Awali ya yote ningependa kuipongeza Secretariat ya ajira kwa hatua nzuri waliofikia ya kufanya interview online, ni kweli mfumo itakiwa na manufaa sana kwa kupunguza gharama za uendeshaji usaili kwa pande Zote mbili.
Msailiwa na msaili.. kwa hlo naipongeza ssrekali kwa hapo walipo fikia,
Ila...
Sichangii chochote angalia mwenyewe
"Kasi ya ubinafsishaji/ugenishaji wa rasilimali za taifa inatisha. Ubinafsishaji kiholela ni ufujaji wa mali ya umma= uwizi wa jasho la wazalishaji.Tujifunze kutoka historia.Hakuna nchi inayoweza kuleta maendeleo halisi ya waliowengi bila kuthibiti njia nyeti...
Shalom,
Simba SC Leo inatakiwa icheze kwa namna ifuatayo.
1. Umakini kwa dakika zote
2. Kucheza kwa speed dakika zote
3. Ujumuishi na haraka katika kulifikia lango la Al Ahly.
4. Kushambulia kwa pamoja na kukaba kwa pamoja, tunaenda wote na kurudi wote.
5. Wanaocheza 7 na 11 wajibu wao pia ni...
Inawezekana mimi sio engeneer au mtaalamu wa Meli, ila juzijuzi nimebahatika kuiona Meli yetu mpya ziwa victoria ikifanyiwa marekebisho ya mwisho kutembea ziwani.
Kwa muonekano wake tu wa nje, inawezekana ndani ikawa ni kali balaa (excuse of doubt).Bila kumung'unya maneno muonekano wake wa nje...
Hivi karibu kuna nyuzi nyingi za watu kukata tamaa na kutaka kujiua, kuacha au kuachika katika mahusiano ya me na ke, biashara kugoma, kukosa kazi ya kufanya, kuchukiwa na ndugu jamaa na marafiki n.k
Ewe mwanadamu mwenzagu hukuzaliwa kwa bahati mbaya ndani ya ulimwengu huu. Huenda unapitia...
WanaJF,
Yaliyosemwa na retired CDF kuhusu matukio yaliyotokea muda mchache kabla ya Magufuli kufariki miaka 3 iliyopita tumeyasikia.
Baadhi ya matukio ni kikundi fulani kutaka katiba isisimamiwe. Aliyekuwa CDF akakataa
Matukio haya yanasikitisha lakini tukiyanyamazia yanaleta precedence...
Watu wanajinasibu kua critical thinkers lakini si kweli, wengi ni bendera kufata upepo,
Kwanini mtu anapoona andiko asilifikirie kisha akaandika kile anachokiona? Badala yake anaandika kutokana na mkumbo wa reply za mwanzo?
Mada pekee utaona watu wanatifautiana regardless ya comments za...
Nazungumzia kumpata mgombea kwenye vyama vyetu vya siasa. Kitendo cha kutuigizia kuwa wanachama wanamkubali mgombea mmoja 100% Ni uongo na unafiki.
Tuanze sasa kubadilika na kuruhusu watu wote wenye sifa kuchukua fomu za kugombea urais kila uchaguzi unapofika. Tusiwe wachoyo.
Ahsanteni.
Dkt. Philip Isdor Mpango, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewaagiza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo (Mb), na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba (Mb), kuchukua maoni ya Wafanyabiashara na wawekezaji ili kuboresha sera na sheria za...
Habari wakuu!
Mimi kama mzalendo jana nimefuatilia majaribio ya treni ya kisasa kutoka Dar to Morogoro, nilichokibaini ni hiki
kama kwenye uzinduzi ambao kulikuwa na viongozi ndani yake imetumia masaa mawili kufika Morogoro, tafsiri yake uwezekano wa kutumia masaa manne kwa mfumo wetu wa...
NImekaa Hapa Baada ya Mapunziko ya Weekend nimeona nilete mjadala mdogo.
Mjadala huu unahoji ni kwa nini Wabunge wanateuliwa Kuwa Mawaziri?Kuteu Mbunge kuwa waziri ni matumizi mabaya ya Rasilimali na Yanaondoa kabisa Msingi wa uwakilishi wa wananchi na uwajibikaji wa serikali.Bunge ni Muhimili...
https://www.youtube.com/watch?v=A3BiWhBGNxY
Twaweza, JamiiForums, The Union of Tanzania Press Clubs (UTPC), Tanzania Media Women’s Association (TAMWA) na Media Institute of Southern Africa Tanzania Chapter (MISATan) kwa pamoja wanatarajiwa kuzindua Ripoti ya Sauti za Waaandishi, leo Februari 16...
Huu ni mwendelezo wa mada zangu za kuwatambuza juu ya mizizi ya mambo ya hovyo yanayoendelea serikalini na nchi kwa ujumla.
Bunge ni Chombo cha uwakilishi wa Wananchi kama Ibara ya 62 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inavyotumika:
“Kutakuwa na Bunge la Jamhuri ya...
Habari za leo
Kutokana na hujuma zinazoendelea katika Shirika la Ugavi na Usambazaji wa Umeme Tanzania (TANESCO) kwa maoni yangu binafsi nashauri Shirika hili Mkurugenzi Mkuu apewe Mwanajeshi na liwe chini ya usimamizi jeshi.
Sababu kubwa ni uwepo wa nidham ya hali ya juu Jeshini hivyo...
DISCLAIMER: This content is solely based on my personal opinion.
Moja kwa moja kwenye mada. Hizi flagships babalao ni Samsung pekee. Achana na series za Google pixel, iPhone, Redmi, etc... Samsung yuko vzr kotekote, hardware na software.
Iphone kwa ile classy feeling na touch wako vzr, ila...
Ni ipi sababu inayofanya sare za polisi na majesh mengine ya wizara ya mambo ya ndani hayavai sare zenye rangi ya mabaka kama sare za jeshi la jwtz, na wakati kiprotoko yote ni majeshi kama majeshi mengine, kwa wenzetu kenya majeshi yao yote yanavaa sare za kijeshi zenye mabaka mabaka tofauti ni...
Shirika la ujasusi la Ujerumani limemweka bosi wake wa zamani Hans-Georg Masen, ambaye sasa ni mwanasiasa wa mrengo wa kulia, chini ya uangalizi kwa ajili ya maoni yenye itikadi kali.
Masen leo ametoa barua kutoka kwa shirika la ujasusi la BfV kwa wakili wake baada ya vyombo vya habari vya...
Habari zenu wakuu.
Ningependa nipate maoni/busara yenu katika hili. Mimi natamani sana hapo baadaye niekeze katika kilimo biashara. Najua kila zao lina changamoto zake ila nahitaji kuelewa kutoka kwa wale ambao wana experience katika hili wanisaidie kunijulisha, ni changamoto gani ziko katika...
Mbombo ngafu, hii imekaaje?
CHADEMA hawawatambui Halima Mdee na wenzake, lakini wanaenda kwenye kamati ya Bunge la akina Mdee kutoa maoni yao kuhusu sheria za uchaguzi, na wanatarajia hao hao wawapitishie sheria tamu na nzuri ambazo zitawafanya waanze kula, na wanaokula sasa wakubali kwa hiyari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.