wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pinacoladee

    Giving back to the community

    Habari zenu, Giving back to the community ni program moja nzuri sana ya kuirudishia jamii au kuwafanyia jambo jamii kwa kujitolea, tumekua tukiona baadhi ya makampuni wakifanya donation au charity events, sio makampuni au taasis zote zinafanya ili jambo, Kuna baadhi ya viwanda vilivyopo Tanzania...
  2. Kabende Msakila

    Wabunge wa CCM oneni aibu - saidieni jitihada za Rais kupitia ugawaji wa pikipiki kwenye kata

    Naenda kwenye hoja moja kwa moja. Kwa kutambua mchango wa viongozi wa CCM wote ngazi ya kata nchini Mwenyekiti wa CCM taifa ametoa pikipiki kwa Makatibu CCM Kata na jumuiya zake. Ili wagawiwe pikipiki hizo viongozi hao wanatakiwa kulipia gharama kadhaa - sasa baadhi ya wilaya ikiwemo Kakonko...
  3. Pdidy

    Safari hii Yanga atuendi bungeni naona wabunge watatuchoka kila mwaka

    Najua mtatuchoka lakini hakuna jinsi ndio Yanga tamu Tunaomba tukicheza na Dodoma tualikwe hata nje tu bungen tupate chai na spika na pongezi zenu
  4. L

    Dkt. Mwingulu Nchemba awataka Wabunge kujadili sheria wakati wa Utungwaji na Siyo Wakati wa utekelezaji Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri wa Fedha Mheshimiwa Daktari Mwingulu Lameck Nchemba Amewataka Waheshimiwa Wabunge pamoja na watanzania wote kujenga utamaduni wa kujadili sheria wakati wa mchakato wa Utungwaji wake na siyo wakati wa utekelezaji wake. Ameyasema hayo kutokana na swali lililoulizwa...
  5. mzee wa liver

    Wabunge wa mwendazake ni janga Kwa Taifa letu

    Aisee angalia wabunge wetu wanayojadili bungeni Kumekuwa na utabiri wa hali ya hewa wa kutahadharisha juu ya majanga mbalimbali ikiwemo vimbunga kwa bahati mbaya sana hivi karibuni tumeona kwamba majina mengi yamekuwa ya jinsia ya kike, kama kimbunga Cleopatra, Katarina na hivi karibuni...
  6. Mbute na chai

    Ninaangalia bunge live TBC ila viti vingi havina wabunge

    Ninaangalia bunge live TBC ila viti vingi havina wabunge. Hii imekaaje? Mh. Naibu spika anauliza kama hoja imeungwa mkono na jibu ni ndiyo kwa idadi hii!! Je, tunahitaji kubadili sheria ili vikao muhimu kama hivi vya kibajeti visifanyike kama asilimia zaidi ya 50 ya wabunge hawapo? Nini maoni yako?
  7. Tlaatlaah

    Kama chama kimeshindwa kushughulikia na kumaliza issue ya wabunge 19 wa covid-19? Ni nini wataweza sasa

    sidhani kama kuna raia au mwanainchi anaweza kuamini na kukipa dhamana chama ambacho kimeshindwa kabisa, kutatua na kufikia muafaka wa tatizo lake dogo tu, dhidi ya wanachama wake, ambao ati kimewafukuza uanachama, hali ya kua, siku nenda rudi majukwaani na kwenye vikao vikuu vya ndani...
  8. J

    Mbunge wa CCM apendekeza Vyuo Vikuu vianze kutoa Nusu Degree kwa Wanafunzi wanaoishia njiani

    Ni mbunge wa Kahama mh Kishimba Amesema kama Mwanafunzi wa Degree ya miaka 4 akifika Mwaka wa 3 na kukosa Ada ya kuendelea na masomo basi Atunukiwe " Nusu Degree" Source: EATV CCM kuna Burudani sana 😂 ==== Mbunge wa Bunda Vijijini, Peter Getere amesema mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu...
  9. S

    Wabunge wapikiwe chakula wakiwa kwenye vikao vya bunge, na walale kwenye mabweni ya UDOM ili wapunguze ulevi na utoro

    Sote tu mashahidi, mahudhurio ya wabunge siyo mazuri na wanasisnzia sana wakati wa vikao vya bunge. Hii haitokei kwa bahati mbaya, bali inasababishwa na pesa nyingi za posho wanazolipwa wakati wa vikao zinazopelekea wabunge kukesha kwenye uzinzi na ulevi. Tunakumbuka Charles Kitwanga aliwahi...
  10. Pdidy

    2025, Wananchi mkatae kuwa misukule ya wabunge wasiofanya wajibu wao mpaka wakikaribia uchaguzi

    Tufike wakati tuseme imetosha sasa. Jana kwenye kikao cha Bunge nimewanukuu wa Bunge watatu wakililia barabara na wengine kusema, Mheshimiwa Waziri, wananchi tumewafanya kama misukule, hao ndio wanaturudisha bungeni sasa. Tushafanya nyimbo kila ukikaribia uchaguzi tunawakimbilia. Tukipata...
  11. Kkimondoa

    Bunge la Tanzania umekuwa muhimili mbovu na usio na tija wala faida kwa Taifa

    Bunge ni chombo ambacho kama kingekuwa kinafanya kazi yake ipasavyo hakika Tanzania ingekuwa mbali sana kwa sasa. Lakin Bunge la Tanzania ni miongoni mwa mabunge ya hovyo na hasara kwa Taifa, halina msaada wala mchango wowote ule kwa taifa hili. Bunge linatia hasara Serikali kila mwaka. Bunge...
  12. D

    Utoro wa wabunge bungeni tena bunge la bajeti, tatizo ni nini?

    Habari! Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge. Vikao vya halimashauri...
  13. B

    Hili la Wabunge 50 kutoka Zanzibar yenye wapiga kura wasiozidi laki tano, wakati Temeke wapiga kura 1.5M Wabunge 6 limewaliza Watanzania

    Wakati Watanzania wanaendelea kula Dozi ya Ubongo( Brain Vitamins) kutoka kwa Wakili Nguli na Mpigania haki Mh Makamu Mwenyenyekiti wa Chadema kwenye ziara zake. Mh Lissu ambaye yuko ziarani ktk harakati zake za Kuendesha Maandamano mikoa yote Tanzania na mikutano ya kisiaaa ametoa Takwimu...
  14. Stephano Mgendanyi

    Shemsa Mohammed awasisitiza Wabunge na Madiwani kutekeleza ahadi binafsi

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Seif Mohammed amewataka Wabunge na Madiwani kuhakikisha wanatekeleza ahadi zao binafsi walizotoa kwa wananchi wakati wanaomba kura kwenye uchaguzi wa mwaka 2020. Mwenyekiti Ndugu Shemsa Seif Mohammed amewataka ametoa wito...
  15. M

    Naomba Elimu namna utekelezaji wa bajeti za serikali ulivyo na jinsi Rais anavyoshukuriwa sana na wabunge

    Wakuu nawasalimu, niende moja kwa moja kwenye swali , linahusu budge ya serikali na utekelezaji wake , bunge na Mheshiwa Rais nianze na maelezo kidogo, Nijuavyo mimi, budget zote hupitishwa na bunge, na wabunge huwa wakali sana kwa mawaziri kama watekelezaji wa maamuzi ya bunge , mambo ya...
  16. Roving Journalist

    Naibu Waziri wa Nishati: Wananchi na Wabunge tembeleeni Maonesho ya Wiki ya Nishati kwenye Viwanja vya Bunge, Dodoma

    Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga ametoa wito kwa wananchi na Wabunge nchini kutembelea Maonesho ya Wiki ya Nishati yanayoendelea katika Viwanja vya Bunge jijini Dodoma ili kufahamu masuala mbalimbali ikiwemo utekelezaji wa miradi mbalimbali chini ya Serikali ya Awamu ya Sita. Naibu...
  17. D

    Wabunge/wawakilishi wote wa baraza la mapinduzi Zanzibar wanakuwa wabunge wa Bunge la JMT?

    Naomba kufahamishwa hapo na wataalam, na wanaokuwa sehemu ya Bunge la JMT wanazingatia vigezo gani au wanapatikanaje. Cc Pascal Mayalla
  18. Papaa Mobimba

    Jaji Warioba: Mawaziri wasitokane na Wabunge

    Jaji Warioba akihojiwa na Mwananchi Digital Aprili 7, 2024. amesema kuwa Mawaziri wasitokane na wabunge, "Bunge liwe ni bunge, serikali isiingiliane na bunge, na vizuri mawaziri wasiwe kwenye bunge, mbunge asiwe waziri. Wakati tulipopata uhuru na hasa tulipobadili katiba tukawa Jamhuri, Rais...
  19. R

    Wabunge wawe na ukomo wa kukalia kiti bungen

    Muda mwingine mabadiliko yatakuja kama tukibadilisha watu kwenye mfumo. Kadri mbunge anavyokalia kiti anabweteka anakula maisha kwa mishahara ya mamilioni. inakuaje mbunge anapokea pensheni halafu anarudi bungeni. Basi kama vp kila mtumishi alipwe pensheni kila baada ya miaka 5 Hii nchi ni...
  20. P

    LIVE Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Wakuu, Wabunge wameshaanza maigizo na mazingaombwe kuelekea uchaguzi mkuu 2025, wengine wanapanda baskeli, wengine wanaenda kula kwa mama ntilie, wengine wanapaki viete na kuingia na maguta, wengine wanakuwa majinjia ghala na kuanza kuendesha mitambo. Yaani ni hekaheka, patashika nguo...
Back
Top Bottom