kahama

Kahama is a town in north-western Tanzania. The town serves as the headquarters of Kahama Urban District.

View More On Wikipedia.org
  1. Ncha Kali

    Kwa mnaosifia Kahama huwa mnazingatia nini?

    Nipo Kahama muda huu, ni Manispaa gani hii? Ukiachana na barabara kuu inayopita kuelekea Rwanda, barabara za mitaa zote vumbi tupu. Stendi ya mabasi ndo kichekesho kikubwa. Sifa kubwa ni idadi ya watu na shughuli za uchimbaji. Watu bado wanalima na kufuga ndani ya makazi, Manispaa gani hii?
  2. covid 19

    Cha mtu ni cha mtu tu, jirani yangu kahama na mke wake jana

    Nimesikitika sana kweli mtegemea cha jirani hufa masikini. Niliwazoea sana hasa huyo mke wake ilikuwa lazima atamtuma beki tatu aniletee msosi kwenye hotpot.
  3. J

    KERO Kero iliyopo hospitali ya Kahama (Goverment Hospital)

    Kwakweli kumekua na kero sana kwa manesi walipo hospitalini hapa, wamekuwa wakitoa maneno ya kashfa na kejeli hasa kwa manesi wa clinic, Ni maneno mabaya na ya kejeli sana yakiambatana na matusi. Naiomba serikali ilifuatilie na kulichunguza swala hili. Mimi binafsi nimewahi tolewa maneno...
  4. dubu

    Kahama: TANROADS washindwa kufukia mashimo ya Mzani yalipo mbele yao

    Hapa ni mzani wa kahama (mwendakulima) na haya mashimo yapo unapoingia na kutoka mzani Kwa kweli ni mashimo makubwa sana na hatarishi kwa vyombo vinavyoingia kupima uzito. TANROADS kwanini wamekaa kimya?
  5. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Dkt. Christina Mnzava atembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama

    Mbunge Dkt. Christina Mnzava Atembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Dkt. Christina Mnzava ametembelea Kituo cha Afya cha Ushetu, Kahama-Shinyanga na kukagua utekelezaji wa Ilani katika Kituo cha Afya Ushetu. Vilevile, Mhe. Dkt. Christina...
  6. Eli Cohen

    Je, Lamadi na Bunda kuna usafiri wa basi za kwenda direct Kahama?

    Wana Lamadi na wana Bunda karibuni. Nahitaji Basi ambazo hazipiti njia ya Mwanza bali njia ya Bariadi na Maswa. Nauli bei gani?
  7. Erythrocyte

    Picha kali ya wiki hii hapa, Maandamano ya CHADEMA Kahama

    Hii hapa ni Picha kali ya wiki hii iliyochukuliwa kwenye Maandamano ya CHADEMA huko Kahama . Wengi wanadhani Polisi wanakuja kwenye Maandamano haya kwa sababu ya Kikokotoo, lakini mimi napinga, na naamini Polisi wanakuwa kwenye Maandamano haya ili kutimiza majukumu yao ya Ulinzi na Usalama.
  8. Love Doctor

    Bei ya mchele ipoje Kahama

    Habari ndugu, Kwa kahama mashine bei ya mchele ikoje huko asaivi Kama kuna ndugu anafanya biashara hapo tuwasiliane i wish kuja huko next week kuona namna mzunguko wa mchele huko ulivyo au kama kuna mtu ana mchele mwingi na mzuri tufanye biashara
  9. aBuwash

    Nina milioni 10, biashara gani mnanishauri nifanye maeneo ya Kahama?

    Wana jamii kwanza habari zenu, Mimi ni kijana naombeni ushauri wenu ni fursa zipi za biashara mnanishauri nifanye kwa hapa Kahama, maana mimi ni mgeni. Naombeni miongozo yenu, naamini hamtaniangusha.
  10. mwanamwana

    Kahama: Bertha Mabula adai polisi kutaka kumbambikia kesi ya ugaidi kutaka kulipua Mahakama Kuu

    Bertha Mabula amesema anahofia usalama wake kwa madai ya kubaini Polisi Mjini Kahama wanataka kumbambikia kesi ya ugaidi wakidai alitaka kulipua Mahakama Kuu Kanda ya Shinyanga wakati akifuatilia mwenendo wa shauri lake kwa ajili ya kukata rufani. Bertha amedai alifika Mahakama Kuu kwa ajili ya...
  11. Kaka yake shetani

    Tuseme ukweli mfano Shinyanga kwa sasa bila Kahama basi ingeshajifia

    Katika matembezi yangu ya utafutaji na majukumu ya jina langu nimeona kuleta moja ya mfano ambao kiukweli ni wazi kabisa. Shinyanga miaka 90 kushuka chini ilikuwa ni moja sehemu centre sana ikibeba wilaya zake zote na mambo mengine, ila kwa sasa imekuwa tofauti sana yani kuna kila kitu cha...
  12. kyagata

    Kati ya Kahama na Mbeya wapi pako vizuri kwa mzunguko wa pesa?

    Wakuu Hivi kati ya kahama na mbeya wapi pako vizuri kwa mazunguko wa pesa,unafuu wa gharama za maisha na ubora wa miundombinu?
  13. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 101.2 Kujenga Barabara ya Kahama - Kakola (KM 73) kwa Kiwango cha Lami

    BILIONI 101.2 KUJENGA BARABARA YA KAHAMA-KAKOLA KM 73 KWA KIWANGO CHA LAMI Serikali imesaini Mkataba wa ujenzi wa barabara ya Kahama-Bulyanhulu Jct - Kakola (km 73) kwa kiwango cha lami ili kufungua fursa za kiuchumi za madini, Kilimo, Misitu na Utalii katika mikoa ya Shinyanga, Geita, Tabora...
  14. B

    Kamanda wa CHADEMA akinukisha Gold FM, Kahama

    Kwa hakika CHADEMA imekamilika. Kwa maana makamanda wake takribani wote, ni moto 💥🔥💥! Akihojiwa live leo na kituo hicho maarufu 88.7 pande za huko, kamanda huyo hakumung'unya maneno. "Kwamba: 1. Bila katiba mpya, kwa hali ya sasa rais anaweza kufanya lolote ikiwamo ndivyo sivyo bila...
  15. K

    Natafuta Shamba la Kufugia Kigoma(Kasulu DC au TC, Uvinza au Kibondo), Karagwe au Biharamulo au Kahama. Kukodi au Kuuziwa Kabisa.

    Habari wanajamvi. Kama mada tajwa hapo juu. Natafuta shamba lenye ukubwa wa kuanzia hekari 20 hadi 100 kwa ajili ya kufugia. Vigezo! 1. Liwe na miti ya asili au vichaka au maotea/chipukizi za miti 2. Lisiwe na mgogoro wa aina yoyote 3. Muuzaji awe tayari kuonyesha nyaraka halali za umiliki wa...
  16. Sega la asali

    Kahama na Mwanza Mjini: Naomba kujua wapi panafaa kuwekeza lodge ya kisasa

    Habari wakuu; Naomba kufahamishwa kati ya wilaya Kahama na Mwanza mjini ni wapi pazuri kuwekeza Lodge ya kisasa na biashara ikasonga? Zingatia haya unaposhauri; 1. Upatikanaji wa kiwanja wenye ukubwa wa angalau ukubwa wa mraba 30mx40m 2. Maeneo yapi mwa mji utapata ukubwa huo na bei yake 3...
  17. Faru Tobbi

    Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama akalia kuti kavu kwa mara nyingine tena

    Imepita miaka kadhaa wakati wa awamu ya 5 ya JMT iliyoongozwa na Hatari Magufuli ambapo Hayati alikuwa amedhamiria kumuondosha kwenye nafasi Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama kwa matumizi mabaya ya mali za umma kwa kujinunulia gari kwa fedha ya umma nje ya utaratibu wa serikali. Kwa mara...
  18. Mjanja M1

    Video: Makonda aingia Kahama na Greda la kuchongea Barabara

    Hivi ndivyo Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo (CCM), Paul Makonda alivyoingia Kahama Mkoani Shinyanga leo January 27,2024 akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake. Nini maoni yako? 📹 AyoTv
  19. M

    Kahama na Makambako hii miji iandaliwe kuwa miji ya viwanda na biashara kwani imeanza kujipambanua kama Kwala Pwani

    Hii itasaidia kupunguza msongamano dsm kwa sababu mikoa husika imesha weka dhamira ya miji hii kuwa na bandari kavu. 2 miji hii imezungukwa na maeneo yenye uzalishaji wa mazao ya chakula ya kutosha ambayo pia ni malighafi viwandani, 3 Nimiji iliyo kaa kimkakati kutokana na Geographical position...
  20. BARD AI

    Kipindupindu chaua Watano Kahama 452 Wawekwa Karantini

    UGONJWA wa Kipindupindu umetajwa kuibuka katika Kata ya Kagongwa, Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga huku ikielezwa kuwa watu watano wametajwa kufariki dunia na wengine watano kuthibitika kuwa na maradhi hayo. Wakati hali ikiwa hivyo, wakazi 452 wa eneo hilo wamewekwa chini ya uangalizi wa...
Back
Top Bottom