Nape Moses Nnauye hakuna unachokifanya, mitandao ya simu inafanya wizi as if hawana regulatory aithority

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,722
74,708
Tumelalamka wizi wa mitandao ya simu especialy kuhusu internt data. hakuna hatua wanayochukuliwa kurekebisha wizi huu. Unaweka data , muda mwingine bila kuitumia unakuta imeisha. Ukiwapigia simu customers care nobody responds.

Nape unafanya nini ofisini?
 
Kuna shida Sehemu.
1. Nilijiunga Kifurushi cha Kuzuru nchi za Falme za Kiarabu , nilifanikiwa kuongea kwa Siku moja tu , zilizofuata ilikuwa ni chenga simu hazitoki hadi nikarudi nchini pasipo kufurahia huduma niliyolipia.

2. Hii imekuwa ikijirudia , Ukituma pesa kwenda mtandao flani hazifiki kwa wakati mpaka yapite masaa flani .
 
kuna jamaa angu yupo ndan kabsaa jikon, kwenye moja ya hii mitandao nsikia analambishwa ndefuu kila mwez ivo tusitegemee kabsa bando kushukaaa
 
Unaambiwa umepewa MB 400 kwa sh 1000 kumbe kiuhalisia umepewa MB 200 ..

Ila kwenye sms umeandikiwa MB 400 , Ila kwenye mfumo wao ni MB 200 zinasoma ..

Ndo maana tunalalamika bando linawahi kwisha kumbe umepewa pungufu
 
Tumelalamka wizi wa mitandao ya simu especialy kuhusu internt data. hakuna hatua wanayochukuliwa kurekebisha wizi huu. Unaweka data , muda mwingine bila kuitumia unakuta imeisha. Ukiwapigia simu customers care nobody responds.

Nape unafanya nini ofisini?
Pia bei za data ni kubwa mnoo ni kama kukomoana
 
vodacom ni WATHENGE sana yaani nmezima data zaidi ya masaa 6 natumiwa sms bando lako chini ya mb 345.5 nlivtumiwa ile sms nkaangalia salio la bundle nakuta nna mb 344 nkawapgia huduma kwa wateja waniambie hzo mb 5 na kb 5 zmeenda wapi wakat nlizma data wao wanasema et nna mb 358 ko nlivoangalia mm salio wamekosea dah qmmke nasisitza vodacom WATHENGE
 
Back
Top Bottom