Nimeona leo bungeni kulikuwa na robot linalokaribisha wabunge.
Je, bajeti ya manunuzi au ya kutengeneza robot hilo ilitoka wapi?
Nini hasa dhumuni la robot hilo kwa sasa katika nchi yetu yenye uchumi wa hali ya chini kwa wananchi wake wengi?
Binafsi ninayo maoni yangu, ila nitapenda kusikia...
Nawasalimu kwa Jina la Muungano wa Tanzania!!
Samahani, naomba kuwasilisha MAONI kutokana na kuwepo kwa changamoto ya kimtandao kuanzia tarehe 11.05.2024 hadi hivi sasa. Hali ambayo inazua taharuki kwa vijana waliyokidhi vigezo vya kufanya maombi ya nafasi za ajira zilizotangazwa kwenye mfumo wa...
1.University of Dar es Salaam
2.Sokoine University
3.Nelson Mandela African Institute
4.Mbeya university
5.Catholic university of Health
6.Mwenge Catholic University
7.Moshi Cooperative university
8.Mzumbe university
9.Kilimanjaro Christian college
10.University of Arusha
Kwa ambao vyuo vyenu...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) tunakaribisha maoni mbalimbali na hata mawazo tofauti kati ya wanachama na viongozi wetu. Kama chama cha kidemokrasi, Chadema tunaona suala la kutofautiana na kulumbana juu ya hoja mbalimbali ni fursa muhimu sana ya kuonesha demokrasia yetu na pia...
Mheshimiwa Waziri wa Fedha,
Tanzania yetu ni nchi yenye amani tele na yenye fursa nyingi za uwekezaji. Tuna rasilimali nyingi muhimu, uchumi imara na uwezo wa teknolojia. Hata hivyo, kwa bahati mbaya, wawekezaji wa kigeni wanahofia kuja kuwekeza hapa nchini kutokana na kodi nyingi na ngumu...
Habari za wakati huu waungwana, ni matumaini yangu nyote ni watu wazima na wenye uzoefu na haya maisha.
Naomba kufahamu tofauti iliyopo katika mambo hayo mawili muhimu sana katika maisha yetu ya kila siku.
salamu wanandugu,
Kama kichwa cha uzi .
Niliona video katika mitandao ya kijamii ikizunguka sana (viral video) ,ikimuonyesha Harmonize na Mwakinyo wakitishiana kupigana . Ila ukweli kabisa pale hakuna ngumi labda ni kick , hawakuwa serious.
Tuangalie kwanza mazingira waliyokutana. kama...
Kabla ya utawala wa awamu ya tano kuingia madarakani kulikuwa na taasisi binafsi za utafiti zilizokuwa zinafanya utafiti wa masula ya kijamii kwa raia na kutoa matoke ya hapa na pale.
Waliokuwa wanafuatilia watazikumbuka Twaweza, IPSOS, Afrobarometer na REDET. Japo matokeo ya utafiti wa taasisi...
Kauli zozote za kishujaa kuhusu muungano ni nakili kutoka kwa waasisi wa mataifa haya mawaili. Huenda labda kwa wakati huo muungano ulikuwa na manufaa lakini sio sasa. Kama nyumba ya zamani inaweza kuvunjwa na kujengwa mpya inayoendana na wakati, basi hata muungano kwa sasa ni jumba la kale...
Kwa miaka mingi nimetumia Toyota nilianza na Rav4, Passo, Raum, Noah, Spacio, Kisha nikarudia Noah ambayo niko nayo muda mrefu kuliko gari zote hizo tangu 2019.
Natamani sasa kupata Gari nyingine na hasa safari hii natamani gari tofauti na Toyota
Macho yangu yameona HONDA ROADCROSS KImuonekano...
Binafsi nimeona "potential" yako katika uongozi una uthubutu lakini ninahusudu uthubutu wako huo kwamba utachochea harakati za wananchi kujiletea maendeleo.
Mtu akikwambia kuwa, "samahani umefeli katika zoezi la usaili lakini tumeona "potential" ndani yako, fahamu kuwa bado waonekana una uwezo...
Awamu iliyopita ilijitahidi sana kuwa karibu na wananchi hususan wale wa tabaka la chini, Kwa kuwasikiliza! Haijalishi hoja anayokuja nayo mwananchi yeyote ukiwa kama kiongozi unapaswa kusikiliza na kuwa humble!
Ni vibaya mno kiongozi kukataa kusikiliza sauti ya yule anayemuongoza! Bila...
Habari wadau, kwanini wasanii na watu maarufu imekuwa kawaida kufanya ngono na kujirekodi tena kwa ujasiri?
Je, serikali hailioni hili au na yenyewe imeamua kubariki utumbo huu? Leo Aslay naye katoa sexy tape yake akifanya uchafu wake na kahaba mmoja hivi.
Hivi watu kama: Aslay, Gigy, Uwoya...
Najua wapo watakao beza ila huyu mzee ni presidential material aisee. Kama ulikuwa unamfahamu kijuu juu chukua muda wako mfahamu kwa kina zaidi.
Nashauri chama changu kimpe nafasi mwakani kwa lazima hata kama hataki, atuongoze kwa miaka 5 tu.
Awali ya yote ningependa kuipongeza Secretariat ya ajira kwa hatua nzuri waliofikia ya kufanya interview online, ni kweli mfumo itakiwa na manufaa sana kwa kupunguza gharama za uendeshaji usaili kwa pande Zote mbili.
Msailiwa na msaili.. kwa hlo naipongeza ssrekali kwa hapo walipo fikia,
Ila...
Sichangii chochote angalia mwenyewe
"Kasi ya ubinafsishaji/ugenishaji wa rasilimali za taifa inatisha. Ubinafsishaji kiholela ni ufujaji wa mali ya umma= uwizi wa jasho la wazalishaji.Tujifunze kutoka historia.Hakuna nchi inayoweza kuleta maendeleo halisi ya waliowengi bila kuthibiti njia nyeti...
Shalom,
Simba SC Leo inatakiwa icheze kwa namna ifuatayo.
1. Umakini kwa dakika zote
2. Kucheza kwa speed dakika zote
3. Ujumuishi na haraka katika kulifikia lango la Al Ahly.
4. Kushambulia kwa pamoja na kukaba kwa pamoja, tunaenda wote na kurudi wote.
5. Wanaocheza 7 na 11 wajibu wao pia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.