waafrika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Wasomali wanazidi kukuwa kiuchumi, population na power Nairobi, wao hujiona sio waafrika, Je kuna hatari kwa wakenya weusi dorminance yao ikizidi ?

    Sehemu kubwa ya Nairobi yenye Maendeleo ni East Leigh, sehemu hii karibu 90% ni wasomali wamejaa + kumiliki biashara. mfano Hapa ni majuzi, Rais wa Somali kaalikwa na wasomali wa Eastleigh kuwa mgeni rasmi wa kufungua mall kubwa zaidi Afrika mashariki na ya kati, Kwenye Power nako...
  2. G

    Nimeuchoka ubinafsi wa Waafrika huko youtube, hawaweki link za kudownload wanaweka namba ili wakuuzie vitu walivyopata bure

    Jana nilikuwa nahangaika ku unlock router isome laini zote nikawa naona kuna videos nyingi za Cameroon, Nigeria, Zambia na hata Tz. Hizi videos wanaonyesha maelekezo hatua kwa hatua lakini hawaweki link ya kudownload vifaa, wanaweka namba, ukiwasiliana nao waomba pesa. Sio kwa ubaya ningeweza...
  3. Eli Cohen

    Waafrika tuna shida sana na ndizo zinazo wafanya irene uwoya na wenzio kutokupitwa na fursa ya kufaidika na hamu yetu ya kupata miujiza na faraja.

    Niliona uzi humu eti mtu anataka afarijiwe kuhusiana na yeye kupenda huduma mpy ya Irene Uwoya. Yalianza na jamaa aliekuwa Lugombas. Sasa ni irene uwoya kutumia ushawishi wake kupata kondoo. Simaanishi Mungu hawezi kuinua muhuni then akawa mtumishi wake ila tusikubali wahuni watuaminishe...
  4. Mbahili

    Kwanini Waafrika wengi wanapenda kulalamika?

    Mawasalimia kwa jina la jamhuri. Leo nimeona nilete uzi mdogo hapa kwenu kwa swali nililoliwaza sana. Kwanini Waafrika wengi tunapenda lalamika? Hapo awali nilidhani tatizo ni umaskini, ila pia kwanini matajiri pia wanalalamika? Nimepita baadhi ya nyuzi kibao huku, nimeona wengi wana express...
  5. Lycaon pictus

    Kwanini Waafrika hatulimi matunda yetu ya asili?

    Katika matunda ya asili ya Afrika ni matikiti tu ndiyo yanalimwa sana. Mengine yameachwa maporini na yanazidi kupotea. Kwanini Afrika hatulimi matunda yetu ya asili? Ni matunda gani ya asili yanapatikana kwenu na ungependa kuona yanalimwa?
  6. Mr Dudumizi

    Sio kila kiongozi anayekufa anakuwa ameuawa, tuache mazoea

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Nchini Tanzania, na Afrika kwa ujumla kumekuwa na dhana potofu ya kufikiri kwamba kila mtu mkubwa (kimamlaka) anapokuwa amekufa, basi anakuwa ameuwawa aidha na baadhi ya viongozi katika chama, jeshi au serikali. Zamani nilikuwa najua kwamba haya mambo yalikuwa...
  7. G

    Ni vitabu gani vizuri vya elimu ya matatizo yetu Afrika vilivyoandikwa na waafrika

    Naombeni kujuzwa vitabu vinavyodiscuss matatizo yetu, chanzo, madhara, proposed solutions, n.k. Please sihitaji vitabu vilivyoandikwa kichawa chawa kusifia viongozi ambao tunawajua nyuma ya pazia waliminya haki. sijitaji vitabu vya mtu kaandika tu ajulikane nae ana kitabu, sipend vitabu vya...
  8. G

    Kwanini vitabu vya historia vinadanganya waarabu walichukua watumwa wa kiafrika, mbona hakuna Waafrika waliobaki nchi za kiarabu kama Marekani?

    Sioni hoja yenye nguvu kuthibitisha hili maana nao watumwa walikuwa watu wenye viungo vya uzazi vya kuendeleza vizazi vya waafrika. Hata waafrika wengi unaowakuta nchi za kiarabu ni wale waliohamia kikazi, biashara, n.k. na wengine wana wajukuu tayari. Mfano Marekani, Brazil, n.k. tunaona...
  9. W

    Baadhi ya Waafrika waliopo kwenye orodha ya watu 100 wenye ushawishi duniani

    Kwa mujibu wa jarida la Times limetoa orodha ya watu 100 wenye ushawishi zaidi duniani kwa mwaka 2024 tarehe 17, Aprili 2024. Orodha hii imejumuisha watu wanaoshughulika na sekta mbalimbali kama biashara , Sanaa, michezo, muziki na nyingine nyingi. Wafahamu baadhi ya waafrika waliopo kwenye...
  10. U

    Kwanini Mandela anasifiwa wakati hakuwapa Uhuru Waafrika wa asili wa Afrika Kusini

    Sifa anazopewa hazilingani na uhalisia, nawe kama unsmuona shujaa pengine umekuwa brainwashed Alihamasisha forgiveness dhidi ya makaburu kwamba waendelee kumiliki ardhi takribani asilimia 85 yenye rotuba, kabla ya kutetea naomba ujibu swali rahisi, hilo shamba lako ama mashamba ya huko kijijini...
  11. Mhafidhina07

    Waafrika wanavyoichukulia Vita/shambulio la ya middle east kuhuhisianisha na dini,totally wrong.

