msichana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    Siwezi kuwa na msichana asiyejua tofauti ya R na L, anayeandika Yutiyai badala ya U.T.I.

    Baby . Reo nirienda kupima mareria nikaambiwa na dokita nina yutiyai,naomba unitumie era ya dawa,nitafulai sana........ Mwanamke wa hivi ni bora nikae mwenyewe
  2. Manyanza

    Nilivyotongozwa na msichana Baa

    Wasalaam wana jamvi, Kama kichwa cha huu uzi kinavyosema na nimeamua kuanzisha huu mkasa ambao ni wa kweli kabisa ulishawahi kunitokea kipindi cha nyuma miaka kadhaa iliyopita. Na huu mkasa nimekukumbuka na nimeamua ku share na nyinyi hapa baada ya kuusoma mkasa wa @Stepanov. Mkasa ulikuwa...
  3. G

    Msichana miaka 22 Anatafuta kazi/ajira

    Habari wana jamii, kwa yeyote mwenye kutafta binti kwa ajili ya kazi mbalimbali kama dukani, ofisini, receptionist au yoyote ile ya halali basi kuna binti yupo Arusha miaka yake ni 22 ana elimu ya form four japo alienda chuo hakufanikiwa kumaliza kwa changamoto za ada. Kwa aliye tayari...
  4. C

    Nampataje huyu msichana

    Kwema, Kuna binti nimemuelewa hapa mtaani nikamwambia aje sehemu fulani Kuna mzigo nataka nimpe. Kweli akaja ila kwa kuwa huo mzigo sikuwa nao ikabidi nimdanganye mzigo haujafika ila naona akawa ameelewa namtaka. Sasa tokea hapo Kila nikamwambia aje tena anasema sawa ila haji, ila tukikutana...
  5. Manyanza

    Kwanini msichana akifikisha miaka 27 kama hajaolewa anapenda kujipiga picha na kujiweka kwenye mitandao?

    Kuna sababu nyingi kwa nini msichana anaweza kupenda kujipiga picha na kuweka kwenye mitandao baada ya kufikisha miaka 27 bila kuolewa. Moja ya sababu inaweza kuwa ni 😍njia ya kujisikia vizuri kuhusu yeye mwenyewe na kujiamini, au njia ya kuonyesha maisha yake kwa marafiki na familia. Pia...
  6. Roving Journalist

    Ummy Mwalimu: Dozi moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga Msichana kupata Saratani ya Mlango wa Kizazi

    Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema dozi Moja ya chanjo ya HPV inatosha kumkinga msichana kupata ugonjwa wa Saratani ya Mlango wa Kizazi na kuwataka wazazi/walezi kuwapeleka watoto kupata chanjo hiyo. Waziri Ummy Mwalimu amesema hayo Aprili 22, 2024 kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya Dozi moja...
  7. mdukuzi

    Tanzania bara bado kuna maeneo msichana kuvaa suruali ujue ni kahaba, mhamiaji au hana wazazi

    Kwangu mimi heri suruali kuliko sketi fupi linapokuja swala la kujisitiri. Lakini kuna mikoa tena sio vijijini, ni wilayani kabisa, ukikuta binti kavaa suruali ujue hana wazazi maeneo hayo, au ni kahaba au ni mgeni. Nje ya hapo ni marufuku kuvaa suruali. Kuna mabinti wameitwa wahuni kisa kuvaa...
  8. Sumbi Sanchez

    Mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo. Nifanyeje?

    Naomba nisipoteze muda wenu. Kichwa cha habari kinajieleza. Naishi na mke wangu na watoto wetu wadogo wawili. Nilikuwa safarini kikazi kwa muda wa wiki mbili. Nimerudi nyumbani nimekuta mke wangu ameleta msichana wa kazi aliyebarikiwa mzigo mkubwa na wa kuvutia mno. Msichana huyu anaonekana...
  9. covid 19

    Pamoja na juhudi kubwa niliyofanya kufahamu lugha yao, msichana wangu Msandawe amenicha

    Mse ni kifupi cha Msendema huyu ni wanawake wangu tulioishi nae miaka 8, nilimpenda sana na nilifanya juhudi sana kufahamu lugha ya kwao kisandawe na hii ni sababu ya yeye kuwa na mazoea ya kuongea na mama yake kwa kikwao kila siku na akiongea lazima hunipa simu nimsalimie basi niliadhimia...
  10. KIBOD3

    Nataka kumuoa msichana aliyeachana na rafiki yangu

    Habari zenu, Nina rafiki ambaye siyo wa karibu sana alikuwa kwenye mahusiano na mtarajiwa wangu sasa baada ya kuachana kwao nilifanikiwa kumshawishi tukaingia katika mahusiano kwa siri kubwa sana (kiukweli nilikuwa nampenda tangu hapo zamani) sasa nataka niende kwao nikajitambulishe
  11. Da'Vinci

    Kijana ukitaka kuoa oa msichana anayeishi nyumbani kwao

    Salute NB. Ujumbe huu ni maalumu kwa ajili ya vijana wanaotafuta mwanamke wa kufanya nae maisha yaani Kutunza na kulea familia wakati mume akiwa katika harakati zake za kutafuta kipato cha kutunza familia na sio kwa wale wanaotafuta wanawake ambao watasaidizana kiuchumi. Ningependa kuongea na...
  12. mambo_safi

    Natafuta msichana wa kazi za ndani! Jamani wanapatikana wapi?

    Awe bado ni binti ambaye hana mambo mengi na ni Mkristo! Kama atakuwa kamaliza kidato cha nne itapendeza zaidi! Ndio nasema kidato cha nne kwasababu wengi unakuta wako nyumbani hawana issue mwisho wa siku wanaenda kuuza Baa au kudanga wapate hela ya kula. Kazi kuu itakuwa kuuza dukani! Akiamka...
  13. Vincenzo Jr

    Familia ya msichana mweusi wa Ireland aliyebaguliwa yasema msamaha 'hauna maana'

    Mama wa msichana mweusi ambaye hakupewa medali katika sherehe ya michezo ya sarakasi nchini Ireland anasema msamaha aliopokea "hauna maana". Video iliibuka hivi karibuni ikionyesha madai ya ubaguzi wa rangi ya kijana mweusi akipuuzwa na afisa ambaye alikuwa akigawa medali katika hafla...
  14. M

    Msichana wa kuuza Duka la Vipodozi anahitajika

    Anahitajika msichana wakuuza Duka la vipodozi. Vigezo: Awe na uzoefu wa kuuza duka la vipodozi Elimu atleast form 4, awe anajua hesabu vizuri. Kituo cha kazi kipo Tandika Dar es Salaam. Ambae atakua tayari anicheki PM.
  15. Money Penny

    Kwa wanaume tu: Fikiria umempenda mrembo, halafu yeye anakuita kaka, unafanyaje?

    Haya wanaume mkuje! Imagine kuna mrembo unamfukuzia unampenda Sana, ukapata bahati ya Kuongea naye. Mrembo abakujibu vizuri alafu baadae anakuoga anakwambia, "Haya asante Kaka Kwaheri" Hapo mwamba unafanyaje?
  16. Mtu Asiyejulikana

    Msichana anakuambia kabisa mama anataka akufahamu Jumamosi uje home. Unaenda.Unamkuta mama yake...

    Ndo huyu. Halafu anakuuliza. "Eeenheeeh... Una mpango gani na mwanangu? Maana tujue mapema ninyi vijana siku hizi.... "
  17. Baba jayaron

    Nasikitika nimemuambukiza msichana ninayependa😔😔

    Mko salama waugwana, Leo naandika uzi huu niki regret lakini pia natoa somo kwa vijana. Kwakua sina mke na nimeacha kuamini katika mapenzi, ila kuna demu najikuta moyo wangu kama umenasa kwake. Yaani nguvu niliyoitumia kumpata sijawahi tumia kwa mwanamke yeyote na hata sasa misimamo yake...
  18. Melki the Storyteller

    KWELI Msichana mwenye Haemophilia anaweza kufariki dunia pale anavunja ungo

    Hii imekaa vipi kitaalam, Msichana mwenye Haemophilia anaweza kufariki dunia pale anavunja ungo?
  19. M

    Msichana anayepora kwa kutumia dawa

    Nilienda katika bar huko Arusha nikampata mwanadada mrembo yupo na makalio makubwa kama Sanchoka. Nilikaa naye nikamnunulia pombe. Nikinywa pombe pia mimi niliwacha pombe nikaenda msalani lakini niliongea na waiter aniangalilie pombe yangu. Kutoka msalani nikamuuliza waiter akaniambia msichana...
  20. BARD AI

    Anayedaiwa kumuua msichana wa kazi Dar, apandishwa kizimbani

    Zikiwa zimepita siku 53 tangu aliyekuwa msichana wa kazi za ndani Annet Kassim (20) kudaiwa kuuwawa na bosi wake, mfanyabiashara Diana Sabhai (44), amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, akikabiliwa na shtaka la kumuua msaidizi wake. Februari 9 mwaka huu mwanamke huyo, mkazi...
Back
Top Bottom