changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Tyson apata changamoto ya kiafya, pambano lake na Jake Paul laahirishwa

    Pambano la ndondi kati ya Mike Tyson na Jake Paul ambalo lilipangwa kufanyika Julai 20, 2024 limeahirishwa baada ya Tyson kupata changamoto za kiafya hali ambayo itaathiri ratiba yake ya mazoezi kwa wiki kadhaa zijazo Pande zote mbili zimeafiki juu ya maamuzi hayo na inatarajiwa Tyson atarejea...
  2. P

    SoC04 Makala juu ya namna Tanzania inavoweza kutatua changamoto mama katika sekta ya uvuvi nchini

    Tanzania kama nchi inayoendelea kiuchumi, sekta ya uvuvi ni miongoni mwa sekta muhimu inayochangia ustawi na ukuaji wa pato la Taifa, ikiwa ni sekta inayotoa ajira nyingi rasmi na zisizo rasmi kwa wazawa ikiongozwa na sekta ya kilimo. Na Tanzania kama nchi Chini ya mifumo yake tendaji, imekua...
  3. D

    Changamoto katika mfumo wa PEPMIS

    Huu mfumo bado haujakaa sawa kwani kuna mambo kadhaa yanapaswa kutafutiwa ufumbuzi. Kwanza katika siku zilizopendekezwa au mara nyingi ukifungua mtandao huu speed au kasi ya ufungukaji ni ndogo hadi inakatisha tamaa sijui ni kasi ya inteneti iliyopo haikidhi mahitaji ya taasisi zinazojaza au...
  4. N

    Kwenye utatuzi wa kero na changamoto za wananchi serikali itumie hili wazo linaweza kuwasaidia

    Serikali inaweza kutumia wazo hili katika kuwafikia wananchi kirahisi na kutatua kero na changamoto zinazowakabili Watanzania MAMA ANAKUITA" call Center PROJECT PROPOSAL (Njoo Tuseme kwa mama, Piga no …… utete na Bi. Mkubwa) “Mama anakuita call Center” ni namba mahususi ya simu itakayotumiwa na...
  5. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yaja na Mfumo Maalum wa Kuondoa Changamoto ya Ubambikiwaji wa Bili za Maji kwa Wateja

    "Serikali kupitia Wizara ya Maji imeanzisha madawati ya vituo vya huduma kwa wateja kwa Mamlaka zote za Maji na Usafi wa Mazingira nchini ambapo huwa na jukumu la kupokea taarifa za huduma, maoni, ushauri na malalamiko ikiwemo bili za Maji kutoka kwa wateja na wadau mbalimbali. Baada ya...
  6. Sauti Moja Festival

    SoC04 Changamoto ya kuheshimu haki za binadamu na jinsi filamu, muziki, na sanaa zinavyoweza kusaidia kufikia Tanzania bora

    Kuheshimu haki za binadamu ni mojawapo ya changamoto kubwa zinazokabili jamii nyingi duniani, na Tanzania haiko nyuma katika hili. Kwa muda mrefu, kumekuwa na matatizo ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kama vile ukandamizaji wa uhuru wa kujieleza, ubaguzi wa kijinsia, na ukosefu wa usawa wa...
  7. M

    SoC04 Mapendekezo ya Kutatua Changamoto za Sekta ya Afya Tanzania

    Sekta ya afya ni mojawapo ya sekta muhimu sana katika maendeleo ya taifa lolote, ikichangia kwa kiasi kikubwa ustawi na maendeleo ya jamii. Hata hivyo, Tanzania inakabiliana na changamoto kadhaa katika sekta ya afya ambazo zinahitaji kutatuliwa ili kuongeza ufanisi na ubora wa huduma za afya...
  8. Roving Journalist

    Kilimanjaro: Wakulima Vijiji vya Hai walalamikia changamoto ya tumbili kuharibu mazao, waomba msaada Serikalini

    Wakulima Katika baadhi ya Vijiji Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro wamedai kupata hasara kubwa kutokana na uharibifu mkubwa uliotokea katika mazao yao baada ya wanyama aina ya Tumbili kuvamia mashamba yao na kula mazao mbalimbali shambani. Baadhi ya mazao ambayo yameshambuliwa ni kwa kiasi...
  9. J

    SoC04 Tanzania tuitakayo yenye wataalam wenye majibu ya changamoto zetu katika dunia ya kishindani

    "Ugumu wa maisha kaka umenifanya nifanye kazi hii na kuachana na taaluma yangu. Huu ni mwaka wa tatu nauza simu, maisha yanapaswa kuendelea" Ni kauli ya kijana mmoja pale Makumbushoinayoonekana yakishujaa ila ndani yake yamejaa maumivu kwanza kwa kijana kama alipoteza muda kusomea...
  10. Kidaya

