Msichana miaka 22 Anatafuta kazi/ajira

G-stev

Member
Aug 24, 2020
8
2
Habari wana jamii, kwa yeyote mwenye kutafta binti kwa ajili ya kazi mbalimbali kama dukani, ofisini, receptionist au yoyote ile ya halali basi kuna binti yupo Arusha miaka yake ni 22 ana elimu ya form four japo alienda chuo hakufanikiwa kumaliza kwa changamoto za ada. Kwa aliye tayari tuwasiliane. Asanteni
 
Mungu akupe haja ya moyo wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom