mitandao

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Mwigulu Nchemba na BOT, mnashindwaje kuwabaini wanaokopesha mitandaoni(digital lending) wakati wanatumia menu za mitandao ya simu kulipwa hela zao?

    Nilisiliza maelezo ya Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba Bungeni kuhusu mikopo uumiza na wanaofanya biashara ya kukopesha bila leseni, na pia nimesoma tangazo la Benk Kuu(BOT) la tarehe 13/05/2024 linalopiga marufuku kufanya biashara ya kukopesha mitandaoni bila kuwa na leseni, nimebaki...
  2. BabuKijiko

    Wadau mbona kama mitandao ya simu kuna mgao wa Internet ila hawasemi,vipi wengine mmegundua hili jambo

    Maana kama jana Kuna muda Vodacom na halotel Internet ilikata Tigo ilikuwepo,usiku hivi Tigo ilikata nayo nahisi kuna jambo ambalo linaendelea ila wanaficha kwa kumuhofia Waziri Nape
  3. Mkalukungone mwamba

    Waziri Nape; Msiwaachie Watoto wenu walelewe na mitandao

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye amewataka Wazazi kutowaacha Watoto wao kutumia zaidi mitandao ambapo si salama inapelekea kuharibu kizazi hiki. Amezungumza hayo wakati akijibu hoja za Wabunge zilizotolewa katika uchangiaji wa Bajeti ya Wizara hiyo...
  4. BabuKijiko

    Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti?

    Wadau ni kweli mitandao ya simu imeanza kurudisha bando za intaneti? Binafsi yangu zijapokea mbs zangu ambazo nilishindwa kutumia wakati ntaneti ilivyokata
  5. X

    SoC04 Mitandao ya Kijamii Tanzania imulikwe, itumike kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii, irasimishwe

    UTANGULIZI Tanzania mitandao ya kijamii bado inatumika kama sehemu ya watu kutoa mawazo(stress), kupata habari nyepesi na udaku. Bado mitandao haijawa mahali salama sana kwa kizazi cha sasa na cha baadae kama hatutatengeneza mazingira salama kwa ajili ya wakati ujao. Bado haiaminiki, ina kundi...
  6. The bump

    Anahitajika Binti mwenye uzoefu na kazi ya UWAKALA wa pesa mitandao yasimu na benki

    Eneo : Dar/kimara Muda Wa kazi : 1 asbuh - 4 usku Mahitaji Wadhamin wawili (2) waliojenga wanao ishi kwao. Mshahara : 200,000 Mawasiliano : PM
  7. O

    Msaada jinsi ya kutangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii

    Habari Wana JF, Samahani nilikua naomba msaada jinsi ya kutangaza biashara mtandaonii kwa kutumia zile sponser au Kama Kuna njia nyingine yoyote ilimradi iwafikie watu wengi mtandaoni. Ahsanteni 🙏
  8. BigTall

    Vocha za Mitandao ya simu zadaiwa kupandisha bei kiholela mbozi

    Wafanyabiashara katika Mji wa Mlowo,Mbozi wamedaiwa kupandisha vocha za mitandao ya simu toka bei halisi na kuongeza kiwango kati ya shilingi 100 hadi 200 kutokana na eneo hali ilioibuka malalamiko kwa watumiaji wa mitandao ya simu. Wakiongea malalamiko yao mbele ya mwandishi wetu wamedai...
  9. Manyanza

    Kwanini msichana akifikisha miaka 27 kama hajaolewa anapenda kujipiga picha na kujiweka kwenye mitandao?

    Kuna sababu nyingi kwa nini msichana anaweza kupenda kujipiga picha na kuweka kwenye mitandao baada ya kufikisha miaka 27 bila kuolewa. Moja ya sababu inaweza kuwa ni 😍njia ya kujisikia vizuri kuhusu yeye mwenyewe na kujiamini, au njia ya kuonyesha maisha yake kwa marafiki na familia. Pia...
  10. Gilbert Prudence

    Uhalali wa mashindano katika mitandao ya kijamii

    "Niliwahi kuandika sikushinda na baadae nikaona wametumia mawazo yangu kubuni mambo Yao na Mimi sikufaidika na chochote". Je kuna ukweli wowote? Huyo ni mdau alikuwa anatoa comment katika ukurasa wa jamii forum kuhusu ushiriki wa stories of change.
  11. pombe kali

    Hongera Dr Gwajima (Mb) waziri wa jinsia kwa kutatua kero kupitia mitandao usichoke tafadhali

    Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, .......napenda kuchukua nafasi hii kumpa mauwa yake waziri wa jinsia na watoto DR Dorothy Gwajima kwa kutatua kero za mtu mmoja mmoja ikiwemo udhalilishaji au ukatili wa kijinsia na kwa watoto pia. Dr huyu amekuwa akifanya hivi kupitia account yake ya X zamani...
  12. Kaka yake shetani

    Kosa la kutoa taarifa kwenye mitandao linahusika vipi na upekuzi kwenye makazi ya muhusika?

    Waliosoma Cyber watueleze ili na wanasheria. Mfano nina kitecno changu nimesambaza taarifa kimakosa au sio makosa inakuwaje waende nyumbani kupekuwa wakati kilichofanya kosa au si kosa ni simu na mimi mtoa ripoti. Nashukuru sana mitandao ya kijamii kama Facebook, Whatsapp kampuni zenu kuwa...
  13. R

    Nape Moses Nnauye hakuna unachokifanya, mitandao ya simu inafanya wizi as if hawana regulatory aithority

    Tumelalamka wizi wa mitandao ya simu especialy kuhusu internt data. hakuna hatua wanayochukuliwa kurekebisha wizi huu. Unaweka data , muda mwingine bila kuitumia unakuta imeisha. Ukiwapigia simu customers care nobody responds. Nape unafanya nini ofisini?
  14. U

    Vita ya Wasafi na kampuni ya usambazaji wa Muziki 'ZIIKI MEDIA' imefika pabaya, ZIIKI wazuia utoaji wa wimbo wa Lavalava, Diamond awachana

    Ziiki Media kampuni kutoka Kenya inasimamia usambazaji wa muziki kidijitali, Ziiki inashirikiana na kampuni zaidi ya 200 za ku-stream muziki online, wao wanakusambazia muziki kwenye platforms online kisha hukusanya mapato ya kwenye hizo platforms kwa niaba ya msanii. Pichani ni boss wa ziiki...
  15. H

    Ni kitu gani kinasababisha usiku mitandao ya internet inakuwa na spidi ya konokono?

    Habari wataalam. Nilikuwa nawaza labda ni simu yangu ina shida. Sasa ina maana simu yangu inasumbua usiku tu mchana haisumbui. Nilisikia pia watu wanasema usiku watumiaji ni wengi sijui traffic inafanyaje sijui inagoma ndio inasababisha hiyo mitandao inakuwa bize..Hilo mi sijui wanajua wenyewe...
  16. haszu

    Mitandao ya kijamii inaweza fanya mtu ukawa na msongo wa mawazo.

    Wakati nawaza mshahara upaongezeka kidogo japo ufike laki 9 au milini 1, nakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, 🙌🙌 Wakati naitafita miaka 35, sojawahi miliki gari chombo cha moto, kuna jamaa anasema kaagiza gari yake ya kwanza akiwa na miaka 22. Kuna jamaa...
  17. Saad30

    Lipa namba ya VODACOM 5757565 rudisha pesa yangu

    SALAM MKUU. Boss wa Lipa namba ya mtandao wa Vodacom 5757565 ARVINDER HAZARA CHANNA. Tarehe 28 mwezi wa Jana yaani mwezi wa 3 ulipokea pesa kimakosa kutoka kwenye namba ya mtandao wa Tigo 0712**5408 Jina lilikuja ni Farida Hilary. Nimetoa taarifa katika Mitandao yote Tigo na Vodacom lakini...
  18. C

    Ni lini serikali itaingilia kati huu wizi wa mitandao ya simu kuunganisha watu kwenye huduma wasizohitaji?

    Ni Jambo linakwaza sana. Unanunua vocha kujiunga na kifurushi unachopenda mara unapata ujumbe kuwa Salio lako halitoshi. Unafuatilia unaambiwa umejiunga na huduma za kidijitali kama vile "afya call" ,"Tikisa ushinde" n.k. Huna taarifa na huduma hizo,hujui umejiungaje na wala hujui zinahusu...
  19. chiembe

    Walioteuliwa na SSH wote wamemshukuru kupitia mitandao ya kijamii, Makonda pekee ndiye kama amegoma kushukuru kwa uteuzi

    Nimepitia mitandao ya kijamii ya walioteliwa wote, wameonyesha furaha na shukrani. Makonda ni kama kichwa gia zinaruka, mpaka sasa haamini kama hayupo jikoni, kapelekwa akakusanye kuni, hajatoa neno la shukrani.
  20. Stroke

    Mitandao ya Tanzania ni ya hovyo mno, Tigo, Vodacom, Airtel internet ni takataka tu. Wanatuibia pesa zetu

    Huduma za Internet kwa mitandao ya Tigo, Voda na Airtel kwa Tanzania ni mbovu mno. Mtu unaweka bundle lakini mpaka inaisha unakuta hujatumia ipasavyo kutokana na kukatika katika kwa huduma husika. Muda mwingi network hakuna hata ikiwa ni maeneo ya mjini kabisa. Hivi wahusika mnajielewa...
Back
Top Bottom