Haya ndio mambo wanafanya!Kuelekea uchaguzi tutashuhudia vibwenga vya kila aina.
🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Yani majibu aliyokuwa ana expect mwandishi na mzee anavyomjibu sasa daah 😬😬Haya ndio mambo wanafanya!
Huyu mtangazaji anatumia jina gan IG huwa napenda kipindi chakeIla huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula😁
View attachment 2972944
Dah!Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula😁
View attachment 2972944
Huyo ni mtangazaji usiyeweza kumlinganisha na mwingine yeyote katika nyakati hizi za 'uchawa'. Najuwa sijajibu swali lako, kwa maana hata mimi jina silijui, ila najuwa kuna linaloanza na O...Huyu mtangazaji anatumia jina gan IG huwa napenda kipindi chake
Yeah huwa namfatilia sanaHuyo ni mtangazaji usiyeweza kumlinganisha na mwingine yeyote katika nyakati hizi za 'uchawa'. Najuwa sijajibu swali lako, kwa maana hata mimi jina silijui, ila najuwa kuna linaloanza na O...
ni utaratibu wa kawaida kabisa huo.Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula😁
View attachment 2972944
Rungwe hawezi kuwa hana uelewa, wewe ndie hujamuelewaAnayehoji hana uelewa, anayehojiwa hana uelewa. Hizo ni eligible sitting allowance
Naomba unielewesheRungwe hawezi kuwa hana uelewa, wewe ndie hujamuelewa