wabunge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    Tetesi: Theluthi mbili ya kura za wabunge zitaweza kufika??

    Theluthi mbili ya kura za wabunge zitaweza kufika??
  2. MAHANJU

    Wabunge wa CCM acheni unafiki na kiherehere, mlikuwa wapi siku zote kumtetea Rais Samia mpaka msubiri aongee?

    Nchi hii siku zote tunasemaga imejaa wanafiki wa kiwango kikubwa sana cha hali ya juu. Hawa wabunge wakati Mams anadhalilishwa na kusemwa vibaya na na Ndungai kuhusu Tozo na mikopo walikua kimyaa. Kelele za kumtetea Mama zilitoka kwa Wenyeviti wa CCM mikoa na Wilaya pamoja na Karibu mkuu wa...
  3. T

    Enyi mawaziri na wabunge nini maana ya makofi na kushangilia

    Imekuwa desturi yenu kila anapohutubia mmoja wa mhimili mnapiga makofi nakushangilia huku mkiimba Tunaimani na Fulani. Huwa mnachambua hotuba zao? Mmekuwa kama watoto kupiga makofi. Rais akimchamba Spika mnashangilia, mkiwa bungeni Spika akiongea ushenzi kwa serikali mnashangilia. Nyie ni ndege...
  4. Fundi Madirisha

    Wabunge wameufyata kuhusu bosi wao? Wako upande wa nani?

    Hii ni kali ya mwaka.Yaani wabunge tunaowajua kina Msukuma, Kibajaji, Kingu, Kigwangala na wengine kimyaaa. Huwezi kuniambia kauli ya Spika juzi alivyounanga utendaji wa Mama kuhusu mikopo na serikali yake ungetegemea wabunge hawa waufuate kiasi hiki? Wanaogopa wakimgusa bosi wao wakirudi...
  5. figganigga

    Spika Ndugai: Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa na Mawaziri

    Spika Ndugai amewaasa watu waache kulishambulia bunhe kwamba Wanapitisha Sheria za Bunge zisizo faa. Amedai saa nyingine Kanuni za Sheria ndio zinakiwa na tatizo. Baadala ya kulaumu, leteni hizo Kanuni tuzibadilishe. "Wanasema Bunge Ovyo, Wabunge hawana maana, hawajui kanuni za Sheria zinatungwa...
  6. S

    Godbless Lema amshauri Waziri wa Mambo ya Ndani kukutana na Wabunge Aeshi Hilary na Stella Manyanya kabla ya kumjibu Nabii Mwingira

    Ni kupitia mtandao wa twitter ambako ameandika ujumbe huu na kuweka picha ya Simbachaweni. "Kabla ujamjibu Prophet Mwingira, nakushauri kaa na Mbunge Aeshi Hilaly na Stella Manyanya, wanajua baadhi ya mambo. Usijibu bila uelewa. Kwani Prophet Mwingira akirudi kufafanua, Tanzania inaweza kuomba...
  7. sabuwanka

    Wabunge 38 wa Uganda wakubwa na corona baada ya kutoka Tanzania

    Wabunge 38 wa Uganda wakutwa na corona baada ya kutoka Tanzana, Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa...
  8. Vandetta

    #COVID19 Wabunge 38 wa Uganda waliokuwa Arusha wakutwa na Corona, waliobaki waambiwa wajitenge

    Safari ya wabunge wa Uganda zaidi ya 200 na wafanyakazi wa bunge 125 imeingia doa baada ya kurudi kutoka kwenye mashindano ya wabunge wa Jumuiya ya Afrika mashariki, mjini Arusha Tanzania na kukutwa wana maambukizi ya uviko19. Kwa mjibu wa msemaji wa bunge la Uganda Chris Obore amefahamisha...
  9. sabuwanka

    Uongozi UDOM watetea PhD za Mawaziri, na Wabunge

    Siku mbili baada ya shahada za uzamivu (PhD) za viongozi wa kisiasa hasa Mawaziri na Wabunge kuibua mjadala, uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umezitetea na kueleza namna ya kuondoa shaka juu yake. Akizungumza na Mwananchi, Makamu Mkuu wa UDOM, Profesa Faustine Bee amesema wenye shaka...
  10. I

    Nawaonea huruma wabunge wa CCM, wengi hawaturudi 2025 Bungeni

    Kipindi Cha mwendazake wengi walitangazwa kinguvu na wakurugenzi licha ya chadema kushinda viti vingi including kawe na Ubungo. Wakurugenzi walikuwa wameshaelekezwa kuwa atakayetangaza chadema tu basi ajihesabu hana kazi na hakuna aliyekuwa tayari kupoteza kazi kisa kumpa ulaji mwingine. Kwa...
  11. waziri2020

    James Ole Milya awa kivutio michuano ya wabunge inayoendelea jijini Arusha

    Mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara,James Ole Milya leo ameonekana kivutio katika michuano ya wabunge wa Afrika Mashariki inayorindima katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Ole Milya alionekana muda mwingi akiwa amevaa bendera ya Tanzania huku akiwa ameshika vuvuzela...
Back
Top Bottom