msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. Jobless_Billionaire

    Ringtone ya simu yako ni wimbo wa msanii gani?

    Binafsi natumia wimbo wa Wiz Khalifa_High_as_me
  2. Kaka yake shetani

    Kama una mtoto wa kike, mke, ndugu na n.k akiwa msanii we kubali utakayokutana nayo

    sio ulaya wala afrika swala la wanawake tasnia ya usanii yani kama inawapa shida sana ukilinganisha na wanaume. Kuna shida gani sanaa na wanawake
  3. Arnold Kalikawe

    Jose Chameleon: Msanii aliyeitikisa Afrika Mashariki

    Huyo mzungu ndiyo Dorotia mwenyewe, Kama uliwahi kusikia Ngoma ya Dorotia toka Kwa Jose Chameleon.Alikua Mpenzi wa Jose na walizaa mtoto mmoja aitwaye Ayla Mayanja Dr. Jose Chameleon aliivuruga East Africa na ngoma kali sana hit baada ya hit yani tunabandua Ugali tunabadika maharage yani...
  4. Yofav

    Hii video ameipost msanii Roma. Je, una maoni gani kuihusu?

    Ila huyu mzee sijui mzee nani maana kanyooka kama rula😁 Mwishoni anakuambia "🗣️ Aaaah Chakula safiii, Chakula safiii Aaah Chakula safi kabisaaa😁"
  5. Lycaon pictus

    Kuna msanii mkali wa kupiga live kama Frida Amani?

    Hii live show ya Frida Amani ni ya level za kimataifa sana. Msanii gani mwingine anaweza kupiga live kwa level hizi? https://youtu.be/vamUjgmitOo?si=lkBx8muRD9w-b2ek
  6. DR Mambo Jambo

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe

    Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo. Nawatakiwa Asubuhi Njema
  7. MK254

    Msanii Diamond ashambuliwa kwa kusoma Biblia

    Yale yale, ukisoma comments za kwenye hii video yaani utadhani jamaa sijui kaua au kafanya nini yaani, watu wanaishi kimajungu majungu na hasira za kufa mtu. Mfuasi yeyote wa dini ya Kiislamu akisikika kataja chochote cha dini nyingine wanamjia juu balaa.
  8. sinza pazuri

    Wimbo wa Sukari wa Zuchu umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube

    Wimbo wa Zuchu Sukari umefikisha views 100M kwenye mtandao wa YouTube, hii ni historia mpya kwenye ukanda wa Africa. Sukari unakuwa wimbo wa kwanza ulioimbwa na msanii mmoja (Solo artist) Wenye views wengi Africa Mashariki na Kati kwenye mtandao wa YouTube. Na pia anaingia kwenye orodha ya...
  9. The Sheriff

    Mrisho Mpoto si msanii wa kwanza duniani kutembea na kusafiri peku

    Mrisho Mpoto Watanzania wengi wanamjua Msanii Mrisho Mpoto ambaye anafahamika si tu kwa kazi zake, bali pia kwakuwa hutembea peku peku wakati mwingi. Mpoto amejipatia umaarufu kwa utaratibu wake huo katika ukanda wa Afrika Mashariki, lakini je, ni kwanini aliamua kutovipa viatu umuhimu katika...
  10. LA7

    Natafuta nyimbo za msanii kipofu

    Wadau msaada wa jina la msanii jina silikumbuki ila ni msanii wa bongo flavor ni wa zamani kidogo Japo sina uhakika ila kuna nyimbo yake moja niliona video akizungumzia kumpenda mschana wa jirani Nawasilisha
  11. S

    Msanii Kali P hataki tena kusikia muziki

    Msanii aliyetamba na ngoma ya Imekaa vibaya na Tumbo joto , Abdul Miraj maarufu kama Kali P amesema hataki tena kusikia masuala ya Muziki . Kali P amesema ameamua Kumrudia Muumba wake na sasa hive ana takribani miaka 12 ameingia katika dini na ameachana na maswala ya Muziki. "katika dini yetu...
  12. Chawa wa lumumbashi

    Wakristo huyu msanii wa injili ayeimba yesu ninyandue mbona anaachwa? Na wala hatujasikia kauli kutoka kwa viongozi

