Hii video ameipost msanii Roma. Je, una maoni gani kuihusu?

Huyu mtangazaji anatumia jina gan IG huwa napenda kipindi chake
Huyo ni mtangazaji usiyeweza kumlinganisha na mwingine yeyote katika nyakati hizi za 'uchawa'. Najuwa sijajibu swali lako, kwa maana hata mimi jina silijui, ila najuwa kuna linaloanza na O...
 
Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula😁
View attachment 2972944
ni utaratibu wa kawaida kabisa huo.
ni sawa na kupewa ruzuku mkonoini tu badala ya kwenye account ya chama au taasisi ilowakilishwa kwenye huo mkutano. na ndio maana hayupo alowahi kukataa huo mkwanja, sio cheyo, lipumba, mbowe au hata huyo mzee wa ubwabwa Hon. SPUNDA

ni utaratibu wa wazi sana na washiriki kutoka vyama na taasisi mbalilmbali wanajuaga kuna posho, na ndio maana huko kwenye taasisi zao, hupigana vikumbo sana juu ya nani aeende kuwawalilisha :pedroP:
 
Nimecheka mimi🤣🤣🤣

Mtangazaji: Mnapewa pesa
Rungwe: Eeh! Tunapewa pesa.
Mtangazaji: Mnazila
Rungwe: Eeh tunazila
Mimi: 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom