Jana nilikuwa nahangaika ku unlock router isome laini zote nikawa naona kuna videos nyingi za Cameroon, Nigeria, Zambia na hata Tz. Hizi videos wanaonyesha maelekezo hatua kwa hatua lakini hawaweki link ya kudownload vifaa, wanaweka namba, ukiwasiliana nao waomba pesa.
Sio kwa ubaya ningeweza...
uhuni, ubabe, bangi na ujeuri ni vitu vinvyokuwa glorified sana Arusha.
Uhai wa mtu ni very cheap sana
huko Arusha.
Kwa sisi tuliosoma miaka hiyo maeneo ya kanda ya kaskazini tunaelewa jinsi vijana wa kutoka Arusha walivyokuwa na desturi ya kujikuta gangstas and thugs.
Hakuna wanachoambulia...
Mjadala ambao umechukua hisia za mashabiki katika viunga mbalimbali Africa ya mashariki ni kuhusu hoja iliyoletwa na watangazaji vijana mavhachari wa East Africa radio kuwa Diamond Platinumz ni mkubwa kuliko Jay Z kwenye mtandao wa YouTube.
Mjadal huo uliendeshwa na vijana wenye vipaji na...
[salam inakuaga hapa]
Wakuu, nimekua nikitembelea mara nyingi tu Channel ya JF uko YouTube. Kusema kweli Mero na team yake kwa YT wanahitaji kubadirisha approach yake. Maana engagement ni ndogo sana.
Ni wazi JF imejitengenezea fan base kubwa sana kwenye baadhi ya social network mfano...
Habarini za Asubuhi wakuu humu ndani, bila shaka mmeamka poa na kwa wale ambao wanaumwa basi namuomba Mungu awaponye kwa uwezo wake Aamin !
Leo nimekuja na hii Biashara nzuri ya kuanzisha YouTube channel ambayo inaweza kukuingizia hadi TSH 300,000 kwa mwezi huku ukiwa unafanya shughuli zako...
Serikali chini ya Chama Cha Mapinduzi - CCM pamoja na kutunga sheria kali ya mitandao na kuweka udhibiti kwa sheria na kanuni ngumu kwa yeyote anayetaka kuanzisha TV au radio au gazeti, lakini kwa upande wa social media imefeli big time..
Social media kama Youtube, TikTok, Twitter X, instagram...
Wimbo wa Zuchu Sukari umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube, hii ni historia mpya kwenye ukanda wa Africa.
Sukari unakuwa wimbo wa kwanza ulioimbwa na msanii mmoja (Solo artist) Wenye views wengi Africa Mashariki na Kati kwenye mtandao wa YouTube.
Na pia anaingia kwenye orodha ya...
Hivi hii imekaaje yaani video clip vya facebook ukiviangalia dakika kumi tu zinakausha data Balaa hata GB 1 fasta inakata. Wakati unaweza kuangalia YouTube muda mrefu tu.
kuna msemo unaotumiwa na ccm ukiwafanya watu wawe maskini watasikia njaa na hiyo njaa itapunguza kufikiri na kuwaza.
Yani hizi tv online za bongo hakuna ubunifu ili mradi tu wakusisitizia ulike na follow tv yao.wakati wengine ukiingia hayo mambo uwezi kukuta ila kilicho andaliwa kitakufanya...
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu nishafanyaga baadhi ya sehemu kama vile Africa Swahili TV, Dizzim TV and Online, Bongo5.
Naomba kama Kuna mtu atahitaji mtu wa kufanyakazi kama hizo kwenye Television au Online Media hata moja wapo tuwasiliane kwa 0714525809 nina uzoefu...
ukitaka kumficha mtanzania siri yako we andika kwenye kitambaa cha kupengea makamasi sio kitabu maana utakuwa umemtesa.
kwanza wote poleni kwa msiba mkubwa kuondokewa na waziri wa zamani lowasa.ila nashangaa mpaka sasa wikipedia imebaki na wasifu wake tu ujabadilishwa.
ukiingia chaneli za...
Kwenye pitapita zangu huko kwenye YouTube nimekutana na channel yenye subscribers 151 tu. Ila ukiplay video inaleta kwanza matangazo. So, hii ndo kusema hii channel ya watu 151 Iko monetized??? Kama jibu ni YES, Je inawezekana hii??
Kwani vigezo hasa vya channels kuwa monetized ni vipi???
Waigizaji wa vichekesho maarufu kama, Kicheche na Clam wamekamatwa kwa kosa la kukiuka Sheria ya Bodi ya Filamu ikiwemo kurusha maudhui pasipo kusajiliwa.
Kwa mujibu wa bodi hiyo, wasanii hao wameitwa mara kadhaa kupeleka kazi zao ili kuhakikiwa na kupewa vibali vya kufanya shughuli za uigizaji...
Israeli mbonyi ni mwanamuziki wa muziki wa injili kutoka Rwanda. Kijana huyu anaimba nyimbo zinachukua views wengi youtube tofauti na wanamuziki wengine wa afrika mashariki.
Tumpe pongezi zake.
Saivi ana nyimbo zinazobamba youtube ziitwazo ninasiri na Nitaamini.
Wimbo wa ninasiri umetoka...
Habari wakuu,
Inakatisha sana tamaa ndugu zanguni. Yaani unakuta channel imekuwa created miaka mitatu iliyopita, ina video kama nane hivi zenye length ya dakika 10 kila moja, contents unakuta ni nzuri tu, video ni HD 1080p, zina ng'aa sana, lakini unakuta video moja ina 276 views, iliyojitahidi...
TV ya Mtandaoni Jambo Tv imefungiwa na huwezi kuona tena video na matukio yote yaliyowekwa kwenye Youtube Channel ya Jambo Tv.
Sababu za kufungiwa chombo hicho bado hazijulikani ila kuna tetesi zikiwahusisha mawaziri 4 wanaotuhumiwa kwa kashfa mbalimbali za ufisadi. Tupaze sauti watanzania wote...
Nachelea kusema kuwa Tanzania hakuna kiongozi mwenye uchungu na nchi hii.
Kila mtumishi wa umma kaachwa afanye atakavyo. Akiharibu na taarifa ikifika kwenye media ndipo wanafiki (viongozi) hujitokeza kutoa kauli za kusimamisha kazi watumishi.
Tangu Januari mpaka leo matukio ni mengi ambayo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.