    Huu ni mtihani kwakweli hivi inakuaje mtu anaimba yesu ninyandue na bado watu wa dini hiyo wapo kimya? Ingekuwa upande wa pili sasa hivi angekatwa kichwa au wamemrest in peace Tunaomba kauli zenu viongozi wa kikristo kutokana na huu ujinga wa huyu mwimbaji wa injili.ili tumle.kichwa sie# yesu...
  13. sinza pazuri

    Diamond Platinumz ni mwanamapinduzi wa kweli ni zaidi ya msanii

    Diamond Platinumz msanii namba moja Africa ni zaidi ya msanii. Mimi namuita mwanamapinduzi au kwa kilami wanasema game changer na anaendelea kulionesha ilo kwa vitendo. Jambo lolote ambalo lilionekana haliwezekani kwenye industry yetu ya burudani yeye alibadilisha mtazamo na kuwa inawezekana...
  14. Intelligent businessman

    Msanii Ali Kiba azindua Redio yake, inaitwa Crown FM

    Staa wa muziki wa Bongo Fleva @officialalikiba amezindua radio yake mpya inayoitwa CROWN FM ambayo inapatikana 92.1 Fm. Alikiba ameeleza sababu za kuzindua Radio kuwa ni njia pekee iliyoinua career yake na watu kumfahamu kupitia Radio. Baada ya kuwa msanii kwa takribani miaka 20 sasa anakuwa...
  15. UKWAJU WA KITAMBO

    Msanii Black wa Uswazi

    BLACK WA USWAZI . _____________________ Hatimaye leo tumefanikiwa kumpata mmoja Kati ya wachonga barabara kwenye Tasnia hii ya Muziki wa Bongo Fleva ambao juhudi zao ndio zimefanya Muziki Huu kuwa Hapa ulipo . Kuna changamoto nyingi sana wamepitia wachonga barabara hawa Enzi Hizo ili kuumpa...
  16. UKWAJU WA KITAMBO

    Support ya msanii Soggy Doggy kwa wasanii kutoka jijini Mwanza

    SUPPORT YA MSANII SOGGY DOGGY ANTER KWA WASANII WA MUZIKI WA BONGO FLEVA MKOANI MWANZA.. ____________________ ✍🏾 Bila shaka jina la Msanii Anselm Tryphone Ngaiza a.k.a soggy doggy anter sio jina jipya masikioni mwa watu Hasa Kwa wadau na mashabiki wa Muziki wa Bongo fleva Nchini Tanzania...
  17. UKWAJU WA KITAMBO

    Msanii Soggy Doggy

    HABARI ZA WAKATI HUU WAFUATILIAJI WA JAMVI HILI LA UKWAJU WA KITAMBO. ................................... ✍🏻kama ilivyo destru yetu wadau na wafuatiliaji wa jamvi la Ukwaju wa Kitambo, huwa tuna desturi yakufanya mahujiano na wasanii wakongwe katika Game hii ya bongo fleva.. ✍🏻wiki hii...
  18. Leak

    Msanii Jaiva wanawake wanampendea nini?

    Huyu Msanii wanawake wanampendea nini? Naangalia hapa TV-E wanavyo mshangilia yani ukiacha sauti nzito sioni cha ajabu kutoka kwake lakini naona ndio msanii ambaye wanamshangilia sana! Sitoshangaa huyu msanii akiwa anawapata wanawake kisa ana sauti nzito! Au pengine mimi sioni wengine wanacgo...
  19. blogger

    Huyu msanii Nas B alipotelea wapi!?

    Aliimba Dua la Kuku, aliimba huko pamoja records.. I have a story with him. Anybody.. p'se..
  20. DR HAYA LAND

    2PAC , sio msanii bora wa wakati wote ila nyimbo yake ya 'DEAR MAMA' ndo nyimbo bora ya HIP HOP ya wakati wote duniani.

    2PAC sio msanii bora Wa wakati wote Ila nyimbo yake ya dear Mama ndo nyimbo kubwa na bora ya wakati wote katika historia ya HIP-HOP Kuwa msanii bora wa wakati wote tunajikita katika Mambo ya ndani na nje, Kama nidhamu, UTU, kujitoa na kuwa positive outcomes kwa jamii.
Back
Top Bottom