    SoC04 Mabasi maalum kutatua changamoto za usafiri kwa wafanyakazi

    Kutokana na ukuaji wa mjiji na majiji, wafanyakazi wengi wanaishi (kujenga makazi au kupanga) maeneo ya mbali kidogo (zaidi ya kilomita kumi) kutoka maeneo wanayofanyia kazi hali inayowalazimu uhitaji wa usafiri wa kwenda kazini na kurudi nyumbani. Kwa mfano katika jiji la Mwanza, wafanyakazi...
  11. GoldDhahabu

    Changamoto ya vyoo Tanzania: Tatizo lipo vichwani na si mifukoni

    Siikumbuki jina la clip. Katika hiyo clip, Wazungu walikuwa wakijadili changamoto za Afrika, ambapo mmoja alionesha kushangazwa na tabia ya Mwafrika. Alisema kwamba Mwafrika anaweza akanunua simu ya gharama kubwa wakati choo hakina maji. Siyo Watanzania wote, lakini wengi wanaweza wakaangukia...
  12. A

    KERO Halmashauri Wilaya ya Moshi wanachelewa kutoa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu za msingi na kinyume na utaratibu

    Halmashauri ya Wilaya Moshi kuna changamoto ya watumishi kucheleweshwa kupewa barua za kuthibitishwa kazini bila sababu yoyote ile angali utaratibu ni mtumishi akitimiza mwaka mmoja anapaswa kupewa barua. Lakini huku inaweza chukua hata miaka kuanzia miwili na muda mwingine watumishi hulazimika...
  13. GENTAMYCINE

    Watanzania mnaojiua kila siku nani aliyewaambieni kuwa sisi wengine hatukupitia changamoto kubwa za kimaisha kuwazidi?

    Nyie Watanzania wenzangu ambao kutwa napata taarifa za kujiua kwenu kwa kukata Tamaa ya Maisha au mnataka sasa na sisi (hasa mimi GENTAMYCINE) niwapeni Historia yangu kubwa ya mapito makubwa niliyoyapitia ya miaka saba mfululizo lakini nilijikaza na kuvumilia yote halafu hata wazo la kujiua...
  14. A

    KERO Baadhi ya shule za sekondari na msingi zinatoza wanafunzi hela ya mitihanii kila mwezi na huku wanalipa ada

    Kuna changamoto katika shule za sekondari na msingi kuwatoza wanafunzi hela ya mitihanii kila mwezi na huku wanalipa hela kwa ajili ya masomo kwa siku za kawaida na wasipokuwa na hizo pesa hawafanyi mitihani. Nimelishuhudia hili kwa shule za Tarime mkoani mara, hasa Mogabiri Secondary School...
  15. B

    Video: Mafuriko Manyara, kuaribu vyanzo vya utalii, maji ya funika hoteli ya moja bilionea huyu. Royal tour kupata changamoto

    ROYAL TOUR KUONGEZA IDADI YA WATALII KUPATA CHANGAMOTO https://m.youtube.com/watch?v=Bl1CZq_Uwr4 Mr Chambulo mwenye uzoefu wa industry ya utalii na mwenyekiti wa mawakala wa utalii wa muda mrefu katika mazungumzo exclusive pia anatuonesha mazingira ya maeneo ya utalii. --- Mafuriko...
  16. M

    SoC04 Changamoto katika huduma kwa watu wenye ulemavu nchini Tanzania

    Katika jamii ya watanzania kuna makundi mbalimbali ya watu wenye mahitaji mbalimbali yanayotofautiana, hata hivyo zipo njia mbalimbali za kuwafikishia mahitaji watu hao katika makundi yao. Makundi ya walemavu wamekuwa wahanga wa kutopata huduma sitahiki katika jamii kwa maana ya kiuchumi...
  17. Grand Canyon

    Safari katika barabara za Tanzania ni Changamoto

    Kwa kweli matrafiki ni wengi sana barabarani. Hawatoi elimu kuhusu matumizi ya barabara, lugha yao ni kupiga faini tu. Inachosha kwa kweli. Nimewahi kufanya safari ya usiku sikuona traffic hata mmoja. Lakini nilifika salama. Lakini mchana ni balaa. Mfano wanasimama na camera yao kwenye kibao...
  18. Roving Journalist

    DAWASA yatoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya maji Malamba Mawili

    Eneo la Malamba Mawili ambalo lipo kata ya msigani linahudumiwa kupitia mtambo wa Maji Ruvu Juu. Kutokana na maeneo hayo kuzungukwa na vilima vikali na hupata maji siku ya Jumanne, Alhamis na Jumapili, lakini baadhi ya maeneo kushindwa kupata maji pindi msukumo wa maji unapokuwa mdogo. Mamlaka...
  19. F

    SoC04 Uongozi bora na mapambano dhidi ya ubadhirifu wa mali (rushwa)

    (ombeni hamadi silaa) UTANGULIZI, MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA NA UTAWALA BORA Tanzania imekuwa ikipiga hatua muhimu katika mapambano dhidi ya rushwa katika kipindi cha hivi karibuni, lakini bado kuna changamoto kubwa zinazohitaji kushughulikiwa ili kuimarisha utawala bora nchini. Kupambana na...
Back
Top Bottom