muziki

  1. OCCID Dominik

    Kwanini Lucky Dube hatambuliki kama muasisi ama legend wa muziki wa reggae duniani?

    Wakuu nawaheshimu sana kwa kuwa kanuni mojawapo ya ubinadamu sahihi ni kuheshimu usiemjua mpaka utakapomjuwa: Mimi ni miongoni mwao wafuatliaji wa muziki wa aina tofauti duniani, kama POP na SOUL POP pia RNB ambayo ndiyo hupendwa na watu wengi duniani kwa kuwa ina vibe na kutoa passion kwa...
  2. C

    Ni sahihi hawa kujiita wachambuzi wa Muziki?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la watu hasa wale wapenzi wa zamani wa muziki wa dansi kujiita wachambuzi wa muziki hadi kufikia kuwashawishi wamiliki au viongozi wa Redio hasa zile za binafsi kuwaajiri wakiamini watakuwa kivutio na ushawishi kwa wasikilizaji. Lakini kiuhalisia hawa watu hawana ujuzi...
  3. U

    Vita ya Wasafi na kampuni ya usambazaji wa Muziki 'ZIIKI MEDIA' imefika pabaya, ZIIKI wazuia utoaji wa wimbo wa Lavalava, Diamond awachana

    Ziiki Media kampuni kutoka Kenya inasimamia usambazaji wa muziki kidijitali, Ziiki inashirikiana na kampuni zaidi ya 200 za ku-stream muziki online, wao wanakusambazia muziki kwenye platforms online kisha hukusanya mapato ya kwenye hizo platforms kwa niaba ya msanii. Pichani ni boss wa ziiki...
  4. GENTAMYCINE

    Kwa wale Wapenzi wa Wenzangu wa Muziki wa Congo DR ( Bana Bandeko Nangai ) hivi Bendi ya Wenge Musica BCBG isingevunjika leo tungekuwa na huu Ubunifu?

    Kwa Maoni yangu GENTAMYCINE ( Rais wa Wapenzi wote wa Bendi ya Wenge Musica BCBG JamiiForums nzima ) japo niliumia sana kwa Bendi hii Kuvunjika na kila Mtu Kuunda Wenge Musica yake yaani JB Mpiana akibakia na Wenge BCBG, Werrason akibakia na Wenge Musica Maison Mere, Adolphe Dominguez akibakia...
  5. U

    Muziki wa Warekani Weusi hasa hiphop ni sumu, Wazazi na walezi tujitahidi kuwaepusha watoto na huu ujinga

    Ni muziki ambao umesambaza culture ya kijinga sana. 1. Kuwaendekeza wasikilizahji kudharau shule, Kusifia ujeuri dhini ya walimu utoro, na kuwaaminisha watoto elimu ya mtaani (street smrts za kutoboa kwa shortcuts) ina thamani kuzidi elimu ya shuleni, Wengi wameon shule ni upuuzi na kujikita...
  6. Kyambamasimbi

    Ni wakati Sasa vyuo vya Sanaa kutambua mchango wa Mtangazaji Masoud Masoud katika tasnia ya Muziki

    Habari wanaJF. Ukweli ni kwamba vyuo vikuuu na vyuo vingine vimekuwa vikitambua na kuwatunuku PhD katika kutoa huduma fulani katika jamii. Lakini Kuna nguli wa Utangazaji na Mwana Ethnomusicologist Yaani mtaalam wa sayansi ya Muziki na amekuwa akichambua historia na general structure ya...
  7. S

    Msanii Kali P hataki tena kusikia muziki

    Msanii aliyetamba na ngoma ya Imekaa vibaya na Tumbo joto , Abdul Miraj maarufu kama Kali P amesema hataki tena kusikia masuala ya Muziki . Kali P amesema ameamua Kumrudia Muumba wake na sasa hive ana takribani miaka 12 ameingia katika dini na ameachana na maswala ya Muziki. "katika dini yetu...
  8. N

    Msaada: Naondoaje uraibu wa kusikiliza muziki?

    Yaani hata nikisikia mlio wa ambulance tu basi akilini naisikia 'Brigedier Sabari' ya alpha blond, Yaani nikisikia tu neno 'mpenzi' basi haraka kichwani huja wimbo 'Sanura' wa Tongolanga kwenye kile kipande kinachosema, ''Unachonishangaza mpeenzi, huzoeleki; Huwa unashindwa wapi zaiidi, tele...
  9. Damaso

    Urithi wa Bendi ya Osibisa katika muziki wa Afrika

    Nikipata nafasi ya kufika Jiji la London kuna vitu lazma nivifanye kwa ukamilifu, mosi nitakwenda kutazama mechi za timu za Tottenham Hotspur pamoja na Arsenal, na baada ya hapo nitafanya kupitapita mitaa kuuliza kuhusu bendi za muziki ambazo zimepata kuwa maarufu kwa kuzunguzma ukuu wa...
  10. kichekoh

    Series: Maisha na Muziki

    1. Darassa - Muziki 2. Dully sykes - Bongo fleva 3. Chid benz - Dar es salaam stand up
  11. Damaso

    Luis Armstrong: Musicians do not retire. They just stop playing.

