Hizi ndiyo timu kutoka Africa zitakazo shiriki michuano ya FIFA klabu bingwa dunia

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,382
12,950
kwa bara la Afrika zimeingia timu nne tu katika michuano ya klabu bingwa dunia, michuano hii ipo chini ya FIFA

Al ahly kutoka nchini Misri
Wydad kutoka nchi ya Morocco
Mamelody sowndowns kutoka nchi ya south Africa
Esperance de tunis kutoka nchi ya Tunisia

NB: Kuna timu kutoka Tanzania iloidanganywa na Viongozi wao wakishirikana na wachambuzi wa mchongo kuwa wakifika nusu watajikusanyia mapointi ya kutosha na kwenda kukiwasha huko majuu na kuchukua kombe mbele ya Madrid, Bayan nk
 
Back
Top Bottom