watano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Watano wauawa kwa risasi ndani ya msikiti Afghanistan

    Sijawahi kuelewa kwanini mnapenda mauaji hivi..... At least five people were killed and three injured after gunmen attacked a mosque during prayer time in Afghanistan's Herat province, the spokesperson for the region's governor's office said on Tuesday. The attack happened on Monday evening...
  2. Informer

    Tanga: Mjamzito adaiwa kufa baada ya kuwekewa damu kimakosa, Watano wasimamishwa kupisha uchunguzi

    Watumishi watano wa Kituo cha Afya cha Mikanjuni kilichopo Jijini Tanga wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi baada ya kufanya uzembe uliosababisha kifo cha Mama mjamzito Fatuma Mussa Suleiman (36) Mkazi wa Magaoni, aliyefariki baada ya kuwekewa damu ambayo hakustahili kupewa na hakuwa na...
  3. Bushmamy

    Moshi: Vijana watano wanaodaiwa kumlawiti kijana mwenye tatizo la Afya ya Akili waachiwa kinyemela na Polisi

    Tukio hili la kusikitisha lilotokea mwezi uliopita katika Kata ya Machame Narumu huko wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro limeleta sintofahamu katika familia ya kijana huyo ya watuhumiwa kuachiwa huru hata kabla ya upelelezi na kesi kufikishwa Mahakamani. Wanafamilia wa kijana huyo wamesikitishwa...
  4. Execute

    Serikali iajiri madaktari watano kwenye milioni kumi aliyokuwa analipwa Hayati Ali Hassan Mwinyi

    Ni jambo la uhakika kwamba sasa hivi serikali imepata ongezeko la takribani milioni 10 aliyokuwa analipwa hayati Mwinyi. Napendekeza waajiriwe madaktari watano ili kuhudumia wananchi kutokana na hospitali binafsi kugomea bima ya afya.
  5. Eli Cohen

    Ni comedic-actors gani watano ambao ukiwaangalia angalau wanakupunguzia stress za mfumuko wa bei?

    1: Adam Sandler 2: Jim Carrey 3: Will Ferrell 4: Nick Swardson 5: Katt Williams
  6. B

    Tume yateua madiwani wanawake wa viti maalum watano

    Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Mhe. Jaji (R) Jacobs Mwambegele (kushoto) akiongoza kikao cha Tume jijini Dodoma ambapo pamoja na mambo mengine kiliteua madiwani watano (5) wanawake wa viti Maalum. Pamoja nae ni Katibu wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya...
  7. Eli Cohen

    Nitajie actors watano ambao lazima ushawishike kutazama filamu aliyoigiza

    1: Matthew McConaughey 2: Denzel Washington: 3: Christian Bale: 4: Jim Carrey: 5: Tom Cruise:
  8. MK254

    Mwanajeshi wa Iran aingiwa na mzuka na kuua wenzake watano, eneo lililoshambuliwa na bomu

    Kaamua kuwawahisha wenzake kwa mabikira na kutoroka...... An Iranian soldier opened fire on fellow soldiers, killing five of them in the southeastern city of Kerman, where 94 people were killed in a bombing attack earlier this month, Iranian state TV reports. State TV says the shooting...
  9. sky soldier

    Tuliokuwa tunamkubali Trump tangu akiwa Rais 2016 - 2020

    2016 hadi 2020 ni kipindi ambacho watu wengi sana walikuwa wahanga wa kuziamini habari za kumchafua Mwamba, hasa hapa kwetu Tz ilikuwa rahisi sana kuwa brainwash wabongo, hata humu JF 98% walikuwa brainwashed kumchukia Trump, ni wachache sana tuliusoma mchezo. Trump ndie raissi mpenda amani...
  10. Championship

    Kuna watu wanampinga Mwamposa wakati nabii wao alikabwa mapangoni na wengine wanaabudu sanamu la bikira mwenye watoto watano

    Kweli duniani hamna jipya. Ukisoma komenti za watu unabakia kustaajabu sana. Watu wamelewa dini. Wanamponda Mwamposa huku wao wanaamini kwa nabii aliyekabwa na pepo akiwa mapangoni akilazimishwa asome ilihali hakuwa anajua kusoma. Wakaeneza imani yao kwa ncha ya upanga na mpaka sasa ukitaka...
  11. BARD AI

