afrika mashariki

"Wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki" or "Jumuiya Yetu" (English: "East African Community anthem") is the national anthem of the East African Community. It is a Swahili language hymn.

View More On Wikipedia.org
  1. Aramun

    Enzi za Idd Amini zingekutana na John Magufuli Afrika Mashariki ingechangamka sana

    Hawa wajomba wawili, wana sifa moja common ya kutokuwa na simile na mabwanyenye wa magharibi.. Laiti enzi za uongozi wao zingekutana kwa pamoja, naamini East Africa haingekuwa kama ilivyo sasa. Shida kubwa waliyokumbana nayo wote wakati wanaongoza ni walikuwa hawakubaliki na nchi jirani wakati...
  2. Suley2019

    Waziri Kijaji: Mahusiano ya kibiashara kati ya Tanzania na nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki

    Mwaka 2023, thamani ya mauzo ya bidhaa kwenda katika Soko la Ulaya iliongezeka hadi kufikia shilingi trilioni 3.836 kutoka shilingi trilioni 2.446 mwaka 2022, sawa na ongezeko la asilimia 56.8. Ongezeko hilo limechangiwa na kuongezeka kwa mauzo ya bidhaa za kilimo na viwandani kwenda katika nchi...
  3. Roving Journalist

    Dkt. Nchemba aongoza Baraza la Mawaziri wa Fedha na Uchumi Afrika Mashariki

    Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) ameongoza Mkutano wa 16 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Fedha na Uchumi (SCFEA) na mkutano wa Mashauriano ya Kibajeti wa Mawaziri wa Fedha na Uchumi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, kwa niaba ya Waziri wa Fedha na Mipango wa Sudani...
  4. BARD AI

    Kenya inaongoza Afrika Mashariki kwa madeni makubwa katika taasisi za Mikopo duniani

    Kwa mujibu wa taarifa ya Madeni iliyopo katika tovuti ya Shirika la Fedha Duniani (IMF), imeonesha takriban nchi 47 kutoka Afrika zimeendelea kuwa na Madeni katika taasisi hiyo ya Fedha ambapo hadi hadi kufikia Mei 16, 2024 Nchi 10 zilikuwa na Deni la takriban Tsh. Trilioni 72.3. Aidha, Nchi...
  5. Roving Journalist

    Dkt. Kida, Mkuu wa Idara ya Afrika Mashariki ya Uholanzi wakutana na kujadili shughuli za uboreshaji wa mazingira ya Uwekezaji na Biashara

    Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji Dkt. Tausi Kida amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Afrika Mashariki wa Uholanzi, Bi. Sanne Lowenhardt pamoja na Mshauri Maalum kuhusu Africa wa Wizara hiyo Bw. Melle Leenstra kuhusu uboreshaji wa Mazingira ya Uwekezaji na Biashara...
  6. Meneja Wa Makampuni

    Kukosekana kwa intaneti: Kebo moja ya intaneti ilikatwa mapema Jumapili katika Mji wa bandari wa Afrika wa Durban, je ni hujuma?

    Watumiaji wa intaneti nchini Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa intaneti huku watoa huduma kote Afrika Mashariki wakikiri kumekuwa na tatizo. Wamesema wanajitahidi kurekebisha tatizo hilo. Huduma hiyo ilikumbwa na hitilafu katika nyaya za chini ya bahari...
  7. B

    Tanzania kinara wa uhuru wa habari Afrika Mashariki

    Mei 4, 2024 Tanzania yapaa kwenye viwango vya kimataifa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuimarisha uhuru na demokrasia nchini Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika nchi zinazolinda uhuru wa vyombo vya habari kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa mwaka 2024, kwa mujibu wa ripoti...
  8. Kaka yake shetani

    Watanzania tumeshindwa kuelewa kuwa sisi Afrika mashariki ndio wanatuona kama kioo cha jamii hususani Kenya

    Watanzania bado tujashtuka kuhusu ili li nchi letu kutokutambua kuwa sisi hapa afrika mashariki ndio role modo wa nchi zote afrika mashariki. Ukinagalia swala la sanaa kabisa unaona sanaa ya tz inapendwa niliona yule kicheche alivopokelewa congo au reyvan. Tuje kwenye maendeleo hapa tanzania...
  9. Stuxnet

    Tanzania ni ya kwanza katika Afrika Mashariki kwa Uhuru wa habari

    Ripoti ya Utafiti ya Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) iliyotolewa Mei 3, 2024 imeonesha #Tanzania imeshika nafasi ya kwanza kati ya Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari upande wa Afrika Mashariki Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97 huku #Kenya ikishika...
  10. Roving Journalist

    Tanzania yaongoza kwa Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya habari kwa Afrika Mashariki

    Ripoti ya Utafiti iliyotolewa na Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) ya Mei 3, 2024 imeonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa upande wa Afrika Mashariki. Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97, Kenya...
  11. Arnold Kalikawe

