mawazo

  1. Tommy 911

    Nahitaji mawazo yenu, nina mpango wa kununua nazi kutoka Lindi au Mtwara kwa bei ya jumla na kuuza Dar

    Habarini Wana JF, Nimepata wazo la kununua nazi Jumla na KUUZA DAR. Mwenye uzoefu au kujua bei za usafiri na masoko yapoje kwa Dar naomba mawazo YENU. Mtaji laki tano
  2. I LOVE YOU DUCE

    Wakuu naombeni msaada, naona msongo wa mawazo una ninyemelea

    Nadhani naingia kwenye msongo wa mawazo, nahitaji neno la faraja kwenu wa TANZANIA wenzangu, ndugu, kaka, dada, mama na baba zangu. Wakuu juzi, niliwashirikisha juu ya dhiki ya njaa Inavyotaka kuniua (mwezi wa nne sasa na kula mlo mmoja tu tena wakati wa usiku). Sasa hapa nimemaliza Kuweka...
  3. M

    MBOWE AMEONGOZA CHADEMA MIAKA 20, ARUHUSU MAWAZO MAPYA

    Wanajukwaa, Nchi yetu iliingia katika mfuko wa vyama vingi vya siasa mwaka 1992 ikiwa ni miaka 32 sasa. Kati ya vyama vya siasa vilivyosajiliwa wakati huo ni Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Chama hiki kimeongozwa na wenyeviti takribani watatu mpaka sasa kwa maana ya Mzee Edwin...
  4. Meneja CoLtd

    MPYA Je, msongo wa mawazo husababisha uwaraza?

    Hivi karibuni kumezuka sinto fahamu kwamba msongo wa mawazo husababisha matatizo ya kupungukiwa na nywele (uwaraza), je ni kweli?
  5. peno hasegawa

    Huu mradi mwenye mawazo ya kuupongeza tukutane hapa.

    Sikiliza ,na tukutane tuujadili
  6. Vichekesho

    Mawazo huru: Muungano wetu Upige hatua 1 mbele

    Katika hatua yakwanza tulifanikiwa kuiua na kuizika Tanganyika, safari hii tuiue na kuizika Zanzibar tubaki na Tanzania tu. Unguja na Pemba iwe mikoa, tuweke wakuu wa mikoa wawili kule, nchi iwe 1 tuendelee kuchapa kazi. Wafitini wasiopenda muungano wetu wakose hoja maana nchi itakuwa 1, Rais...
  7. OMOYOGWANE

    Je ulishawahi kukaa chini ukatulia ukaanza kuyasoma mawazo yako?

    Habari mdau. Je ulishawahi kukaa chini uka relax kisha ukaanzq kuyasoma mawazo yako? Mfano post zako za JF, nyuzi ulizo anzisha, post zako gacebook, instagram n.k za kuanzia miaka kumi mpaka sasa, je umegundua nini? Mimi nmegundua yafuatayo 1. Life la chuo ni kuvaa vizuri kuhudhuria events...
  8. Enter Passcode

    Nahitaji wazo la biashara ya 200k

    Salaam Wakuu mimi ni mwangalizi wa jumba la ndugu yangu, yeye yuko Texas-Huoston. Jumba ni kubwa sana na lipo maeneo ya watu wenye uwezo, ila ndani nipo mwenyewe Kwa nje ya geti kuna sehemu kubwa ya kufungua bzness na movement zpo kiasi Je, naweza weka kitu gani hapo..... mtaji ni 200k tu...
  9. Jackson H

    Msaada: Nawashwa uume nikishiriki mapenzi

    Naomba msaada wa mawazo au hata tiba. Inakuwaje pale ninapoingiza uume kwenye uke naanza kuwashwa mpaka naahirisha tendo la ndoa? Maana hali ni mbaya.
  10. sonofobia

    Nataka kusoma PhD: naombeni mawazo yenu

    Wasalaam! Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye elimu ya degree mbili, bachelor of education na masters of public administration. Ila maisha yangu yote nimefanya kazi kwenye sekta ya elimu nilianza kama ticha baadae nikaamia kwenye development projects za education. Kwa sasa nipo free, nimepata...
  11. Mwangajamiitz

    Mawazo Huru

    Huwa najiuliza kwanini Serikali Isingewaezesha Wa kulima kama vile kuwapatia Vifaa Vya kisasa Vya Kilimo kama Trekta, Mashine za umwagiliaji halafu kila mkulima Anapovuna Anatoa Asilimia Kumi tu ya mazao baáda ya Miaka mitano mkulima ataachiwa Vifaa hivyo. Na kila Serikali inapochukua...
  12. captain mtata

    Ndoto ambazo nimekuwa nikiziota kwa muda mrefu sasa na kiukweli zinanitesa sana

    Wasalaaaam Ndugu, jamaa na marafiki Naamini mpo salama na majukumu ya kujijenga kiuchumi na kijamii yanaendelea Mimi ni kijana niliyejiajiri, umri wangu naelekea katika third flow Nina ndoto ambazo nimekuwa nikiziota kwa muda mrefu sasa na kiukweli zinanitesa sana na zinaniumiza sana, Naomba...
  13. N

    Naomba mawazo yenu wakina dada (hata wakina kaka mkichangia sio mbaya)

    Tuiangalie dhana ya 50/50 katika nyanja ya uchumi kwenye mahusiano. Hapo zamani mwanamke akupewa access yoyote kiuchumi kuanzia ajira, elimu, kumiliki mali, uongozi n.k katika hali kama iyo ni sharti ahudumiwe na mwanaume. Mwanamke hana ajira, hana makazi, hana mali sasa ataishi vipi lazima...
  14. de Gunner

    Hivi ni kweli mawazo huleta uhalisia?

    Kuna msichana mmoja tulisoma wote nursery na primary! Nilikua nime crush kwake ila sikuwahi mwambia niliogopa itakua noma. Skuli za mission na mapenzi ni vitu viwili tofauti. Bahati mbaya wakahamia mkoa mwingine. So fast forward miaka imeenda ila mm nilikua kuna siku nashangaa namuwaza from no...
  15. haszu

    Mitandao ya kijamii inaweza fanya mtu ukawa na msongo wa mawazo.

    Wakati nawaza mshahara upaongezeka kidogo japo ufike laki 9 au milini 1, nakutana na post mtu anasema ukiwa na mshahara wa milion 1.5 hutoboi, 🙌🙌 Wakati naitafita miaka 35, sojawahi miliki gari chombo cha moto, kuna jamaa anasema kaagiza gari yake ya kwanza akiwa na miaka 22. Kuna jamaa...
  16. N

    Msaada wa mawazo kuhusu huyu mwanafunzi

    Kuna jamaa yangu yupo Dodoma alikuwa na mtoto Marangu sekondari Moshi sasa akapata changamoto ya ada baada ya mwanae mwingine kuugua mpaka kufanyiwa upasuaji. Huyu Dogo mwanafunzi alishasajiliwa kufanya mtihani wa form two lakini hakufanya kutokana na kushindwa kulipa ada . Mwaka huu baba...
  17. mjenziwakale

    Naombeni msaada wa mawazo kuhusu ni nini cha kufanya

    Salaam, Katika harakati zangu za kusaka tonge, yupo jamaa ambae nilifahamiana Naye katika biashara, tukawa tumezoeana hadi ikafikia kipindi akiwa na shida na hela namuazima ila anaacha gari yake kama bond, akienda akasupply mizigo yake akilipwa ananirejeshea pesa zangu na yeye anachukua gari...
  18. R

    Ushauri kuhusu mawazo yangu kabla sijampa kazi msanifu majengo

    Habari ndugu wana Jamii Forums, Nipo kwenye mchakato wa kumtafuta msanifu majengo anichoree ramani ya nyumba ya kuishi familia ghorofa moja ndogo simple isiyo na makorokoro mengi maana kiwanja ni kidogo. Nyumba yangu ya kwanza, msanifu majengo mweledi kabisa alitumika na bado chumba...
  19. Wakuperuzi

    Msaada wa mawazo wakuu

    Ni kawaida shida huwa haipigi hodi naomba msaada hivi naweza kwenda bank ninayopitishia mshahara wngu nikazungumza na branch manager akaniwezesha kupata hiki kiasi 210k kwa makubaliano tu mshahara wangu ukiingia wachukue pesa yao
  20. Meneja Wa Makampuni

    Andika mawazo yako: Ujamaa ni nini? Na ubepari ni nini? Na ni mfumo upi mzuri unapaswa kufuatwa na nchi ili iwe na maendeleo?

    Watu wengi huzungumzia ujamaa na ubepari lakini bado hawaelewi kwa kina. Katika taifa letu la Tanzania tuna mchanganyiko wa ujamaa na ubepari. Mfano mdogo uwepo wa sekta binafsi hiyo ni ishara ya kuwepo kwa ubepari. Na nikwambie tu kuna baadhi ya taasisi katika taifa letu zinatumia mfumo wa...
Back
Top Bottom