Tanzania yaongoza kwa Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya habari kwa Afrika Mashariki

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,884
12,133
Ripoti ya Utafiti iliyotolewa na Taasisi ya Reporters Without Borders (RSF) ya Mei 3, 2024 imeonesha kuwa Tanzania imeshika nafasi ya kwanza katika Nchi zinazolinda Uhuru wa Vyombo vya Habari kwa upande wa Afrika Mashariki.

Tanzania imepanda kutoka nafasi ya 143 kwa Mwaka 2023 hadi 97, Kenya inafuatia kwa kushika nafasi ya 102 kutoka 116, Somalia ndio ya mwisho Duniani ikiwa nafasi ya 141.

Baadhi ya vigezi vilivyotumika ni misingi ya Kisheria, hali ya kiuchumi, hali ya kisiasa, usalama wa Wanahabari na mtazaamo wa kijamii na kitamaduni.

Nchi 10 Bora katika ripoti hiyo ni Norway, Denmark, Sweden, Uholanzi, Finland, Estonia, Ureno, Ireland, Switzerland na Ujerumani.
 
TANZANIA YANGU MAMA!!! TUZIDI KUTENDA YALIYO MEMA!!!
 
Kwangu kuna tv mbili, sebuleni na chumbani, mke wangu na watoto waangalie mambo yao na mimi nitazame taarifa ya habari, sitaki kunyang'anyana ripoti na mke/watoto
 
Back
Top Bottom