Msanii Diamond ashambuliwa kwa kusoma Biblia

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,807
48,785
Yale yale, ukisoma comments za kwenye hii video yaani utadhani jamaa sijui kaua au kafanya nini yaani, watu wanaishi kimajungu majungu na hasira za kufa mtu.

Mfuasi yeyote wa dini ya Kiislamu akisikika kataja chochote cha dini nyingine wanamjia juu balaa.

sasa wakitaka kusoma yakobo,musa,farao na n.k wanaenda kusoma kwenye kitabu gani?. dini ni part ya ujinga ijawai tokea
 
Jamaa wagomvi sana ukianza ongea nao mambo ya dini watakutajia mistari ya kwenye Biblia karibu kitabu kizima...
Ila wakiona mwenzao anasoma hiyo mistari wanakuja juu sasa sijui wao waliijulia wapi bila kusoma
 
Yale yale, ukisoma comments za kwenye hii video yaani utadhani jamaa sijui kaua au kafanya nini yaani, watu wanaishi kimajungu majungu na hasira za kufa mtu.

Mfuasi yeyote wa dini ya Kiislamu akisikika kataja chochote cha dini nyingine wanamjia juu balaa.

Mbona hawakumshambulia Samia alivyosoma mistari ya Biblia siku Malasusa anaingizwa kazini?
 
Yale yale, ukisoma comments za kwenye hii video yaani utadhani jamaa sijui kaua au kafanya nini yaani, watu wanaishi kimajungu majungu na hasira za kufa mtu.

Mfuasi yeyote wa dini ya Kiislamu akisikika kataja chochote cha dini nyingine wanamjia juu balaa.

Keep on reading the Bible Mr. Platinum.
 
Yale yale, ukisoma comments za kwenye hii video yaani utadhani jamaa sijui kaua au kafanya nini yaani, watu wanaishi kimajungu majungu na hasira za kufa mtu.

Mfuasi yeyote wa dini ya Kiislamu akisikika kataja chochote cha dini nyingine wanamjia juu balaa.

Mbona Yusuph Makamba alikua anasoma mara nyingi na uislamu wake haujaondoka, Rais Kikwete pia?, ni ujinga tu
 
Juma na swaleh hawampendi wile na Charles wakati wanafanana rangi ya ngozi mpaka nywele do salale.
 
Yale yale, ukisoma comments za kwenye hii video yaani utadhani jamaa sijui kaua au kafanya nini yaani, watu wanaishi kimajungu majungu na hasira za kufa mtu.

Mfuasi yeyote wa dini ya Kiislamu akisikika kataja chochote cha dini nyingine wanamjia juu balaa.

Kwanza nianze kumshukuru Mama Samia kwa kitendo cha Diamond kusima biblia vizuri!
Pili naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom