muziki

  1. Kichuguu

    Muziki wa Msumbiji

    Naona huu uko kama Mbaqanga wa Afrka ya Kusini; je hii ndiyo aina pekee ya Muziki huko Msumbiji?
  2. Mshumaa_Tz

    Wasanii mnaofanya muziki mzuri endeleeni, msikatishwe tamaa na mashabiki njaa

    Nyie wasanii mnaofanya muziki mzuri, endeleeni hivyo hivyo. Hapa Bongo kuna mashabiki wanyimbo za matusi, na mashabiki wa muziki mzuri. Kwakua sasa hivi watu wanapenda muimbe kusifu ngono na pombe tu, msiwasikilize watu wachache walionyimwa hekima. Tuko pamoja, tutawasapoti tu. Muziki hauna...
  3. Mshumaa_Tz

    YouTube sahivi ndo kipimo cha muziki mzuri

    Naomba nisiwe Mnafiki YouTube sio kipimo cha muziki Mzuri. Naona watu kila siku wanalilia views kuliko kurequest ngoma kweny TV na radio . Nyimbo ikifanikiwa kupenya kwenye radio za bongo na nje , pia na Television hapo hata sisi tusiokuwa na smart phone nyimbo Tutailewa ...na msanii atapata...
  4. mayowela

    Maproducer bora wa muziki kwa wakati wote, achana na wa kizazi hiki

    Wakati Bongo Fleva inakuwa, producers wengi walikuwa wakali na kila mmoja alikuwa na radha yake kwenye muziki, ukisikia ngoma mpya tu unajua huyu ni flani, kila mtu alikuwa na jina lake na hata wasanii wake, na kila mmoja alitengeneza msanii na kumfikisha kwenye peak. Kwangu hwa ndio walikuwa...
  5. Parabora

    Mwinjuma Muumini ndiye mwanamuziki wa Dansi mwenye uwezo wa juu zaidi kiutunzi na arrangement ya muziki hapa Tanzania

    Wakuu huyu jamaa ni kipaji japo now kapotea kabisa hasikiki, mnaokumbuka majina ya nyimbo zake wekeni hapa tujikumbushe utamu wa nyimbo za huyu jamaa. Tupieni hapa zote alizoshirikishwa na zile alizoomba akiwa kwenye muungano wa bendi mbalimbali. Karibuni wakuu
  6. Titicomb

    Kwanini muziki wa sasa haunogi wala hauuziki bila ngono?

    Nimejadili sababu za kibiashara na za kisayansi ya akili na saikolojia ya binadamu. Pamoja na ombi hili naomba kukiri nimeanzisha thread hii kutokana na mjadala nilio taja awali. Nimejaribu pia kugusia kwanini wanafunzi kule Mbeya walichoma moto shule sababu ya kuzuiwa kutumia simu shuleni...
  7. C

    Mwenye uzoefu na biashara ya muziki wa Bongo Flava

    Mwenye uzoefu wa muziki wa bongo flavor especially ambaye anajua jinsi makampuni ya ku-promote muziki wa bongo flavor yanavyofanya kazi hasa na wasanii wanaoibukia. Naomba uzoefu hatua kwa hatua kuanzia kwenye kuingia mikataba na Hawa wasanii Hadi kurekodi, kufanya promotion na split ya mapato...
  8. MalcolM XII

    Muziki wa zilipendwa na vijana wa kisasa

    Habari viongozi, Jana nimetoka kumsikia mtoto aliyezaliwa kwenye miaka ya 2004 (15) akiimba wimbo wa Kilimanjaro Band uitwao Boko. Sasa najiuliza hawa vijana, wanawezaje kuimba nyimbo ambazo kipindi zinatamba wao hawakuwepo? Au hizi nyimbo zinarithishwa kama zinavyorithishwa genetic...
  9. roselina john

    Ladies tunaopenda Muziki wa Kongo tuonane kwa hii thread

    Mara chache kukuta mwanamke anayependa music from Congo But some of them have an interest, Bolingo 1.Nzele- Madilu 2.Bandeko- Madulu 3.Ton Ton -Madilu 4.Sydiegi-Madilu 5.Associe - Fally Pupa 6.Faulta de Jon -Koffi 7.Papaa- Ngwasuma 8.Loi- Koffi I real like Congo Music
  10. Kunguru Mjanja

    Kariakoo Derby: Simba SC 2 - 2 Yanga SC | Mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara - Uwanja wa Taifa Dar

    Wakati homa ya mchezo wa Watani wa Jadi, Simba na Yanga ikiendelea kupanda huku zikiwa zimebaki saa chache, Mashabiki na Wachezaji wa timu hizo wameendelea kutambiana kuibuka na ushindi Simba ambayo itakuwa mwenyeji, itaikaribisha Yanga katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu Tanzania...
  11. TheChoji

    Mabibi harusi acheni kuwachoresha mabwana harusi kwa kuwalazimisha kucheza "stepu"!!

    Kuna hii tabia imezuka siku za hivi karibuni japo ilikuepo pia zamani. Tabia yenyewe ni hii ya maharusi kuingia ukumbini huku wakicheza muziki kwa step ili "kuchangamsha" shughuli. Kichekesho ni pale unapokuta mmoja wapo wa maharusi hasa mwanaume sio mtu wa muziki na hajui kabisa kucheza...
  12. Mwalimu wa tuisheni

    Musicians (wapigaji wa ala zozote za muziki) tukutane hapa

    Kama wewe ni mwanamuziki au ni mpigaji wa chombo chote cha mziki iwe gitaa, kinanda, saxophone, drums, flute, marimba,tarumbeta, na vingine vingi karibu tupeane uzofu wa masuala yote yahusuyo muziki kwa ujumla wake , vifaa vipya vya muziki , upigaji mzuri, wa kisasa na wakitaaluma, Karibuni...
  13. pinno

    Diamond/WCB, tuzo za muziki na tatizo la Watanzania kuridhika mapema

    Takribani mwezi au wiki mbili tatu mfululizo, Clouds Fm wamekuwa wakiendesha mjadala redioni unaoangazia mambo kadha wa kadha ya game ya muziki wa Bongo Fleva, tangu kuasisiwa kwake. Mijadala hii, iliyopewa jina la Bongo Fleva Round table, inayofanyika jumamosi kwenye kipindi cha Bongo Fleva...
  14. Flechaa

    Ni aina gani ya muziki usioupenda au hujatokea huuelewa kabisa?

    Habari za muda huu wakuu. Mimi ni msikilizaji mzuri sana wa muziki kama Afromusic hasa za Nigeria,South,Ghana na East africa. Pia christian songs,Hiphop za bongo na mbele kias flani,pia Pop na Reggae kama za Lucky dube,Bob marley, Alpha blondy. Ila kuna baadhi ya aina za mziki ambazo hua...
  15. Suley2019

    Mtayarisha muziki wa Kenya amshutumu Harmonize kwa kumuibia mdundo katika wimbo wa "Uno"

    Mtaarishaji wa muziki wa Kenya anayeitwa Magix Enga amemshutumu mwanamuziki wa Tanzania Harmonize kwa kumuibia biti alilolitumia katika wimbo wake mpya unaoitwa "Uno". Katika posti yake ya Instagram Magix amemuonya Harmonize kwa kumsisitiza kuuondoa wimbo huo katika mitandao yote ndani ya wiki...
  16. Kingsmann

    WCB na mikataba ya ajabu: Ndio maana muziki wa Tanzania hauendelei

    Ukiambiwa Harmonize alikuwa amesainiwa kwa miaka 15 masikio yatapokea hiyo sauti lakini akili itakataa kuamini au kuelewa hicho ilichopokea toka masikioni. Yani mkataba wa kazi wenye muda wa MUONGO NA NUSU? Tungekuwa ulaya tungeuita ni "CONTRACT FROM HELL". Tuseme alisainiwa ana miaka 20, ina...
  17. sajorsergiosjanic

    Nafasi mbili kwa wasanii waimbaji (singers).

    Tunahitaji wasanii wawili wenye vipaji vya uimbaji, waweze kufanya projects 4 kila mmoja. Projects hizo zitasimamiwa na sisi wenyewe kwa utayarishaji na usambazaji. Utayarishaji wa muziki utafanywa na sisi, muimbaji atakuwa na jukumu la kiuandishi kwa kushirikiana na sisi. Je atanufaikaje...
  18. adden

    Mzee Yusuph aamua kuachana na muziki na kumrudia Mungu wake

    Habari za jioni wanajamvi. Taarifa nilizozipata punde zinasema mfalme huyo wa taarabu anaacha rasmi mziki huo na kumrudia mungu. Mungu amjaalie wepesi afanikiwe katika dhamira yake UPDATES; Mzee Yusuph ameamua kuachana ma Muziki na kumrudia Mungu wake na amewataka watu wote wamsamehe ili...
Back
Top Bottom