shamba

Sergei Shamba (Abkhazian: Сергеи Шамба, Georgian: სერგეი შამბა) is a senior politician from Abkhazia. He is currently a member of the People's Assembly of Abkhazia and Chairman of United Abkhazia. He was Prime Minister of Abkhazia under President Sergei Bagapsh from 13 February 2010 until 27 September 2011. Between 1997 and 2010 he had been Minister for Foreign Affairs under both Bagapsh and his predecessor Vladislav Ardzinba, with only a half-year interruption in 2004. Shamba has twice unsuccessfully participated in Presidential elections, in 2004 and 2011. He has been a staunch proponent for dialogue between Abkhazia and Georgia.

View More On Wikipedia.org
  1. Lomaa lolusa

    Nataka kulinda shamba langu

    Jambo gani naweza kufanya niweze kulinda shamba langu lisivamiwe na watu nikiwa mbali
  2. G

    Kutoka kwenye familia tuliyosomeshwa kwa gharama kubwa kumeniathiri kiuchumi, Kupeleka watoto kayumba ni aibu, Napambana kukwepa aibu

    Chekechea na Primary nimesoma english medium private. Sekondari Form 1 hadi 6 nimesoma Boarding private, Msosi Pilau kila J5 na J2, Ugali ni nadra sana. Chuo kikuu sikupata mkopo ila si haba sikuwahi kupata changamoto za kiuchumi. Rasmi na mimi nikawa baba, nikaanza kuwaza watoto waje kusoma...
  3. Lomaa lolusa

    Nahitaji shamba la kununua

    Nahitaji shamba la kununua hapa morogoro mwenye shamba naomba anijulishe
  4. Lomaa lolusa

    Shamba la kununua morogoro

    Namtafuta shamba la kununua morogoro
  5. M

    Je, ni sahihi kununua shamba ambalo lilikuwa na mgogoro kwa zaidi ya miaka mitano?

    Namshukuru mungu mwingi wa Rehema na muumbambaji wa vitu vyote vilivyopo duniani. Mimi ninampango wa kuanza kufanya shughuli za kilimo ili nifanikiwe, sasa katika kufuatilia utaratibu nitumie kilimo kipi Kwa maana nikodi mashamba au ninunue ndipo nikapewa mchongo na mtu ambaye nafahamiana naye...
  6. stan john

    Tupeane connection ya machimbo yanayouza mchele, maharage njano soya combati, choroko, njugumawe, kunde hapa Dar

    Mimi mfanyabiashara wa duka ra rejareja nipo Dar mabibo, nahitaji maharage, choroko, kunde, njugu mawe, karanga kwa bei ya shamba. Kama upo mkoani ukileta mzigo Dar nitafute Namba 0788768480
  7. Lomaa lolusa

    Naweza kupata shamba la kununua morogoro kwa installment!?

    Mm ninakipato Cha kawaida nataka nipate shamba ambalo ntalifyeka lakini nitalipa kwa installment
  8. R

    Msaada wa dawa ya kuua magugu kweye shamba la mahindi

    Nitumie dawa gani ambayo itaua magugu yote ndani ya shamba la mahindi na kuacha mahind intact (selective one)
  9. G

    Katiba ingelikuwa bora, "wana-CCM wa shamba" msingelikubali hili

    Ninaamoni katiba ingelikuwa ni bora, inayotoa fursa sawa ya uhuru wa mtu kuamua, kuchagua na kumpata mgombea anayemtaka, washamba ndani ya ccm mngefanya maamuzi na maamuzi yenu yangepata ushindi. Kwasbb washamba ni wengi. Lkn kwa katiba hii, wingi wenu hauna tija, hauna mashiko na ndiyo maana...
  10. The Puncher

    Shamba ekari 60 linauzwa Mufindi, linafaa kwa Parachichi au Miti ya mbao

    Habari wakuu, Pesa isikae mfukoni, tununue ardhi. Kwa aliyekuwa anahitaji ardhi kwa ajili ya kilimo cha parachichi, sasa jibu limepatikana. Kuna shamba la ekari 60 Mufindi linauzwa kwa bei nzuri. Shamba halijatumika kwa miaka mingi, kwa hiyo lina rutuba na linafaa kwa kilimo cha parachichi na...
  11. GoldDhahabu

    Biashara ya hewa ya ukawa ina manufaa kwa mtu mwenye shamba dogo la miti?

    Nina shamba la ekari 21 mkoani Kigoma. Mwezi uliopita, nilimwachia mtu mmoja jukumu la kupanda miti kuzunguka mpaka wa shamba. Nilipokuja kulikagua hivi karibuni, nilikuta kaotesha tofauti na nilivyomwelekeza. Kakata eneo la ekari tatu na kufanya shamba la miti. Sikumgombeza. Wala...
  12. R

    Eneo la biashara Morombo Arusha kubadilishana na shamba Arusha, Manyara au Kilimanjaro

    Habari wakuu, Lipo eneo la biashara Morombo sokoni ambalo halijakamilika kujengwa. Ni chumba kikubwa kimejengwa kufikia lenta. Kama una shamba maeneo ya mikoa ya Arusha, Manyara au Kilimanjaro karibu tufanye mabadilishano. Ukubwa wa shamba utakaokubalika kwa mabadilishano utategemea na mahali...
  13. N

    Wawekezaji karibuni shamba la miti ya mbao liko sokoni

    Kwa wale waliotayari kuwekeza kwenye uwekezaji usio na hasara mnakaribishwa sana Mashamba ya miti ya mbao aina ya MIKARIBEA pamoja na ardhi yake yanauzwa La kwanza lina ukubwa wa ekari tatu na nusu na miti yake ni umri wa miaka 7 bei ni milioni 10. La pili lina ukubwa wa ekari 30 ivi kwa...
  14. Lycaon pictus

    Mo Dewji kuanzisha shamba la ekari laki moja

    Mo anataka kuingia kwenye kilimo. Kapanga kuweka dola milioni 250 kulima ekari laki moja. Kila la kheri kwake.
  15. MSAGA SUMU

    Nataka kuanzisha harambee ya kumnunulia Rais Samia shamba Kaliua ili aachane na siasa 2025

    Jana nilishtuka baada ya kuona wakinamama waliochanga mil 200 ya kumchukulia mama Samia fomu ya kugombea urais. Tukikaa kimya mama anaweza kudhani anaupiga mwingi sana na kila kitu kinaenda vizuri. Nataka kuanzisha Harambee ya kumnunulia mama Samia 2025 ili aachane na siasa. Shamba...
  16. Kijana LOGICS

    Kwa online business Mkoa WA mbeya una watu Smart sana sio WA shamba kama mwanza

    Hua nafanya online business hasa ya electronics kama simu, computer,na laptops before nilikua nafanyia mwanza nikahamia mbeya tangu January Biashara mwanza ilikua ngumuh Sana wateja pasua kichwa mwanza Ina watu wengi na Kundi kubwa la watu wanakaushamba Flani Ivi laiti mwanza ingetambua...
  17. K

    Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo?

    Swali kwa wataalamu: Je, matumizi ya miti shamba kiholela yanaharibu figo? Nauliza kwasababu wagojwa wa figo wameongezeka sana Tanzania
  18. Makamura

    Mgawo wa Umeme unaweza kuisha kwa kuanzisha Shamba la Kuvuna umeme wa Jua

    Kauli za Serikali kuhusu swala la Mgao wa Umeme zimekuwa kero zenyewe, maana kila siku kuna Vijisababu ambavyo havina majibu. Sasa mimi nashauri Serikali iangalie namna ya kupata mwekezaji, ambaye atatuletea huduma hii ya kuvuna umeme wa jua na kwa hili jua la Dar yaani umeme utakuwa unanguvu...
  19. K

    Natafuta Shamba la Kufugia Kigoma(Kasulu DC au TC, Uvinza au Kibondo), Karagwe au Biharamulo au Kahama. Kukodi au Kuuziwa Kabisa.

    Habari wanajamvi. Kama mada tajwa hapo juu. Natafuta shamba lenye ukubwa wa kuanzia hekari 20 hadi 100 kwa ajili ya kufugia. Vigezo! 1. Liwe na miti ya asili au vichaka au maotea/chipukizi za miti 2. Lisiwe na mgogoro wa aina yoyote 3. Muuzaji awe tayari kuonyesha nyaraka halali za umiliki wa...
  20. M

    Natafuta shamba la kununua Shinyanga, Singida, Dodoma, Iringa, Tabora, Morogoro

    Habari wakuu, Natafuta shamba kubwa ambalo limeshawai kulimwa au tambarare ambalo litakuwa rahisi kulimwa kwa mikoa niliyo orodhesha hapo juu. Siitaji shamba ambalo lina miti maana kuondoa miti ni gharama sana. Natafuta kwanzia heka 100 kwenda juu. Asante.
Back
Top Bottom