klabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. William Mshumbusi

    Uongozi wa simba huwa unagombana na wachezaji wazuri na tegemewa. Wanaipa hasara klabu na kumpa mtihani Mgunda

    Hamtaki chama na hamna mbadala. Leo inonga kawa mbaya, Hamtaki sary na mlisuguana sana na Mohamed Husein. Hamtakii mgunda mnamtaka Ibenge. Kwa profile gani ya ivi karibuni. Ata kama mnanjaa jengeni mazingira basi. Leo Mgunda anaunga unga kikosi tu. Wachezaji wazuri wote mnawapanga mpige...
  2. MulengaMulenga

    Piga Kura: Klabu gani itashinda Champions League 2024?

    Habari wakuu, Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Champions League 2024 na kwa nini?
  3. BARD AI

    Ndani ya miaka 5, Klabu ya Simba imebadili Makocha 9

    Makocha walioifundisha Klabu ya Simba kuanzia 2018 - 2024 Januari 2018 - Juni 2018 Pierre Lechantre Julai 2018 - Novemba 2019 Patrick Aussems Desemba 2019 - Januari 2021 Sven Vendenbroeck Januari 2021 - Oktoba 2021 Didier Gomez Novemba 2021 - Mei 2022 Pablo Franco Juni 2022 - Septemba...
  4. NALIA NGWENA

    Hizi ndiyo timu kutoka Africa zitakazo shiriki michuano ya FIFA klabu bingwa dunia

    kwa bara la Afrika zimeingia timu nne tu katika michuano ya klabu bingwa dunia, michuano hii ipo chini ya FIFA Al ahly kutoka nchini Misri Wydad kutoka nchi ya Morocco Mamelody sowndowns kutoka nchi ya south Africa Esperance de tunis kutoka nchi ya Tunisia NB: Kuna timu kutoka Tanzania...
  5. Arnold Kalikawe

    Klabu ya Simba yashika Namba Moja katika Vilabu Tajiri Zaidi Afrika Mashariki

    Hizi ndio klabu za soka zenye thamani ya juu zaidi Afrika Mashariki, kwa klabu zilizoweka wazi takwimu zao. Kutoka chanzo cha kuaminika cha TransferMarkt Klabu tatu kubwa Tanzania ndio zinaongoza katika orodha hii.
  6. Greatest Of All Time

    Klabu Yanga yafungiwa kusajili na Shirikisho la soka Duniani (FIFA)

    Klabu ya Young Africans iliyoko Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kufanya usajili kwa kukiuka kanuni za Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA). Uamuzi huo umefanywa na FIFA baada ya klabu hiyo kukiuka Annexe 3 ya Kanuni ya Uhamisho wa Wachezaji (RSTP) ya Shirikisho hilo. Pamoja na masuala...
  7. Dalton elijah

    Kundi la Islamic State lachapisha vitisho dhidi ya mechi za Klabu bingwa Ulaya leo

    Getty ImagesCopyright: Getty Images Usalama utaimarishwa katika mechi za Ligi ya Mabingwa wiki hii baada ya chombo cha habari kinachounga mkono kundi la Islamic State kuchapisha vitisho dhidi ya viwanja vitakavyotumika. Kituo cha vyombo vya habari kinachounga mkono IS kimechapisha mabango...
  8. FRANCIS DA DON

    Yanga ingesonga mbele, ingeshiriki Klabu bingwa ya Dunia ya FIFA, kila mshiriki anapewa Dollar Milioni 50 kwa kushiriki tu

    Hivyo basi, Mamelodi anaenda kulamba Bilioni 125 kutoka FIFA kwa msaada wa yule refa. Kiukweli kwa pesa nyingi namna hii, hata wewe ungekuwa refa, na Motsepe anakuwekea bilioni 5 mezani, utaenda kuangalia VAR?
  9. FRANCIS DA DON

    Dalili zinaonesha, Yanga lazima ichukie ubingwa klabu bingwa msimu ujao

    Nimeangalia katika angle mbalimbali, ninejiridhidha, kombe linatuwa Jangwani. Ukibisha, bisha kwa hoja.
  10. W

    Hakuna Pombe, Sigara wala kukatika katika klabu mpya ya Kikristo. Je unaweza Kwenda?

    Klabu mpya ya Kikristo iliyopo Nashville, Tennessee, Marekani, inayojulikana kama The Cove, imeanzishwa kwa ajili ya waumini wa Kikristo wenye umri wa miaka 18 na zaidi wanaokusanyika kwa lengo la kuabudu na kucheza pamoja. Miongoni mwa sheria za klabu hii ni marufuku kuvuta sigara, hakuna...
  11. Mwande na Mndewa

    Yanga robo fainali klabu bingwa: Pacome Zouzoua mtambo wa kuzalisha mabao, hana baya

    Ushindi wa magoli 4-0 wa Yanga dhidi ya CR Belouizdad umechangiwa kwa ukubwa na Pacome Zouzoua aliyeonyesha performance nzuri sana yenye spirit ya hali ya juu sana katika siku yake ya "Pacome Day" ilikuwa ni shoo ya Pacome Zouzoua aliyeonyesha kiwango kikubwa kwenye mchezo huo akiwapa raha...
  12. JanguKamaJangu

    Mchezaji ambaye amesajiliwa na kocha mmoja katika klabu tatu tofauti nyakati tofauti

    Huyu ni mchezaji ambaye amepata nafasi ya KUSAJILIWA na kocha mmoja katika nyakati tofauti kwenye klabu tatu. Ni mchezaji wa Daraja la Juu na hata kocha aliyemsajili pia ni wa Daraja la Juu, je, Mdau umemtambua mchezaji huyo?
  13. mtwa mkulu

    Klabu kubwa ya Simba yasajili kinda wa miaka 26 tuu

    Ni yule kinara wa magoli Ligi ya zambia NB. Nisije nikawa nina miaka 12 harafu hamniambii sio vizuri
  14. JanguKamaJangu

    Klabu ya AS Roma yamfukuza kazi Jose Mourinho kutokana na matokeo mabovu

    Kibarua cha Kocha Jose Mourinho kimeota nyasi katika Klabu ya AS Roma kutokana na matokeo mabaya mfululizo ya timu hiyo msimu huu katika Ligi Kuu ya Italia ‘SerieA’. Kocha huyo wa zamani wa Chelsea na Manchester United ameshinda mechi 68 kati ya 138 lakini hivi karibuni amekuwa akitolewa nje ya...
  15. K

    Ushauri kwa Yanga kuhusu usajili wa Msuva

    Nimesoma kupitia mitandao kuwa Yanga wanataka kumsajili Simon Msuva. Ushauri wangu kwa Yanga kuwa waachane na Msuva. Mpira wake umekwisha. Msuva umri umeenda. Waendeee kumwamini Skudu ni mchezaji mzuri na hatari. Hakuna haja kumtosa Skudu.
  16. Teko Modise

    Man Utd yafikia makubaliano na Sir Jim Ratcliffe, ambapo atamiliki 25% ya hisa za Klabu hiyo

    Hatimae kile kitendawili cha umiliki wa Man Utd kimeteguliwa leo kwa ambapo klabu hiyo imefikia makubaliano na Sir Jim Ratcliffe ambaye ni Mwenyekiti wa Kampuni ya INEOS kumiliki asilimia 25 Klabu hiyo. Ikimbukwe wamiliki wa Man Utd bado watabakia familia ya Glazzer kwa asilimia 75. Sir Jim...
  17. Petro E. Mselewa

    Klabu Bingwa Barani Afrika: ASEC Mimosas yatangulia robo fainali

    Kufuatia ushindi wao wa 3-0 dhidi ya Galaxy hivi punde na kimahesabu, ASEC Mimosas wametinga hatua ya robo fainali ya Klabu Bingwa barani Afrika. Hadi sasa, ASEC wamefikisha alama 10 huku ikibaki michezo miwili. Simba wana alama 5, Galaxy alama 4 na Wydad alama 3. Kimahesabu, Simba au Galaxy...
  18. Petro E. Mselewa

    Klabu Bingwa Dunia: Al Ahly yatota kwa Fluminense, yachapwa 2-0

    Mabingwa wa soka wa Afrika kwa ngazi ya vilabu Al Ahly ya Misri imechapwa mabao 2-0 na mabingwa wa vilabu wa Amerika ya Kusini Fluminense ya Brazil. Fluminence sasa imetinga fainali ya Ijumaa hii na inamsubiri mshindi wa kesho kati ya mabingwa wa vilabu vya Ulaya Manchester City ya Uingereza...
Back
Top Bottom