    Kipindupindu chaua Watano Kahama 452 Wawekwa Karantini

    UGONJWA wa Kipindupindu umetajwa kuibuka katika Kata ya Kagongwa, Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga huku ikielezwa kuwa watu watano wametajwa kufariki dunia na wengine watano kuthibitika kuwa na maradhi hayo. Wakati hali ikiwa hivyo, wakazi 452 wa eneo hilo wamewekwa chini ya uangalizi wa...
  12. Webabu

    Meli za kivita za Marekani zaingia kwenye 18 za Hizbullah, Askari watano waangamia

    Sayyed Hassan Nasrala katika hotuba yake wiki iliyopita aliionya Marekani kutokana na uungaji wake mkono maafa kwa wapalestina akiiambia kuwa tayari wana kitu mkononi kwa meli zake za kivita zilizotia nanga karibu na nchi hiyo. Kitu hicho kizito inaaminika ni aina ya makombora mazito ya...
  13. benzemah

    Tetesi: Wachezaji watano wa Simba wasimamishwa kupisha uchunguzi kwa kichapo kikali cha goli 5 kutoka kwa Yanga

    Wachezaji watano wa Simba Sc akiwemo Enock Inonga na Clatous Chota Chama wamesimamishwa kazi kupisha uchunguzi dhidi yao baada ya kufungwa na Yanga SC mabao 5-1 siku ya Jumapili. Wachezaji hao wanatuhumiwa kuihujumu timu kitendo kilichopelekea kupoteza kwa idadi kubwa ya mabao. Maamuzi hayo...
  14. M

    Makomandoo wa HAMAS waangamiza wanajeshi wengine watano wa Kizayuni kaskazini magharibi mwa Ghaza

    Nov 05, 2023 06:50 UTC Habari za karibuni kabisa za Palestina zinazungumzia kuendelea mashambulizi ya anga na mizinga ya utawala wa Kizayuni dhidi ya maeneo tofauti ya raia kwenye Ukanda wa Gaza na kukiri duru za Kizayuni kwamba Tel Aviv imenaswa katika mtego wa wanamapambano wa Palestina...
  15. BARD AI

    Mbeya: Walimu Wakuu Watano wasimamishwa kazi

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amewasimamisha kazi watumishi nane katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela wakiwepo walimu wakuu watano, wahandisi wawili na ofisa manunuzi na kuagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi. Homera amefikia uamuzi huo jana...
  16. J

    Maadui wa Tanzania wafikia watano

    Habari za leo wana JF! Zamani Mwalimu Nyerere atuambia maadui wa kweli wa Nchi hii walikuwa watatu yaani ujinga, maradhi na umasikini. Lakini miaka 60 baada ya uhuru maadui wameongezeka badala ya kupungua. Kutoka maadui watatu hadi maadui watano. Bahati mbaya zaidi wajinga wa sasa ni wale...
  17. JanguKamaJangu

    Utafiti: Katika Wanaume watano, mmoja ana Shinikizo la Juu la Damu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amewataka wananchi kuzingatia ushauri wa afya unaotolewa na wataalamu ikiwemo kula kadri inavyoshauriwa na wataalamu ili kujiepusha na magonjwa yasiyoambukiza ikiwemo magonjwa ya Figo. Chalamila ameyasema hayo leo wakati wa kuhitimishwa kwa mbio...
  18. BARD AI

    Songwe: Ajali ya Malori 2, Bajaji na Bodaboda yaua Watu 5 Momba

    Watu watano wamefariki dunia na wengine 10 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea katika eneo la Mpakani Wilaya ya Momba mkoani Songwe. Akizungumza na Mwananchi Digital kwa njia ya simu leo Jumatano Juni 5, 2023; Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe Theopista Mallya amethibitisha kutokea ajali hiyo...
  19. R

    Naiona Tanzania Mpya yenye Maendeleo na Uchumi imara siku wanasiasa hawa watatu wakistaafu/wakiacha kujishughulisha na maamuzi ya kisiasa nchini

    1. Rais mstaafu, Jakaya Kikwete 2. Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe 3. Mzee Yusuph Makamba Sina mengi sana, kazi iendelee let we trust our beloved Rais Samia atawashauri wafanye maamuzi hayo.
  20. S

    Robertinho: Nunueni wachezaji watano tu wanatosha

    Kocha mkuu wa Simba, Robertinho amewataka mabosi wa klabu hiyo kusajili wachezaji watano muhimu ambao ni mshambuliaji, kiungo mkabaji, beki wa kati, winga na beki wa pembeni mmoja ili waweze kutoboa kwenye michuano mbalimbali inayowakabili msimu ujao.
Back
Top Bottom