kuanzisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Zambia: Wananchi wapinga Serikali kuanzisha Sheria ya Kudhibiti Vyombo vya Habari vya Mitandaoni

    Tangazo la Serikali kuitaka Mamlaka Huru ya Utangazaji (IBA) kuongeza Kanuni mpya zitakazodhibiti Uendeshaji wa Vyombo vya Habari vya Mitandaoni limeibua malalamiko ya Wananchi wanaodai zinalenga kuminya Uhuru wa Habari na Kujieleza Baadhi ya Wanahabari na Wanaharakati wamesema "Kuna haja...
  2. M

    CHADEMA mnajivua nguo kwa kuanzisha michango ya kumnunulia Lissu gari la kifahari. Hampo kwa ajili ya wananchi

    Hii kampeni ya kuchanga ili kumnunulia gari jipya la kifahari Makamu Mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani ni dhihaka iliyopitiliza kwa mwananchi wa kawaida. Tofauti kati ya wabunge wanaopitisha bajeti za kujinunulia magari ya kifahari na viongozi wa CHADEMA hakuna. Kama viongozi wa CHADEMA nao...
  3. Tlaatlaah

    Tetesi: Mbatia kuanzisha chama kipya cha siasa

    Taarifa za chini ya capet ni kwamba, taratibu za awali zimeshakamilika ikiwa ni pamoja na jina la chama, rangi za chama, nembo pamoja na logo ya chama. Majibu ya msajili yatatoa uelekeo. Nyuma ya mpango huu, viongozi waandamizi kutoka vyama mbalimbali vya siasa, wanatajwa kuhusuka ikiwa ni...
  4. Stephano Mgendanyi

    Taasisi za Serikali zatakiwa kuanzisha Hatifungani

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Taasisi za Serikali kutumia njia mbalimbali bunifu ikiwa ni pamoja na kuanzisha hatifungani ya kupata fedha ili ziweze kugharamia miradi ya maendeleo kwa njia mbadala (APF) na kupunguza utegemezi kutoka Mfuko Mkuu wa Serikali. Bashungwa...
  5. Ndagullachrles

    Profesa Ndakidemi aitaka Wizara ya Mifugo kuanzisha wakala wa mifugo na uvuvi

    Mbunge wa Jimbo la Moshi Vijijini(CCM),Profesa Patrick Ndakidemi ,ameitaka wizara ya Mifugo na uvuvi kuanzisha wakala wa mifugo na uvuvi ili kuweza kusimamia sekta hiyo kwa ufanisi zaidi. Profesa Ndakidemi alikuwa akichangia makadirio ya mapato na matumizi kwenye bajeti ya wizara ya Mifugo na...
  6. Angyelile99

    SoC04 Tuwajenge vijana wa elimu ya juu kujitegemea zaidi kwa kuanzisha kozi za ufundi stadi na ujasiliamali vyuoni

    Tanzania ni moja ya nchi za kiafrika zenye a idadi kubwa ya wasomi ambao wamekua wakiishi kwa kutegemea kuajiriwa. Hii imekua ni desturi sasa tangu kupata uhuru miaka ya 1961, ni kwasababu ya uwepo wa mfumo wa elimu ya kikoloni unao ruhusu utegemezi zaidi. Pamoja na uwepo wa jitihada kubwa za...
  7. tpaul

    Wizara: Sababu serikali kuanzisha tahasusi za dini hizi hapa

    Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali ikazifutilia mbali kwani utekelezaji wa hizi tahasusi tayari umeishaanza kuleta mkanganyiko miongoni mwa...
  8. nzalendo

    Hivi humu JamiiForums hatuwezi kuanzisha vikobesha

    Yaani VICOBA ili kujikwamua katika hili na lile...ni wazo tu waungwana....au ninyi mwafikirije?
  9. Heparin

    Nape Nnauye: Nashangaa Watanzania wanaokwenda kusikiliza upuuzi wa Lissu. Tumkemee, tumtenge na tumlaani

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari wa Tanzania, Nape Nnauye amelaani vikali kauli iliyotolewa na Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu kuhusu madai ya Rais Samia kuwaondoa Wamasai wa Ngorongoro kisa yeye ni Mzanzibari. Waziri Nape amesema kauli hii inapaswa kupingwa na...
  10. C

    Zanzibar ndiyo waliotoa Mtaji kuanzisha BOT. Sasa wanataka fungu lao

    Kuna video ya mahojiano na aliyekuwa waziri na pia Mwakilishi wa Tanzania UN Mheshimiwa Amina Salim Ali inayotembea kwenye mitandao ya kijamii akielezea kuwa Zanzibar ndiyo iliyotoa mtaji wa kuanzisha BOT kule kwenye East Africa Currency Board. Na pia katika makubaliana ya muungano pia kuna...
  11. D

    Nawezaje kuanzisha Men Brotherhood? Kikundi cha wanaume cha kujengana?