    Frank Sinatra, John William Coltrane, Miles Dewey Davis au Dean Martin, wengine wanaweza kusema kuwa kuna mwamba Nat King Cole, au wakati mwingine Bing Crosby ila binafsi acha nimtaje Mzee wa kazi Louis Daniel Armstrong maarufu kama Satchmo ama Pops, moja ya wanamuziki wakubwa waliotumia vyema...
  12. N'yadikwa

    Vifaa vya muziki bei nafuu. Gitaa, Effect, Combo na Waya 1 million tu

    Wale wanamuziki hasa wanaojua solo guitar vifaa hivi naviuza vyote kwa pamoja one milioni tu. 1. Gitaa la Solo 2. Solo/Rythim gitaa Combo 3. Solo Gitaa Effect Pedal 4. Cable za Jack pins 3 original na jack pin ndogo 1 5. HDMI mpya. Kwa anaevihitaji tuwasiliane vipo Dar es Salaam Bunju na viko...
  13. sinza pazuri

    Fact: Prince Dully Sykes ndio muanzilishi wa muziki wa bongofleva

    Watu wengi hawajui historia ya muziki wa bongofleva na hawajui umeanzia wapi. Fact ni kwamba muasisi wa muziki wa bongofleva ni Prince Dully Sykes aka Mr Misifa. Sound hii unayoiskia leo ya bongofleva (baibuda) ilianzia kwa Dully. Kwa wasio na ufahamu, bongofleva ni muziki wa kizazi kipya...
  14. UKWAJU WA KITAMBO

    Mtazamo wa msanii Balozi juu ya muziki wa hip hop duniani

    Mwanamziki wa Muziki wa Bongo Fleva na Hip Hop Balozi Dola maarufu kwa jina la Dola Soul ambaye kwa sasa anaishi nchini Marekani amesema muziki wa Hip Hop katika nchi hiyo umepoteza uhalisia wake wa mashairi yenye ujumbe wa maisha badala yake sasa wamejikita zaidi kibiashara. Balozi aliyewahi...
  15. Trophic

    Kwa Wadau Wote Wa Muziki Humu: Naombeni Feedback Yenu [Zoom]

    Hello JF especially wadau wa muziki. Here's my new track; inastahili marks ngapi kati ya hizo kumi? Elements zipi niziadapt/nizibadili/niziongeze kwenye mix zijazo? Natumia Fl Studio + Ableton Live. Kuhusu style ya mziki, bado siko sure hii ni aina gani, but the whole idea ni kuunda...
  16. UKWAJU WA KITAMBO

    TANZIA Pengo lingine kwenye tasnia ya muziki wa bongo Fleva. Richard Ramadhan Tunda afariki dunia

    RICHARD TUNDA:KIFAA TOKA TIP TOP CONNECTION, AMEFARIKI DUNIA NI MDOGO WA MKALI WA BONGO FLEVA TUNDAMAN.. JINA: Richard Ramadhan Tunda KUZALIWA: Februari 3, 1989 (Miaka 35) ALIPOZALIWA: Kinondoni, Dar es Salaam.. KIFO : 16 Februari 2024. SANAA: Muziki wa Bongo Fleva.. HISTORIA YA MAREHEMU...
  17. Kaka yake shetani

    Matumizi ya utambuzi wa muziki MP3 yanaelekea kupunguzwa na mfumo wa FLAC

    Kwa wale wapenda mziki wa mfumo digitali baada ya kutumia teknolojia ya wave audio na mpaka kufika kwenye mfumo wa mp3(MPEG-1 Audio Layer III or MPEG-2 Audio Layer II) ambayo formati hii ilisaidia kupunguza ukubwa wa data wa sauti ili ubaki kwenye quality ile ile. Teknolojia inazidi kukuwa...
  18. Damaso

    Urithi wa Kundi la Eiffel 65 katika Muziki wa Elektroniki

    Miaka ya 1990 mpaka mwanzoni mwa mwaka 2000 tulipata kusikia nyimbo tamu sana kutoka Ughaibuni, nyimbo kama "Hold On" ya mwamba Wilson Phillips, au "It Must Have Been Love" kutoka kwa bendi ya Roxette au Vogue ya Madonna. Lakini kuna nyimbo mbili ambazo utotoni tulipenda sana kusikiliza kiasi...
  19. Maleven

    Bora sauti za mziki kuliko mahubiri ya dini

    Unapokua unatafuta utulivu ubaki wewe na akili yako au upunzike ulale, unaweza fanya hivyo kwenye mziki kuliko kwenye mahubiri ya dini. Sababu ni kua, mziki ni flow ambayo unaweza kui ignore lkn haya mahubiri yana interfere sana na mawazo yako. Kama hujakutana nayo huwezi kuelewa
Back
Top Bottom