kilimo biashara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Vitu muhimu vya kuzingatia Kwa wewe mtu aunaetaka kulima kilimo biashara.

    Vifuatavyo ni vitu vya kuzingatia Kwa mtu yeyote anae taka kulima kilimo biashara. 1.Una ardhi yenye ukubwa na yenye rutuba nzuri 2.upo tayari kufanya kilimo kutoka moyoni mwako yani uvunguni wa moyo? 3.utapata wapi mbegu za muda mfupi chotara zinazo himili magonjwa na kuota Kwa asilimia...
  2. X

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kilimo biashara kitainua uchumi wa nchi na kuondoa umasikini

    UTANGULIZI Sekta ya kilimo nchini Tanzania bado imekua na changamoto kubwa ya kutokidhi mahitaji ya soko la ndani na nje mchango wake kwa pato la taifa bado ni mdogo pia. Pamoja na jitihada za Serikali kuongeza nguvu kwenye kilimo cha uhakika cha umwagiliaji ila dira ya taifa inapaswa kujikita...
  3. Blender

    Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya nchi! Yaani kivipi?

    Kitendo cha kuagiza mchele nje ya nchi siyo kitendo cha kukiacha kipite hivi hivi tu kama ni jambo la kawaida na halina maana yoyote. Jambo hili ni ishara mbaya sana na siyo dalili nzuri sana huko tuendako kama taifa. Haiingii akilini kabisa kuona nchi kama Tanzania eti tunaagiza mchele nje ya...
  4. rosewilliam

    Naomba maoni juu ya kilimo biashara na teknolojia katika kilimo

    Habari zenu wakuu. Ningependa nipate maoni/busara yenu katika hili. Mimi natamani sana hapo baadaye niekeze katika kilimo biashara. Najua kila zao lina changamoto zake ila nahitaji kuelewa kutoka kwa wale ambao wana experience katika hili wanisaidie kunijulisha, ni changamoto gani ziko katika...
  5. MK254

    Ndoto ya Mtanzania aliyechinjwa na HAMAS ilikua kuanzisha kilimo biashara akirudi nyumbani

    Dogo alisomea ukulima pale Morogoro kisha akapata fursa ya kwenda kuongeza elimu na maarifa Israel, yeye ndiye mtoto wa kwanza kwenye familia yenye watoto watano, ndoto yake ilikua akirudi nyumbani afanye ukulima biashara ila magaidi ya kidini yalikua na mawazo mengine. Mashabiki wa hayo magaidi...
  6. JanguKamaJangu

    Mmoja kati ya Watanzania waliokuwa hawajulikani walipo Nchini Israel, yabainika amefariki Dunia

    Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa masikitiko na huzuni imetangaza kifo cha Clemence Felix Mtenga, Kijana Mtanzania ambaye ni miongoni mwa Watanzania wawili ambao pamoja na raia wa Mataifa mengine walikuwa hawajulikani walipo tangu...
  7. Laizerpeter3

    Nahitaji washirika au Mshirika wa kufanya mradi wa kilimo na ufugaji

    Habari wanafamilia wa JF, Nipo Tanga, Nina shamba lenye miundombinu yote ya Kilimo na Ufugaji, kama mabanda, zizi, nyumba ya wafanyakazi n.k. Ila bado tumaji. Kuna maji ya bomba ila hayatoshi kwa kilimo na ufugaji wa kibiashara kwani ni kidogo na yanatoka mara chache kwa wiki. Kama kuna mtu au...
  8. T

    Naomba kujua sehemu gani ndani ya wilaya ya Ngara naweza kuwekeza kilimo

    Nina plan ya kulima mazao ya biashara alizeti au kahawa. Nimeshauriwa kwenda ngara. Wanasema Kuna Hali nzuri ya hewa inayo supoti mazao tajwa hapo juu. Niliwahi kufika ngara Mara 1 na nikakaa siku 2 ngara mjin. Sijui chochote kuhusu upatikanaji wa mshamba kwa ajiri ya kilimo. Naomba msaada...
  9. Pascal Mayalla

    Watanzania, hasa vijana, waaswa kuchangamkia fursa za Kilimo Biashara. Dkt. Ashatu Kijaji aipongeza kampuni ya Agricom Africa

    1. Videos Kuona ni Kuamini!, Shuhudia kwa Kuona kwa Macho yako, Sikia kwa Masikio yako! 2. News Story Watanzania, wamehimizwa kutumia zana bora na za kisasa za kilimo kwa kuchangamkia fursa za kilimo biashara, ili kuzalisha bidhaa nyingi za kilimo zitakazo tumika kama malighafi ya viwanda...
  10. YasinthaPru

    SoC02 Mafunzo ya Mama

    Sikuwahi kufikiria nitawahi kupata upenyo wa kuongea yaliyositirika kwa muda sana ila hatimae nimefikiwa. Nakumbuka mama aliwahi kuniambia "Mwanangu, siku zote tembea duniani ukivaa viatu vya watu." Kauli ile ilinichanganya ila kadri siku zilivyosonga nilielewa kuwa si kila kiatu ninaweza kuvaa...
  11. Jade_

    SoC02 Tusilishwe Uchafu Kilimo Kiboreshwe

    Umefika sokoni kununua maharage unakuta yamepangiwa magunia tofauti. Muuzaji anakueleza kuwa kila aina ya maharage yapo ndani ya gunia lake, na unaona yana mwonekano wa kutofautiana. Anaandisisha kuwa maharage haya ni ya soya, haya huku ni mekundu na yale kule ni ya njano. Mchuuzi huyo...
  12. K

    SoC02 Jinsi kilimo kilivyobadili maisha yangu

    Guzman ni miongoni mwa vijana wachache wenye umri wa miaka 30 ambaye amefanikiwa sana kimaisha, haikuwa rahisi kwake kijana huyu aliyeanza mapambano ya kimaisha akiwa na umri wa miaka 23 kufanikiwa kama ilivyo rahisi kuandika simulizi hii, ilikuwa ni safari ngumu sana kwa kijana huyu msomi...
  13. B

    SoC02 Kilimo biashara anzia Sokoni

    KILIMO BIASHARA ANZIA SOKONI. Mkulima ili aweze kufanya uchaguzi wa kilimo anachotaka kufanya inatakiwa afanye ziara katika soko ili aweze kujua ni nini wateja wanahitaji, na nikwa kiasi gani, na ubora upi unahitajika, na nibei gani iliyopo Kwa wakati huo. Haya yote mkulima yanamsaidia kuweza...
  14. M

    SoC02 Mfumo fursa za kilimo biashara

    Mafanikio ya binadamu yeyote hutegemea namma anavyotumia maarifa katika kuyaendea yale anayoyaamini na kuyatamani. Wakati maarifa ni zao la teknolojia iliyopo, maono hutokana na mitazamo na uelekeo wa fikra za Imani za dini, falsafa na itikadi. Ndio kusema teknolojia na maono ndio msingi wa...
  15. O

    SoC02 Kilimo chenye Tija

    Awali ya yote nipende kuwashukuru waanzilishi na wasimamizi wa jamii forum, kwa mchango wao mkubwa wnaotoa na kusaidia jamii katika kuhakikisha na kuleta mabadiliko katika kila sekta. Ningependa kutoa maoni yangu katika kuelezea Ni jinsi gani tunaweza kutumia kilimo katika kuleta tija kwenye...
  16. C

    Offer: Vitunguu Saumu ( Fresh Garlic)

    Fresh Garlic Offer! 2,000 Tzs / Kg ($0.9/Kg) From Iringa - Tanzania MOQ: 100 Kgs Call: + 255 658 700 510 Grab this Offer Now!
  17. B

    SoC02 Kuinua uchumi wa taifa na kukabiliana na ukosefu wa ajira kwa kuwekeza katika maeneo ya Teknolojia, Viwanda na Kilimo

    Kuandaa vijana kwa manufaa ya taifa katika nyanja kuu tatu tekinolojia, kilimo na viwanda ili kukuza uchumi wa taifa na raia wake. Hoja kuu, kutokana na ongezeko la watanzania wengi wanaomaliza Elimu ya msingi na sekondari na kuelekea kuwa na wahitimu wengi wanamaliza na taifa kushindwa...
  18. Gwappo Mwakatobe

    Tujadili uhalisia wa kilimo biashara cha sasa na kilimo afya

    Uhalisia wa kilimo kiitwaacho cha kibiashara (agribusiness). Kwa uelewa wa wengi ni kutumia mbolea za viwandani kwa wingi, madawa kwa wingi kwa ajili ya kuuwa wadudu. Pia ipo mbolea (kemikali) inayopuliziwa kwenye majani, si kuunga ardhini. Matokeo yake ekari moja unayopata gunia 5 au 10 za...
  19. G-Mdadisi

    Ukosefu wa Mbinu za Kibiashara bado ni tatizo kwa Wakulima kufikia masoko Nchini

    WADAU wa uzalishaji wa mazao ya Viungo, Mboga na Matunda Zanzibar wamesema ukosefu wa taaluma na mbinu sahihi za kibiashara bado ni kikwazo kikuu kinachokwamisha wakulima wengi nchini kushindwa kuyafikia masoko na kupelekea kukosekana kwa uhakika wa uendelevu wa biashara za mazao ya kilimo kwa...
Back
Top Bottom