    Wanaume kiasili ni wasiri na wasiopenda kuwa na urafiki au vikundi kama ilivyo wanawake. Pia wanaume wengi huweka vitu moyoni na sio rahisi kufunguka yanayowasibu, wengi hawaonyeshi hisia aidha za furaha au huzuni yaani ni stoic. Lakini kwa upande mwingine mwanadamu ni kiumbe social anahitaji...
  12. U

    Wazungu wapewe maua yao na si lawama, Utumwa ulikuwepo Dunia nzima, Wao ndio walikuwa wa kwanza kuanzisha harakati za kuufuta

    Tunaanza na hapa kwetu Afrika, utumwa ulikuwepo hata kabla ya waarabu na wazungu kuja, hapo badae soko la watumwa wa kiafrika lilikuwa kubwa na kutufanya sisi kwa sisi waafrika tuanze kuuzana kwa wageni, hivyo nasi tulishiriki kwa kiasi kikubwa sana kwenye utumwa Warabu walikuwa na watumwa na...
  13. Mkalukungone mwamba

    Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara

    Vijana mkimaliza chuo tafuta kazi kabla ya kuanzisha biashara, Utafiti unaonyesha biashara mpya zinafeli ndani ya miaka 2 tu kwahiyo vijana mnaomaliza vyuo wakati mwingine ni kheri kwanza ukatafuta kazi kuliko kukimbilia biashara maana wengi wao wanakuwa awajakomaa kwenye eneo hilo na kuna...
  14. Adolph Jr

    Anataka kuanzisha biashara ya kuuza nafaka, anaomba ushauri

    Ni muda tena. Katika tafuta tafuta zake akaje kunicheki na kuniomba ushauri kuhusiana na duka kiujumla duka la vyakula kama muitavyo nafaka. Maswali aliyouliza. Je, kuanzisha biashara ya kuuza unga, mchele, mafuta, maharage nk inahitaji awe na nini (Vibari gani kisheria) Anamaanisha je...
  15. Lycaon pictus

    Mo Dewji kuanzisha shamba la ekari laki moja

    Mo anataka kuingia kwenye kilimo. Kapanga kuweka dola milioni 250 kulima ekari laki moja. Kila la kheri kwake.
  16. J

    Mchakato wa kuanzisha somo jipya la Historia ya Tanzania alioyoagiza Hayati Magufuli umeishia wapi?

    Naona Serikali imefanya mabadiliko kidogo kwenye elimu kwa kuanzisha tahsusi mpya, ni mabadiliko lakini kuna jambo ambalo naona linachukua muda mrefu kutekelezwa. Ni lile aliloagiza Rais Magufuli kabla ya kufariki la kuanzishwa kwa somo jipya la historia ya Tanzania litakaolofundishwa kwa lugha...
  17. Chachu Ombara

    Nini dhumuni la Serikali kuanzisha tahasusi hii ya biashara ikiwa na somo la 'Islamic Knowledge'?

    Serikali kupitia TAMISEMI imetangaza ongezeko la tahasusi mpya kadhaa ambazo vijana wetu watatakiwa kusoma, nimeona nyingi haziridhishi labda zimewekwa kimkakati. Moja ya tahasusi, si kwa ubaya, ila nadhani wengi tungependa kufahamu kuhusu hii combination mpya ya Biashara inayojumuisha masomo...
  18. kichongeochuma

    USHAURI: TANESCO kutokana na ukubwa wa huduma yenu kuna ulazima kuanzisha TANESCO KATA

    Nashauri kuwe na TANESCO kwa kila kata hata kukiwa na fundi mmoja tuu akasaidiana na hawa mafundi wasaidizi waliopo ili kutatua changamoto za umeme ambazo zinatokea kwa sababu kuna wakati inaanguka nguzo tu ya umeme lakini inaweza kuchukua hadi wiki 2 bado hawaja badilisha wakati huduma yao...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    Ni wakati sahihi kwa Serikali kuanzisha sheria za PreNup Kwa Wanaotaka kuingia kwenye Ndoa kupeusha matapeli

    NI WAKATI SAHIHI KWA SERIKALI KUANZISHA SHERIA ZA PRENUP KWA WANAOTAKA KUINGIA KWENYE NDOA KUEPUSHA MATAPELI. Anàandika, Robert Heriel Mtibeli. Huwezi ukawa na sheria ya Talaka alafu muda huohuo isiwepo sheria ya PreNup. Huko ni kutengeneza mazingira ya utapeli, dhulma na kuifanya ndoa isiwe...
Back
Top Bottom