    Jose Chameleon: Msanii aliyeitikisa Afrika Mashariki

    Huyo mzungu ndiyo Dorotia mwenyewe, Kama uliwahi kusikia Ngoma ya Dorotia toka Kwa Jose Chameleon.Alikua Mpenzi wa Jose na walizaa mtoto mmoja aitwaye Ayla Mayanja Dr. Jose Chameleon aliivuruga East Africa na ngoma kali sana hit baada ya hit yani tunabandua Ugali tunabadika maharage yani...
  12. MINING GEOLOGY IT

    Jinsi Afrika Mashariki itakavojitenga na Afrika

    Historia ya mwanzo wa mabara katika dunia ni moja ya hadithi ndefu zaidi katika maendeleo ya wanadamu. Inahusisha mambo mengi kama vile mabadiliko ya tabia nchi, uhamiaji wa binadamu, na mageuzi ya kijiolojia. Katika jiolojia kinachojulikana hadi sasa kuhusu dunia kupitia. Pangaea ilikuwa jina...
  13. Arnold Kalikawe

    Klabu ya Simba yashika Namba Moja katika Vilabu Tajiri Zaidi Afrika Mashariki

    Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao. Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza katika orodha hii.
  14. U

    Mika Mwamba ndie Producer pekee alietengeneza biti kali za nyimbo ziliyowahi kusumbua nchi zote za Afrika Mashariki kwa mpigo

    enzi hizo Afrika Mashariki ni Tanzania, Kenya na Uganda (TAKEU) Hizi ni kazi alizoweza kufanya na wasanii wa nchi zote za Afrika Mashariki na zikawa super hits zilizoteka media za nchi zote za Afrika Mashariki. 1. Kenya - Prezzo ft Naziz (Lets Get Down) 2. Uganda - Ziggy Dee (Eno Maiki), Mad...
  15. R

    Kuna nchi Afrika Mashariki inayomiliki ndege za kivita zisizotumia rubani?

    Katika ukanda wa Afrika Mashariki kuna inamiliki ndege zisizo na rubani kwa ajili ya vita? Kama ipo je hizo ndege ni mpya au zamani? Tunaweza kukabiliana na tishio mashambulizi kama Israeli? Kama hatuna kwanini tunakwenda kuficha majini Ukata? Tutaweza kujilinda wenyewe bila nguvu ya...
  16. R

    Tanzania na nchi za ukanda wa Afrika Mashariki zimejipangaje kudhibiti madhara ya ndege zisizo na rubani endapo zitapotea njia na kuja ukanda huu?

    Iran ameingia vitani na Israel kwa kurusha ndege zisizo na rubani zaidi ya 50. Pamoja na kuwa tupo mbali upo wakati vyombo na silaha za kivita ukosea target au ulazimishwa kuelekea uelekeo usio sahihi. Natambua hapo katikati kutoka Iran hadi Afrika Mashariki kuna Mataifa Mengi lakini mengi yao...
  17. U

    Kwani kuna wa kupinga? Tanzania na Afrika Mashariki hakika Ghb Don ndiye Mfalme wa michezo ya pikipiki

    MUHIMU: MICHEZO HII NI HATARI SANA, BILA UMAKINI NA MAFUNZO WENGI WAMEPOTEZA MAISHA Ni mwamba GHB DON ni fundi na mtalam wa kuchezea pikipi, Tanzania na Afrika Mashariki hakuna mwenye uwezo wa kuchezea pikipiki namna anavyofanya, Tumezoea kuona wengi wakiweza kutambia style ya kuinua tairi tu...
  18. Pinda Nhenagula

    Nimetumiwa mzigo kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki

    Habari za wakati huu wapendwa, Wana Jukwaa, naomba ufafanuzi. Kuna mtu amekutumia zawadi ya iPhone, laptop, na pesa taslimu $1500. Naomba msaada kwa wale wazoefu, maana mzigo ulitumwa jana usiku na umefika Kenya katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta, Nairobi. Naomba msaada...
  19. leroy

    Enzi ya Dhahabu ya Muziki wa Afrika Mashariki (2000-2006): Kipindi cha Mapinduzi ya Ubunifu na Ushirikiano

    Bila shaka miaka ya mapema ya 2000 kuanzia 2000 mpaka 2006 ilikuwa ni kipindi cha mapinduzi makubwa katika muziki wa Afrika Mashariki. Ilikuwa ni zama za ubunifu wa hali juu, ushirikiano wa kikanda, na umaarufu wa kimataifa, mara nyingi ikirejelewa kama "enzi ya dhahabu" ya muziki wa Afrika...
  20. Wadiz

    Ukiacha Uzoba wa kutojua lugha ya Kiingereza Watanzania pia ni wa mwisho kwenye uwezo wa akili za maisha na darasani hapa Afrika Mashariki

    Saa nyingine hata ukweli mchungu usemwe bila hiana, ukiona January makamba na Cheo chake anasema CCM na serikali na vyombo vyake, ukaona utopolo utakao kwenye vichwa na midomo ya wabunge, ukiona utopolo inatokea huko kwenye mahakama, ukiona uholela unaojitokeza kwenye residential nyeti kama...
Back
Top Bottom