    Hamas mwezi october 7 walifanya unexpected attack ambayo iliwaduwaza watu kwa kiasi kikubwa na watu wengi afrika na akili zao mbovu wanachukulia vita hii ni ya kiimani sizani kama itakuwa ni sahihi kuivaa vita kwa njia ya dini,wakati middle east machafuko yake yameanza kipindi cha YAKOBO na...
  12. U

    Waafrika tuna uwezo mdogo wa kujiongoza kimaendeleo, Naomba unitajie nchi moja tu ya kiafrika inayoendeshwa na waafrika iliyo stable?

    Nigeria - uchumi mzuri ila kuna ukabila wa hali ya juu sana kila siku biashara na nyumba za wa igbo zinabomolewa na kuchomwa bila notice ama notice ya masaa mawili, kuna makundi yenye itikadi kali za kiisalam za kuua wakristo, n.k. South Africa - Asilimia 85 ya ardhi bado inamilikiwa na...
  13. Ricky Blair

    Hawa sio Waafrika

    Hawa sio watu weusi kutoka Afrika bali ni Aeto kutoka Philippines na kijenetiki wanafanana sana na makundi mengine ya Asia na kwenye kundi la Austronesian na wanafanana kwa mbali na mchanganyiko wa jenetiki za Madagascar
  14. THE FIRST BORN

    Hii Yanga ya Sasa inaanza kuingia kwenye Mioyo ya Waafrika kutoka kila pembe ya Afrika

    Yanga hajawah kutolewa na Afika isiumie. Jana Yanga katolewa Robo kwa wizi wa wazi Afika nzima saiv inapiga kelele kua vijana wa jangwani walionewa. Pembe zote za Afrika saiv wanaisemea Yanga. Las season Yanga second Leg Ya Final ya CAFCC Alifanyiwa uhuni mbele ya Motsepe kule Algeria Afika...
  15. Mto Songwe

    Kama tunataka kukimbia na kutoka hapa tulipo katika kundi moja na waafrika wenzetu tunahitaji mfumo wa China

    Kama tupo serious tunataka kutoka hapa tulipo katika umasikini huu tunahitaji zaidi mfumo wa China. Kama kweli tunataka kukimbia kwa kasi tunahitaji zaidi mfumo wa China kuliko wakati wowote ule. Ubaya wa huu mfumo hauhitaji watu wazembe, hauhitaji wanasiasa wenye maneno mengi na wapiga...
  16. Kiboko ya Jiwe

    Waafrika ndio jamii katili kuliko jamii zote ulimwenguni, Waarabu wanafuata nyuma ya Waafrika

    Kama Mwafrika angekuwa na mali na uchumi wa kuweza kuajiri wafanyakazi kutoka mataifa mengine angepata lawama toka pande zote za Dunia kwa unyanyasaji na ukatili. Mwafrika anamtesa ndugu yake Mwafrika kama mnyama, jambo ambalo kwa mataifa mengine huwezi kuliona. Mitaani case za unyanyasaji ni...
  17. bahati93

    Waafrika tuache kujibeza kwamba sisi si kitu

    Wabongo kama mojawapo ya Waafrika tumekuwa na tabia mbaya sana ya kujibeza: kwamba hatuna akili, kwamba tuna rasilimali nyingi lakini bado masikini. Ndugu zangu kiuhalisia Haya mawazo ya kujilaumu hayana mashiko yoyote kwani kama ni Rasilimali basi Warussi walibidi wawe matajiri kweli kweli - na...
  18. U

    Waafrika tumerogwa, ni kwamba hatuna hata nchi moja inayoweza kuwa mfano katika sura ya dunia kwamba na sisi tunaweza?

    Wazungu wana Uingereza, Switzerland, france, n.k. - sina haja ya kuwaelezea sana Waarabu wana uae na kuwait - Wametumia vema mafuta yao kwa maendeleo ya nchi zao. Walatini wana uruguay, Chile- sio wenzetu tena hawa, wapo mbali mno. Wachina wana china, korea, japan - viwanda kibao +...
  19. Poppy Hatonn

    Netanyahu anasema akishawakomboa Wayahudi atakwenda Afrika kuwakomboa Waafrika

    Netanyahu alikuwa anaongea na viongozi wa Afrika miaka michache iliyopita. Actually alikuwa anamnukuu Theodor Herzl, kiongozi wa Wayahudi aliyesema: "After I have freed the Jews,I will go to Africa to save the Africans." Netanyahu anasema:"I believe in Africa. Here we have the Black Jews...
Back
Top Bottom