRC.
  12. Z

    Nimwombe Rais Samia awaondoe haraka wanajeshi wetu kule DRC Congo. Mnapigana na nchi ya EAC

    Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC. SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo. Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka...
  13. kibarango

    M23 yaua wanajeshi 3 wa Tanzania huko Goma DRC

    Majina hayajatajwa. Ikumbukwe jana Rais wa Rwanda Bw Kagame amekiri kuwa anawaunga mkono waasi wa M23 kwa kusema haoni sababu ya kuwapinga waasi hao. Hivyo kwa tafasiri ni kuwa Wanajeshi wa Rwanda wamewauwa wanajeshi wa Tanzania huko DRC. ===== Wanajeshi watatu wa Tanzania wameuawa kwenye...
  14. MK254

    Israel yakusanya wanajeshi kwa ajili ya kuingia Rafah

    Defense Minister Yoav Gallant said on Sunday that the IDF withdrew from Khan Yunis after Hamas ceased to function in the area, adding that the troops left in preparation for a coming Rafah operation. While speaking at the IDF's Southern Command base, he stated, "The withdrawal of the troops...
  15. R

    Kwanini vyombo vya magharibi ikiwemo Ufaransa vinalalamika kukamatwa kwa wanajeshi wa M23 Tanzania? Wananufaikaje na mgogoro wa Congo?

    Kuna kelele mingi huko Congo zikilalamika Idara ya Uhamiaji Tanzania kukamata na kuzuia wanajeshi wa M23 na viongozi wao akiwemo Eric Nkuba na kuwarejesha kwenye nchi yao. Vyombo vya habari vya Congo na Ufaransa vinalalamika kukamatwa kwa viongozi wao vikisema ni kinyume cha haki za binadamu...
  16. MK254

    Iran ndani kwawaka moto, wanajeshi 5 wapigwa na kuuawa

    Maskini Iran inapigwa kote, sio ndani, sio nje yaani wanavuna walichopanda kwenye maugaidi ya dini yao.... 5 Iranian Security Officers Reported Killed In Clashes Eight gunmen and five members of Iran's security forces were killed in clashes at two separate points in southeastern Iran, state...
  17. MK254

    Dah! Wanajeshi wa SADC wanaondoka huku magaidi yenye mlengo wa kidini yakiongeza matukio Msumbiji

    Wananchi maskini wa Msumbiji wanaachwa waendelee kuchinjwa na magaidi ya kiislamu.... SADC wanaondoka. The Southern African Development Community (SADC) military mission in Mozambique (Samim), which was deployed on July 15, 2021 to fight the Islamic insurgents terrorising the Northern Cabo...
  18. green rajab

    Wanajeshi 30 wa Marekani wahofiwa kufa baada meli yao kulipuliwa

    Habari zilizotufikia hivi punde meli ya Kijeshi ya Marekani ya USS Libert imepigwa na makombora ya Iran nakulipuliwa huko Ghuba ya uajemeni na wanajeshi 30 wanahofiwa kufa BREAKING: It's reported that American Navy intelligence vessel 'USS Liberty' has just been hit with a barrage of Iranian...
  19. ze kokuyo

    Israel yafanya mashambulizi makubwa Syria, wanajeshi wa Iran miongoni mwa waliouawa

    Israel imefanya mashambulizi makubwa huko Syria yakilenga wapiganaji, hifadhi za silaha na vituo vinavyotumiwa na wanajeshi wa Iran. Idadi ya waliouawa ni zaidi ya 30 ikiwemo wanajeshi wa Iran, wapiganaji wa Hezbollah, nk. Al Jazeera
  20. FaizaFoxy

    Exclusive-Militia wa Iraq waonya wanajeshi wa Marekani wataondoka 'katika majeneza' ikiwa Biden hatajiondoa

    Kiongozi wa wanamgambo wa Iraq wanaoshiriki katika muungano wa makundi ambayo yamefanya mashambulizi dhidi ya wanajeshi wa Marekani na Israel ameiambia Newsweek kuwa vikosi vyake viko tayari kuongeza kampeni zao kwa kiasi kikubwa ikiwa Rais Joe Biden hatatimiza matakwa yao. Kwa mujibu wa Sheikh...
Back
Top Bottom